Search results

  1. M

    Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies?

    Kamuulize Idd Amin akuambie kilichomkuta. Mfuate huko huko kaburini maana naona huelewi mambo ya TZ.
  2. M

    Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    Kweli kabisa, Mtikila pekee ndiye namwona mwana mapinduzi wa kweli na mpinzani halisi. Ila ukweli ni kwamba hawa wengine ni wasaka tonge tu kazi yao ni ''TOKENI MMEKAA SIKU NYINGI NA SISI TUNATAKA KULA'' Hawana uchungu wowote na nchi hii.
  3. M

    Barua kutoka kwa mume wa Florah Mbasha kwenda kwa mchungaji Gwajima

    Wewe Gwajima siyo mchungaji hata siku moja. Unachezea Mungu halafu unatenda dhambi chafu kiasi hicho !!! Usiwaone wanapayuka kwa makelele mengi ukadhani wahahubiri injili, hakuna kitu kama hicho, hawa wote ni WASAKA TONGE tu wanafanya biashara inaitwa PULPIT ENTERPRENEUSHIP. Gwajima subiri...
  4. M

    Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    Sasa amekubaliana na kauli ya Nape Nnauye aliyoitoa hivi karibuni kuwa mbona yeye (Mbowe) anatumia gari la bei mbaya. CDM punguzeni misafara inayojumuisha wabunge wenu wote mkizunguka mikoani, hapo tutawaelewa.
  5. M

    Kohler utatufanya wana wa Arusha tuichukie CHADEMA

    Kunguru mwoga hukimbiza ubawa wake. Ukitaka damu yako imwagike nenda Tarime mura...........
  6. M

    Lipumba na Mbatia wahutubia wana CCM Kigoma

    Alaaaaa !!!!!!!!!!!!!!! Sasa umenifumbua masikio, Kumbe kelele zote hizi ni kutafuta chakula tu, wala hamna cha siasa wala nini!!!!!! Hebu nitonye na mimi, hiyo chakula huko CDM bei gani. Kama siasa ni kutafuta chakula ya watoto, basi msiwalaumu hata hawa Lipumba na Mbatia, wanaganga njaa...
  7. M

    Wabunge wajadili mitambo ya Dowans gizani

    Na ni bora walizimikiwa umeme mkutanoni. Wao ndio walishinikiza mkataba uvunjwe, halafu wao hao hao ndiyo wanapigia kelele suala la Dowans halafu wanalalama nchi kuwa gizani. Lakini hawaji na mkakati mbadala wa kututoa gizani. Wa-TZ kwa kujifanya tunajua kuongea na kupiga kelele nyingi ni...
  8. M

    Rostam awaparamia CHADEMA

    Weeeee !!!!!!! unaongea tu, vita kawaulize Kagera halafu urudi hapa JF utuambie tupigane. Kapigane mwenyewe. Siasa siyo vita unayofikiria, ama kweli umenyweshwa sumu tayari ya wazururaji wa mikoani. Mwanaume ni Mzee wa Kiraracha tu anayewapeleka puta viongozi wezi mawilayani siyo kuzunguka...
  9. M

    Rostam awaparamia CHADEMA

    Mfungulie masihitaka
  10. M

    Wazee wa CCM (Shinyanga) wamshukia Dk Slaa

    Slaa ni mwongo tu. Kumzushia mtu kifo hadharani halafu haombi hata msamaha kuwa alikosea/alipewa taarifa isiyo sahihi/hakuelewa vizuri halafu mnamuunga mkono!!!!! Kweli mlevi siyo lazima anywe pombe, kumbe hata siasa nayo ni ulevi. Padri mwongo!!!!! Ama kweli dunia imefikia mwisho. Huko...
  11. M

    Serikali ya Kikwete ni dhaifu kupita zote duniani

    Ukipigwa na mkeo unalalama kuwa serikali mbona imekaa kimya, ukifumania mtu akim...... mkeo unalalama kuwa serikali haipo makini, ukibanwa haja, mbona serikali haizuii. Watu wa kutaka kila kitu wafanyiwe na serikali hawatapata maendeleo hata siku moja. Maendeleo unajitafutia mwenyewe na siyo...
  12. M

    Kweli ccm mazumbukuku hawaelewi kitu

    Zumbukuku mwenyewe. Hakuna la maana aliloongea!!!! Wewe na hao wazururaji wanaopita kila mkoa kupiga kelele akili yenu moja. Kama kweli wana akili timamu wangemuiga Mzee wa Kiraracha anayepiga mzigo kweli kweli katika Halmashauri za Wilaya hadi kuwapeleka mahakamani. Lakini kuzunguka mitaani...
  13. M

    Matusi wanaodaiwa chadema.

    Nasema na ninarudia tena.............."Wanaume wenye uchungu na nchi hii ni wale waliopeleka suala la kupinga kulipwa Dowans mahakamani. Wengine wote wanaozunguka mikoani ni madebe matupu tu" Hawa hawana sera ila wanatafuta sifa za kitoto. Msijifanye waarabu. Mwenye akili kaelewa.
  14. M

    Hatimaye Chibuda ca CDM Azinduka !

    Sasa, kwani uongo????? Wa- TZ kwa kuiga hata visivyo stahili kuigwa -- copy and paste from the Arab world. Waone !!!!!
  15. M

    Hatimaye Chibuda ca CDM Azinduka !

    Hizi ndizo tabia za CHADEMA za kutafuta CHEAP POPULARITY. Shibuda na Zitto wana shughuli za kufanya majimboni kwao wanakowakilisha siyo kuzurura tu mitaani kwa kisingizio cha maandamano. Kama mna uchungu na nchi hii wapelekeni mahakamani hao mnaowatuhumu siyo kutupigia kelele kila siku...
  16. M

    Magufuli ataka CHADEMA "washindwe na walegee"

    Nani msafi ndani ya CHADEMA ????? Acheni hizo. Wangekuwa wasafi wangetunga uongo wa kumzulia Dr. Balele kifo??? Tena anayezua huo uongo ni ex-Padri!!!!!! Ama kweli nyani haangalii kundule. Sijawahi kuona padri mwongo. Kule Musoma kazua uongo mwingine kuwa bustani ya Manispaa imebinafsishwa...
  17. M

    CCM yakiri Jey Key amekwama. Hapo patamu

    Usiwasemee. Labda una lako moyoni kama walivyo hao wazungukao mikoani. Wanaume ni wale tu waliofungua kesi mahakamani, lakini wanaoandamana, wanatafuta CHEAP POPULARITY. Haitusaidii sisi.
  18. M

    Dr. Slaa anakosea:Enyi wana CDM, wanavyuo, na wanaharakati sikieni

    Ungeishi enzi za Vita vya Kagera usingeandika upupu wako huu. Yaani unataka wa-TZ tuwe tu watu wa copy and paste!!! Nakushangaa.
  19. M

    Dr. Slaa anakosea:Enyi wana CDM, wanavyuo, na wanaharakati sikieni

    Ni mpuuzi sana. Tarehe 5 Januari katika uwanja wa Unga Ltd, Arusha alipotangaza kuwa atahakikisha nchi haitawaliki unadhani ni maneno ya mtu anayeitakia mema nchi hii?? Huyu hajawahi kuwa na familia ya kwake mwenyewe ndiyo maana hajui maana ya nchi kutotawalika. CHEAP POPULARITY.
Back
Top Bottom