Mbona tunalazimisha Mambo? Taarifa nilizo nazo ni kwamba watu wa Ngara hawataki kuingizwa kwenye mkoa mpya wa Chato isipokuwa tu Kama makao makuu ya mkoa huo mpya yatakuwa Biharamulo.
Hivi huyu mtu aliokotwa wapi na Nani mpaka akakaliia kiti walichokalia akina Msekwa na wengine tunaowaheshimu mpaka kesho pamoja na kwamba nao walikuwa na mapungufu kama tulivyo wote?
Mikoani vilio vinatawala....hospitali za wilaya, achilia mbali vituo vya afya, wagonjwa wanalazimika kununua vifaa tiba na madawa kwenye maduka binafsi ya madawa. Kuna faida gani kupanua ujenzi wa vituo zaidi wakati vilivyopo havitoi huduma zinazotakiwa?
Napendekeza Rais atumie muda wa kutosha kujifunza misingi iliyotumika kuanzisha TRA kama chombo nje ya mfumo wa kawaida wa uendeshaji na usimamizi wa utumishi wa umma. Baada ya hapo atagundua kuwa serikali kuingilia usimamizi na uendeshaji wa TRA ndiyo chanzo cha malalamiko yake juu ya utendaji...
Pillow Jordan was one of the members of his cabinet. He sacked him and after some time he reappointed him. After one of Ann's meeting in 1997 Mandela told Jordan that a wise president doesn't surround himself with people who always agree with him.
Nampongeza sana kwa kutambua kuwa maamuzi name maagizo yanayotolewa na watawala bola utafiti sure bila kuweka mikakati thabiti, ikiwa ni pamoja name kutoa elimu kwa wahusika haiwezi kufanikiwa. kila jumamosi maduka Dar nzima na kwingine hayafunguliwi kabla ya saa 4 asubuhi eti kuwapa...
Of course! Tatizo ni kulindana au kuoneana aibu. Hv kweli kama, nasema kama, huyo kiongozi aliyepokea "zawadi" ya almasi ambayo leo ina thamani ya dola zile ikiwa alikuwa ni rais na bado yuko hai, TUMWACHE KWELI APUMZIKE...kwa amani?
Tanzania haikuwahi kujiunga na Comesa pamoja na kwamba ilishiriki kikamilifu katika mchakato ulioianzisha. Ulipofika wakati wa kuridhia mkataba ule Mwalimu Nyerere alikataa..
Juzi juzi wakati wa kuzindua mradi wa upanuzi (?) wa bandari aligusia juu ya yule mwenye ICD inayotumika kukwepa kodi. Akasema kampuni husika 'ilijiua' wakati fulani lakini ikafufuka kwa jina tofauti. Hakusema kwa nini ilifanya hivyo lakini inaelekea anafahamu. Walio kwenye industry husika...
Sijaweza kupitia maoni yote yaliyotolewa kuhusu uzi huu. Mnisamehe kama nitarudia maelezo ya mchangiaji mwingine. Kodi unayozungumzia SIYO ROAD LICENCE. NI MOTOR VEHICLE LICENCE.Ni vema tuelewe tofauti. Mtindo wa kulipia road licence kila unaponunua mafuta una miaka kadhaa. Sikumbuki. Serikali...
Na huyo mkurugenzi analo shangingi alilouziwa na serikali kwa bei che eti atalitumia kwenda kazini! Wakati fulani JPM akiwa waziri wa ujenzi alichachamaa na kujaribu kuthibiti matumizi mabaya ya magari ya umma. Amekuwa Rais, kwake hilo siyo tatizo tena. Sijui lini Watz watapata kiongozi...
Kuna kitu wanasheria wanaita 'kuondoa veil of incorporation' kwa maana ya kushika wenye kampuni inayodaiwa kufilisika. Kama hao walio nyuma ya GSM na DISCOUNT...ni wale wale waliokuwa HSC, kama kuna utashi wa kiutendaji na/au wa kisiasa, wanabambwa tu! Lakini kuna SACRED COWS wengi nchini mwetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.