Search results

  1. BinMgen

    Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

    We mwenyewe umedanganywa umekuja kudangaya watu hapa🤣🤣🤣
  2. BinMgen

    Mwigulu, Makamba, Mpina, Kigwangala, Zitto nani kinara 2023

    Zitto kwa kuifufua TCD, Chadema walimtukana leo kikowapi, aliwaambia tuanze na tume ya uchaguzi wakamtukana leo kikowapi. Amewatangulia sana.
  3. BinMgen

    Wakili Mwabukusi ni pandikizi?

    Ufipa hakuna mwanasiasa pale kuna wapiga deals tu, manyumbu yanaimbishwa yanaitikia tu. Zitto sio zaizi yenu amewazidi mno uelewa.
  4. BinMgen

    Wakili Mwabukusi ni pandikizi?

    Baada kufika hapa nimeacha kusoma bandiko lako, nikaanza kukuzarau nimekuona ni wale walioshikiwa akili, ni wale manyumbu wanaombishwa na kudemka midundo wasioijua. #Zitto ni next level ya wanasiasa wa upinzani, chadema Zitto amewazidi sana uelewa mnafuta njia zake mtake msitake.
  5. BinMgen

    Nini chanzo cha sabufa kutoa sauti ya kukwaruza?

    Sabufa kuunguruma, ukiigusa na mkono inaacha ukiondoa mkono inaendelea hii insababishwa na nini, na nini suluhusho lake.
  6. BinMgen

    JamiiForums V.A.R

    Dah! Wanawake ni viumbe wa ajabu sana.
  7. BinMgen

    Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

    Punguza hasira, inawezekana tatizo ni wewe unachukia maandiko marefu, bandiko lipo loud and clear.
  8. BinMgen

    Tuhuma dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA zisipuuzwe, TAKUKURU chukueni hatua

    Ripoti ya mkaguzi mkuu inasemaje kuhusu mahesabu ya chadema, imeonyesha upotevu wowote? Hao majua kali wanaweza semanlolote sio watu wa kuwaamini, hao ni malaya tu wakisiasa.
  9. BinMgen

    Protesters in the UK: The Corona Virus Pandemic is Fake

    Kwa hiyo unataka wafanyakazi wasiongezwe mishahara milele?
  10. BinMgen

    Hivi kwanini Watanzania wengi wanapenda kupiga simu kuliko kutuma meseji?

    Ukinitumia msg asubuhi tegemea kupata jibu usiku au kesho, simu yangu ikilia msg hata siangalii najua hayo ni matangazo ya mitandao. Yaani sipendi jabisa kutuma msg. Huwa naonaga ni upuuzi tu.
  11. BinMgen

    Tuombeane wakuu huyu Corona analeta wenge hatari

    Usiende kupima! Gonga limau na tangawizi tu futa litayeyuka.
  12. BinMgen

    Vipimo vya COVID19: Dr. Mwele na Dr. John Nkengasong(Africa CDC) walitumika kupotosha ukweli wa kisayansi (wasaka tonge kazini)

    Unapowatuhumu wenzio wanatumikia tumbo, tuambie wewe unatumikia nini? Mada yako imepoteza thamani.
  13. BinMgen

    Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

    Sasa huyo Mungu apigane na nani?
  14. BinMgen

    Mziki mkubwa kanisani utasema hawajui kama huu ni mwezi mtukufu wa Ramadan kwa waislamu

    Na huu muziki Kanisani inakuwaje! Kwani Yesu alikuwa mwanamuziki?
Back
Top Bottom