Search results

  1. Character X

    Shamba Lenye Miti Ya Mbao yenye miaka miwili Linauzwa

    Asante comrade kwa taarifa, naomba lakini kujua tu kiasi cha uelewa, bei ya mti mmoja wenye umri wa say miaka 6 inaweza kuwa shilingi ngapi? Na kwa heka hukaa miti mingapi? Asante
  2. Character X

    US embassy budget analyst interview

    Comrades Habari, Nafahamu wapowaliofanya interview ya kwanza ubalozini kwa nafasi hiyo (budget analyst) nauliza tu kuna yeyote aliyepata feedback yoyote already? na mchakato huu huchukua muda gani sijui? Asante.
  3. Character X

    Viwanja Dar Zoo

    Nawashukuru wadau, wale walioweka mawasiliano ama links nitazitembelea nakuwasiliana accordingly, nawShukuru Sana. Comrades,
  4. Character X

    Viwanja Dar Zoo

    Wandugu Habari, Nimeitiwa eneo lenyeukubwa wa heka mbili karibu na Dar zoo naomba kuuliza kuhusu uhalali wa maeneo yale. Ni nyuma ya Dar zoo wanauza milioni mbili kwa heka. Mwenye ufahamu Tafadhali Shukran Ila pia Kama yupo mwenye eneo kule lenye uhalali usiotiashaka ataje bei Kama itakua...
  5. Character X

    Uso kwa uso na Lowassa: Jamani Lowassa ni bonge la Kiongozi

    Nina amini ulicho kiandika, Mtiririko wa habari yako unathibitisha uliye kutana naye ni Lowassa. Wengi wakipata nafasi ya kukutana naye hubadilisha mitazamo yao juu ya kiongozi huyu. Hongera. Comrade,
  6. Character X

    CHADEMA / H. Polepole na Siku ninayoingoja kwa hamu!

    Comrades salaam, Ninayaandika haya kwa mara nyingine ikiwa ni katikati ya kipindi cha mawazo kinzani juu ya hoja zenye tija kabisa kuhusu Tanzania yetu wakati kama huu ambapo wengi wetu tumeonyesha hamu ya kuona mabadiliko katika taifa letu na hata kufikia hatua ya kutafuta kuyapata mabadiliko...
  7. Character X

    Wazo la Leo: Haya Ndiyo Mabadiliko Tunayoyataka - Tuyataje, Tuyatambue na Tuyakubali

    Tunahitaji mabadiliko yenye tija., na tunayahitaji Sasa!! imetosha kungoja.,
  8. Character X

    Ziara ya kimyakimya ya IGP Ernest Mangu kushawishi Askari kupigia kura CCM na kuzuiliwa kwa Msafara

    Hongera, Ujasiri wako ni wakuigwa.. Tanzania ni yetu sote, Udhalimu Hauta Shinda. Comrade,
  9. Character X

    Lowassa na Kiingereza chake!

    kuna tatizo gani na kiingereza chake?
  10. Character X

    Maoni ya Dr. Azaveli Lwaitama Juu ya Lowassa Kuingia UKAWA

    Remarkably Insightful., Thank you very much.. Comrades,
  11. Character X

    Lema anatumia nguvu kubwa kuitisha mkutano leo tofauti na zamani kwanini?

    Taarifa nzuri lakini inatia wasiwasi wa kua na personal motive...
  12. Character X

    Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

    I hear you Rev. Twende kazini sasa mavuno ni Mengi. tutashinda, tutarekebisha.. Lakini kwanza tutashinda!! Comrade,
  13. Character X

    Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

    Ujinga au werevu ni mtazamo tu... Lakini Kumdhania mwenzako kuwa mjinga, eti kwakuwa anamtazamo tofauti naule ulionao wewe nadhani ndiyo "Ujinga" wenyewe hasa. nikiwa na maana ya "ignorance". Wala sio kusudi langu kukukosea heshima. Tafadhali Nasema ignorance, Kwa sababu mtu mwerevu au...
  14. Character X

    Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

    We what CCM out!!! Hayo mengine tutayafanya wenyewe... Whoever is willing is welcome to join in.. This Change is for all Comrade
  15. Character X

    2015 Hali (Upepo) ya Kisiasa 2015 si wa Dr W.P Slaa!

    Yameshatimia.., sasa Ibaki kazi.. Yameshasemwa Mengi.. Imetosha kuzungumza.. Let's get things done., Comrade,
  16. Character X

    Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

    It is his power that you fear... I see., Well then.. Don't take it to the people, don't divide them. It doesn't help!!! That's my point.. Comrade,
  17. Character X

    Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

    Hate Never changes anybody for the better.. Love on the other hand is the power that transforms nations.. Time like this our motive is being tested.. On whether a motive towards national liberation or national segregation, and self righteousness? If our motive in this movement is to...
  18. Character X

    Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

    My point Is; Use your influence to the right end... Influence those that believe in you positively. Whether you were right or wrong I don't intend to arbitrate.. But as a leader you need to know your role, in my opinion you are a better leader if you can keep your people together.
  19. Character X

    Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

    Asante nimekuelewa vizuri. Hataivo nadhani Tanzania inahitaji engine mpya., kuondoka kwa CCM kutatoa nafasi ya kuipa changamoto UKAWA kufanya vizuri kuliko CCM wakati huo huo CCM ikiikosoa UKAWA pale watakapo ona mambo yakienda vibaya. that competition is only healthy i believe, and that is...
Back
Top Bottom