Search results

  1. Mchoraji Cyper255

    Nani aliwashauri Makampuni ya Mawasiliano kushughulikia matatizo ya wateja wao kupitia mitandao ya kijamii?

    Ni hivi wakuu, Ni nani aliyewashauri haya Makampuni ya Simu kutoa Huduma ya Wateja kwa njia ya sauti na kuipeleka kwenye mitandao ya kijamii? Yaani ukipiga simu unaambiwa unaweza kuchat na sisi kwenye mitandao ya kijamii, na ukienda kuuliza shida yako huko wanachelewa kujibu mpaka unatoka...
  2. Mchoraji Cyper255

    Nataka ninunue Pikipiki ila nahisi haitokuwa yangu

    Habari Wakuu, Nataka nivute Pikipiki kwaajili ya misele yangu hapa Town. Tatizo Nikiinunua itakuwa Pikipiki ya Washikaji tu. Muda wote naazimwa, Siwezi kupata muda mzuri wa kuinjoy nayo. Msaada, nifanyeje kuepuka Washikaji kuniazima Pikipiki mara kwa mara?
  3. Mchoraji Cyper255

    Namna ya kudivert line kwa Smartphone

    Habari Wakuu, Baada ya Vodacom kupandisha gharama ya vifurushi vyao. Nimeamua kuiweka line yao pembeni na kuchukua TTCL. Ila sitaki kupoteza wateja wangu wa Vodacom. Nahitaji kudivert line ya voda ili nikipigiwa simu ziingie kwenye line Mpya ya TTCL. Naomba nipewe ujuzi wa jinsi ya kudirvert...
  4. Mchoraji Cyper255

    Swali Janja: Ni nani atapata hasara kati ya voda na wakala?

    Habari Geeks, Naomba kuuliza. Mfano, Mfanyakazi wa Voda akiamua kutengeneza namba na kisha kuzituma kwenye akaunti yake ya M-pesa kama muamala na baadae akatoa pesa kwa Wakala Mtaani. Je, inaweza kuwa na athari zozote. Au ni nani atapata hasara kati ya Voda na Wakala?
  5. Mchoraji Cyper255

    Wewe unatumia mbinu gani kudhibiti muda /time management?

    Habari Wakuu, Kutokana na maisha kuwa na mambo mengi imefikia hatua nahisi haya masaa 24 tuliyopewa na Mungu ni kama hayatoshi. Nikijaribu kuyagawa kwenye ratiba yangu ya siku nahisi kuna vitu sivifanyi kwa ufasaha. Mfano. Kwenye hayo masaa 24 natakiwa:- • Nifanye kazi masaa 12.(day) •...
  6. Mchoraji Cyper255

    Ukweli kuhusu kununua Views YouTube na VEVO

    Kutokana na Wimbo wa DiamondPlatnumz - Hallelujah kufikisha views 1M ndani ya Saa 15 tu, Imeleta minong'ono mingi ya kwamba jamaa ananunua Views na ndio maana Msanii mkubwa kama yeye hayupo VEVO. UKWELI ni kwamba, ni kweli Kuna watu wananunua views YouTube. Lakini hii haiwezi kukupa uhakika wa...
  7. Mchoraji Cyper255

    Prophet Bushiri kanunua Jumba la US$ 12million.

    Leo, Nabii Shepherd Bushiri amenunua Jumba la Kifahari lenye thaman ya US$ 12 Million, Sawa na Tsh. Billion 27.6. Chanzo: Popular Zimbabwean Pastor Prophet Shepherd Bushiri Acquires New $12million Mansion(PHOTOS) ~ Welcome To Trezzy Helm Kwanini watu wanalalamika sana. Je, Ni dhambi kwa...
  8. Mchoraji Cyper255

    Mapinduzi ya kisiasa Zanzibar

    Leo ukienda Visiwa vya Zanzibar utashuhudia maghorofa kuanzia Unguja mpaka Pemba,mjini mpaka mashambani,maghorofa hayo yote naambiwa yalijengwa na Hayati Mzee Abeid Karume!. Hayati Mzee Karume alijenga maghorofa haya kati ya 12.1.1964 baada ya mapinduzi na 7.4.1972 pale alipokutwa na umauti...
  9. Mchoraji Cyper255

    Kiwanja kizuri Kinauzwa

    Kiwanja kipo Buswelu Mwanza. Ni tambalale. kipo pembeni ya barabara. Kina ukubwa wa 25x23m. Bei ni million moja na laki tatu (Tsh. 1300,000/=). Maelewano yapo. Nipigie kwa 0757078999, 0782082292. Picha zinakuja...
  10. Mchoraji Cyper255

    Friji bado mpya inauzwa

    Kama unahitaji friji na upo Mwanza. Hii hapa, bado mpya na inapoza sana. Ni model ya BOSS. Inahitaji laki 350 tu. Nipigie / sms / whatsapp kwa namba hii 0756851815. KARIBU
  11. Mchoraji Cyper255

    Sanaa ya uchoraji - Cyper255 (special thread)

    Uchoraji-ni-sanaa-ya kupaka rangi kwenye uso wa-karatasi,-kitambaa,-ubao,-metali,-mwamba au penginepo. Tokeo la uchoraji huitwa picha. Karibu kwenye uzi huu kuona picha mbalimbali zilizochorwa kwa mkono. Toa Maoni au Ushauri kukuza Sanaa ya Uchoraji Tanzania. Kama wewe ni mchoraji pia, Ruksa...
  12. Mchoraji Cyper255

    TECNO C5 inahitajika haraka sana

    Nipo Mwanza. Nahitaji simu ya Tecno Cammon C5 iwe kwenye hali nzuri. Nitakupa laki 180. Cont; voda~0756851815. tiGO~0673851815.
  13. Mchoraji Cyper255

    Kiwanja kizuri na kikubwa kinauzwa

    Ni kiwanja kizuri. Kipo maeneo ya Kishiri -Igoma Mwanza. Kinaukubwa wa (urefu 45 na upana 39). Kipo pembe ya Barabara na Jirani na Shule. Pamechangamka na panafaa kwa biashara. Pia kuna miti ya miembe Yeyote anaehitaji anitafute kwa namba 0756851815. PIGA AU WHATSAPP. :thumbup:BEI NI POA.
  14. Mchoraji Cyper255

    Kwa Wanaopenda Uchoraji

    Hizi ni baadhi ya Picha nilizochora. Tazama na kisha toa maoni yako. Ili kuikuza na kuiendeleza hii sanaa ya uchoraji. Contacts: •Whatsapp- +255756851815 •Instagram- Mchoraji_Cyper255 Link: www.instagram.com/mchoraji_cyper255 •Facebook Page- Cyper Tanzania Drawing Arts Link...
  15. Mchoraji Cyper255

    Ukweli kuhusu Zitto Kabwe foundation

    Leo nimeona Post ya Rafiki yangu facebook ikisema hivi;- NAHITAJI USHAURI WENU GUYS. BE SERIOUS. Juzi nilikua napitia Ukurasa wa Vodacom Tanzania nikakuta wameweka Tangazo lao la M-PESA lenye hiyo picha wakihamasisha watanzania wajiunge na Taasisi ya Utoaji mikopo iitwayo ZITTO KABWE...
  16. Mchoraji Cyper255

    Simu inauzwa kwa bei nafuu.

    Habari. Nauza Samsung Galaxy Pocket yangu. Ipo Vizuri na kila kitu kipo, kwa bei ya Laki 1 na elfu 20 tu (120k). Nipo Mwanza, 0756851815.
  17. Mchoraji Cyper255

    Samsung galaxy pocket inauzwa.

    Habari. Nauza Samsung Galaxy Pocket yangu. Ipo Vizuri na kila kitu kipo, kwa bei ya Laki 1 na elfu 20 tu (120k). Nipo Mwanza, 0756851815.
  18. Mchoraji Cyper255

    Offer nono kwa watu wa mwanza.

    Mziki mnene Sony Radio with SUBWOOFER bado mpya kabisa inauzwa. BEI NI 200,000/= PICHA NITALETA BAADAE...
  19. Mchoraji Cyper255

    Mpenzi anaekuambia wanaume wanaomtongoza

    Habari WanaMMU. Nina maswali haya;- (Wanaume); Je, unamchukuliaje Mpenzi wako anapokuambia kila Mwanaume anaemtongoza. (Wanawake); Hivi mnajifikiriaje kumwambia Boy wako kuwa flani na flani wamenitongoza? Mnakuwa mnamaanisha nini haswa?.
  20. Mchoraji Cyper255

    Hongera sana vodacom.

    Nachukua nafasi hii kuwapongeza Voda kwa kuboresha INTERNET yao. Japo wamepandisha gharama, Lakini sijuti kutoa 500/= kwa kujiunga na WAJANJA NIGHT OFFER. Internet ipo kasi sana, na haijam jam kama zamani. NB. BIG UP SANA. MAONI YANGU TU!.
Back
Top Bottom