10: Mwanamke akikutishia tuachane akakusanya virago vyake na kwenda kwao , kamwe usimbeleze na wala usimtake abaki. Mwache aende na akimaliza mwezi mmoja kwao achana nae kabisa huyo siyo wako
Humu kuna Nyuzi nyingi za jinsi ya kujiandaa na Safari za mikoani kwa Pikipiki. Unaweza zipitia ukapata elimu zaidi.
Mi mwisho wa route ndefu ni km 350.
Mimi nina Tvs hlx 125. Inalamba 40km kwa 1 ltr.
Kama unaenda na pikipiki long trip kwaajili ya kutalii Nchi yako sawa.
Ila kama ni safari ya haraka sana panda Basi tu ni salama zaidi.
"Msaada nataka kujua kwanini mbegu zinarudisha nje baada ya kusex na wife mi kama 15 mpaka sekunde 40 au dk1"
•Alieelewa heading anifafanulie tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.