Search results

  1. Bin Adam

    Mauaji ya walinda usalama ndio mkondo mpya nchini Kenya.

    Bila shaka nyote mmesikia kuhusu vurugu na mauaji yanayoendelea huko Garissa, nchini Kenya. Japo nakashifu tendo la wanajeshi kuwavamia wakaazi wa eneo hilo, nasikitika kuwa huo ni mwiba wa kujiletea. Ni juzi tu ambapo wanajeshi hawa walirejea kutoka Somalia walipokuwa wameenda kupigana na Al...
  2. Bin Adam

    English learning thread

    Si kujigamba wala nini lakini nimehitimu kwa lugha ya Kiswahili na ya Kiingereza, hivyo nitakuwa hapa kuwasaidia kwa aina yoyote mnayoitaka. Naamini nitaweza kuchangia sana kwa hilo.
  3. Bin Adam

    Kipi Choo?

    Yote ni sawa. Ina maana ya mahali palipotengwa kwa kwenda haja. Pia msalani. Vilevile, choo inamaanisha uchafu unaotoka kwenye tupu ya mbele au ya nyuma.
  4. Bin Adam

    Wadau hebu saidieni hapa....

    The son's mother.
Back
Top Bottom