Search results

  1. P

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Hizo sasa hasira za mkizi. Kanywe maji ya moto halafu uoge ya baridi utarelax. Hata marekani hawatumii bil 2 per day
  2. P

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Na wewe nawe ufanyiwe xray, mri na Ct tugundue shida zako
  3. P

    The next best five years to be spent on witch hunt

    Acha ujinga. This theory doesn't apply to Tanzania. Ukiaminiwa Ukifanya ujinga utanyolewa tu. Mbona hiyo principle hamu apply kwenye ndoa zenu kila siku zinavunjika? Magufuli songa mbele watu kama hawa wamekariri vitabu vya ulaya. Shiiit
  4. P

    Ziara za kushutikiza za Magufuli ziliishia wapi?

    Wewe mpk sikujua kama wewe ni kimeo. Yani unataka rais afanye jambo hilo hilo mwaka mzima? Hujui kuwa kuonyesha mfano ni tija ili wengine waendeleze? Usiku mwema ngoja nikiamka kesho nitakupasha vizuri zaidi
  5. P

    Zitto Kabwe: Magufuli ameanza na hatua nzuri lakini adhibitiwe

    Kudadadek mshamba wewe yale ni macho ya kazi tu. Jione kwanza sijui ukoje tu
  6. P

    Kwa mliochagua Wabunge na Madiwani wa vyama vya upinzani, je kuna nafuu yoyote mnapata?

    Nani kakwambia lizabon anatetea nchi kisa apate u Dc? Lizaboni anajitambua siyo kama wewe mbabaishaji teh teh
  7. P

    Sefue: Watumishi wa umma kuanza kuvaa sare zenye majina yao wawapo kazini

    Sare za suruali, skirt au shati? ??? Unakimbia?
  8. P

    Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Wewe unajua kuna aina ngapi za manunuzi?
  9. P

    Mwongozo juu matumizi ya "Loud Speakers" kwenye Nyumba za Ibada katikati Makazi ya raia

    Naunga mkono hoja. Taifa hili limekuwa fujo tupu kila kona kanisa na matarumbeta usiku kucha. Hivi hakuna sheria ya makelele? Huwezi kuta vitu kama hivi nchi zilizoendelea eti kwa kusali kwako unakwaza wengine wasilale usingizi. Mimi mkristo lakini siamini katika fujo, kelele na kuwa kero kwa...
  10. P

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    The Prezident unataka uzi ufutwe kwa kisa gani hasa?
  11. P

    Ndugu zangu, Maadui wa Magufuli ni wananchi wenyewe!

    Crimea ndugu yangu ndiyo maana wajanja huamua kuchukua cha mapema manake wanadamu hawana shukran. Watanzania wengi hawajui wanachotaka na wengi roho wivu na midomo mirefu
  12. P

    Hofu ya tifu: Kikwete atachoka na kususa

    Kama mnajua mmeibiwa Milango ya Mahakama iko wazi. Wa kuibiwa mtakuwa nyie? Mngeibiwa hata nusu kura si pangechimbika? Eti jamani, shirikisho loote hilo la makundi kede kede ya jamii ndani na nje ya nchi na ma PM woote hao bado mkaibiwa? Hahaaa hamfai you are not smart at all
  13. P

    Hofu ya tifu: Kikwete atachoka na kususa

    Huijui ccm wewe. Siku ukijasikia wako pamoja sana usije ukatoa mimacho. Wewe unaambiwa hicho chama ni "he" na siyo "she" wewe huelewi tuu. Teh teh teh. Ni hivi : ccm ni wao wote na wao wote ni ccm hivyo wale hawawezi kumwagana asilani. Ni chama sikivu na kinajali watu wake ndiyo maana...
  14. P

    Umaarufu wa Lissu Kupotea kwa Kasi: Ni Kutokana na Umahiri wa Naibu Spika, Dr Tulia

    Uongozi hautegemei elimu tu. Kiongozi huwa anasifa za ziada kama vile:- Uadilifu, subira, hekima, busara , uaminifu, kujishusha, kuwaunganisha unaowaongoza hadi wakubaliane kutekeleza jambo ambalo ni muhimu kwa Maslahi ya wote, hana kisasi wala kuweka jambo moyoni ambalo ni la chuki nk...
Back
Top Bottom