Search results

  1. Mshiiri

    Ukweli juu ya sperm nyepesi

    Frequency ya kufanya mapenzi hupunguza viscocity ya shahawa. Hivyo ukiona nyepesi ujue alishabutua mahali maranyingi muda mfupi tu umepita
  2. Mshiiri

    Kipi husababisha mume/mke kutoka nje ya ndoa yake?

    Maisha ni zaidi ya sex. Furaha ya maisha pia ni zaidi ya sex. Sex lasts for say 1hr BUT the rest of 23 hrs ndiyo inajumuisha furaha ya maisha dhahiri. Mahusiano mazuri nje ya sex ni furaha kubwa sana zaidi ya sex yenyewe. Sasa hizi porn na kujihemusha ndizo huchetua fikra tawala za ngono na kuwa...
  3. Mshiiri

    Je, mpira ukirushwa ukaingia golini moja kwa moja ni goli?

    Mpira wa kurushwa in fact ukishaanza kuja haujalishi origin kwenye consequences zitakazotoea kuamua impact. Hili inakuwa goli na mfungaji ni aliyerusha. Mpira wa kurushwa ni halali kwa mantiki yake. Ikiwa hivi kuwa tujali na kuheshimu taratibu za mpira basi mpira wa kichwa golini usingekuwa goli...
  4. Mshiiri

    Corona: Uchumi wa Rwanda taabani kufuatia " lockdown".

    Africa chumi zake zote ni kaanga tule, hamna reserve ya kuwalisha hata wananchi wake milo mitatu kamili kwa siku moja... angalia sana... wao ni viongozi wao kuishi kama malaika pekee na hivi kusema viongozi wa waafrica kote barani ni wakoloni wa wananchi wao. Hamna watumishi wengi wa dhati...
  5. Mshiiri

    PhD inalipa? Iweje wafanye u-MC wa kitchen party?

    PhD = Permanent Head Damage
  6. Mshiiri

    Kwanini wenzetu wameweza kujenga uchumi wa nchi zao nchi za Afrika zimefeli wapi?

    Jibu murua kabisa mkuu! Afrika hatuna bado viongozi safi wenye ari. Alikuwepo mmoja tu naye ni Qaddafi lakini kwa tabia zetu za u-cain tulimmaliza. Sasa hapa pengine mpaka mwisho wa dahari au tupate magufuli kama 200 hivi ndiyo tufidie miaka 60 tuliyopoteza takriban baada ya uhuru. Ili tuendelee...
  7. Mshiiri

    CoViD-19: Siku 30 zijazo ndo muhimu zaidi kujitahadhari, angalia hili jedwali hapa

    Huyu kirusi ni mjeuri sana. Pengine anapima kwanza jamii anaingia na kutoka kisha kurudi na nguvu mpya. Tuzingatie tahadhari sana jamani
  8. Mshiiri

    Hivi ndivyo jinsi majirani zetu wanavyotuongelea kuhusu Corona

    The higher the risk the higher the reward - always
  9. Mshiiri

    Wapi Niagize Mizigo Online Tofauti Na China

    Kwa biashara ilivyo sasa duniani 70-75% ya products ni China origin, by design, under license, manufacturing, copying, replicating, duplicating, you name it. Huwezi kwepa China kwa sasa labda matango, migebuka na mchele wa mbeya
  10. Mshiiri

    Updates za Corona Tanzania

    Hii ndiyo mfano wa deficity and insufficience ya sheria tunazotunga zinakuwa rules and siyo sheria. Sheria lazima iwe ama iangalie exceptions. Magonjwa ya milipuko siyo magonjwa ya kufedhehesha wala kubeza na hivyo kutangaza ilipasa kwa kuwa inaweza kuponya kuanzia familia yake, jiarani yake...
  11. Mshiiri

    Ilikuwa ni makosa makubwa kuiruhusu CHADEMA ikue kwa asilimia walau 20% ,tunakuomba Katibu Mkuu Dr. Bashiru haya makosa yasijirudie tena

    Mkuu wewe ama IQ yako ndogo sana au hujui siasa na wala hukujifunza siasa kwa mifano, au pengine ni papet na kutazamia cheap popularity. Ikiwa itakuchukua miaka 60 na zaidi karibu ya umri wa rais wetu wa sasa tangu amezaliwa hadi leo ndiyo unafanya hayo yote huoni aibu kujinadi? Ni sawa na...
  12. Mshiiri

    Kenya ina maabara 2 tu za kupima Corona, vitanda 160 vya ICU, Kaunti 22 hazina ICU kabisa

    Afrika inafanana wala usijali... Afrika ilipaswa kuwa nchi moja tu kama ilivyo China au India sub-continent. Akili za viongozi wao, priority za maendeleo, life style etc.
  13. Mshiiri

    Kama hali ya corona Africa ni hii na Tanzania tuna wagonjwa 20 basi ni kweli tinaishi Eden

    Ingawaje huu ugonjwa kwa watanzania na waafrika wengi ni gene controlled plus other factors such as immunity vs vaccination ambazo kwa frequency ya kupata contact na visababishi vya magonjwa ni kila siku ...like .. kila siku mathalani unaingiliwa na visababishi vya magonjwa zaidi ya tano kwa...
  14. Mshiiri

    Bunge letu ni bunge la ajabu kweli! Je wanawakilisha wananchi gani? ni wabaguzi na wabinafsi wasiludi uchaguzi ujao

    This is saddening and pathetic news kwa nchi kama Tanzania na salary scale za 250k. Kweli hii nchi inahitaji kuaguliwa
  15. Mshiiri

    Membe 'aitesa' CCM, wanachama wajipanga 'kumrudisha' chamani kwa namna yoyote

    Hizi zote siasa chafu.... sikulizungumzia hili ili leo nimepata wasaa kidogo kudodosa mambo. Propagandists wa kudumisha siasa chafu na ku-deceive the wananchi 2015 - Lowasa 2020 - Membe Soma zaidi kuhusu Joseph Goebbels na alichokuwa anafanya kuhusu kukidumisha chama cha NAZI kule Ujerumani...
  16. Mshiiri

    Kutolewa kwa Mkopo wa Benki ya Dunia kwa Tanzania: Marekani yaeleza msimamo wake

    Sasa hii inanipa taabu kidogo...kuwa hizi zote taasisi za umoja wa mataifa ni fronts za US na hiyo ni sawa na mfuko wa kulia na kushoto bado katika suruali ile ile. Accountability and responsibility inahitajika pamoja na integrity. Ila ukijitegema na kujiamulia kwa US utapata taabu sana...refer...
  17. Mshiiri

    Wafanyabiashara 650 waomba kufunga biashara TRA

    85% ya nini ... yaani 85% inaweza kuwa ya chochote hata 0
Back
Top Bottom