Search results

  1. Wun

    Gharama za Kuanzisha Website ya Biashara 2020 (Mwongozo Rahisi)

    Charge hiyo kila mwaka unalipa kuendesha biashara mtandaoni,
  2. Wun

    Gharama za Kuanzisha Website ya Biashara 2020 (Mwongozo Rahisi)

    TCRA wanacharge kwa website ya biashara ni 500,000/= ya kitanzania
  3. Wun

    Total yatoa fursa vituo vya COCO na CODO kuzigeuza DODO! Kuwa umiliki kituo cha mafuta cha total

    Asante kwa taarifa,kuna changamoto ya utaratibu wao ambayo upo umewapata kipaumbele wenyewe mitaji mikubwa na ya kati kwa maana wafanyabishara wakubwa na wa kati,Je katika hili unaona nafsi hiyo ya kibiashara imekuja kumsaidia mfanyabiashara mdogo anayeelekea kuwa wa kati?
  4. Wun

    Sept. 1990: Kwanini Papa John Paul II alikuja Tanzania?

    Ilikuwa great experience nikiwa kijana mdogo kabisa tulipanga mstari wa mbele kabisa huku tukiwa tumechuchuma nikimuona kwa karibu kabisa akiwa na mwenyewe wake mzee ali hassan mwinyi akipita na mwenyewe wake na msafari wa maskofu na watumishi wengine,ilikuwa siku ya kipekee kabisa
  5. Wun

    Msaada tutani: Mwenye mkataba wa biashara ya Bodaboda

    Weka hiyo sample hapa kila mtu anufaike,umeomba kitu public weka na hitimisho watu wengine wajifunze na kunufaika.
  6. Wun

    CNN’s Anthony Bourdain dead

    Hong kong episode directed by asia argento na alikuwa mpenzi.roho ya mtu ni msitu mzito sana alikuwa ni mtu mwenyewe furaha nyingi sana ni mtu mwenye furaha na maisha yake,nini kilimsibu hadi akatoa uhai wake.
  7. Wun

    CNN’s Anthony Bourdain dead

    Ohh my god.
  8. Wun

    Wanaume wengi wanalea watoto siyo wao bila kujijua

    Kwanini matukio na visa vya aina hiyo vipo sana kwa wapemba tena hasahasa wanawake wa kipemba...au ndio sehemu ya tamaduni zao kubambikia waume zao watoto?
  9. Wun

    Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

    hongera Sana dkt modestus kipilimba na ndg Robert msalika.
  10. Wun

    Idara ya Usalama wa Taifa ipewe Mamlaka zaidi ili kuinusuru Nchi

    Sijaelewa kwahiyo wa kutumbuliwa ni uongozi mfumo wa taasisi?
  11. Wun

    Huu nao ni uhujumu

    Heshima katika imani za watuni jambo la msingi sana
  12. Wun

    Rais Magufuli anaelekea kumpoteza mtumishi makini Augustine Mahiga

    Watashindana lakini hawatoshinda...ni swala la mda tuu, Wamemuandamana mh mahiga halafu ni muendelezo wa matukio yanayofanana wametoka kwa mkewe wameenda kuedit picha yake.
  13. Wun

    Serikali ya Magufuli itakuwa chini ya Kikwete na Mkapa! Magufuli atakuwa na wakati mgumu sana

    Uongozi wa magufuli hauto ingiliwa na mkapa wala kikwete but na maaluki ambao bado wapo ndani na mfumo mmoja wapo ni emanual nchimbi watayumbisha sana serekali ya magufuli kwa kutoa maelezo na viashiri vya uongo.ushauri wangu kwa rais magufuli ni kufocus kwa kile anachokiamini na kutenda kazi...
  14. Wun

    Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Siyo wewe tuu hata mimi wame invest nothing hamna kitu wanachofanya zaidi ya kuibeba ccm na aibu yao.watangazaji wao hawatupi actual sitution kwenye majimbo zaidi ya uongo...nimewadharau sana wameshindwa kusimamia weledi
  15. Wun

    Mazishi ya Mohamedi Mtoi: Kesho tutaelekea Lushoto, karibuni

    Inauma sana jana tuu nilikuwa namuuza mtoi na harakati zake za ubunge hafla naingia facebook nakutana na habari za kifo chake.sisi sote kwake tutarejea pumzika kwa amani
  16. Wun

    Msaada: Agent wa Macbook(Apple Products) Dar

    Naona mnafanya market...unauliza mwenyewe unajijibu mwenyewe
  17. Wun

    Kuimarika kwa shilingi imenikera sana!

    Kuimarika kwa shilling ya kitanzania ni nema kwa wafanyabiashara.hongera kwa serekali
  18. Wun

    Zantel ndio mkombozi

    Jamaa vimeo kwenye internet,internet yao ndio mwendo wa kobe...itakupasua kichwa kwenye hilo
Back
Top Bottom