Search results

  1. MJENGA

    "Fujo Isiyoumiza" Ni Code Name au nini maana yake kiusalama

    Kuna mtu anajiita "Bongo Zozo" na kaulimbiu yake "Fujo Isiyoumiza". Binafsi huyu mtu ananitatiza sana. Anafanya akili yangu iwaze na kuwazua beyond its ordinary scope. Hivi huyu Bongo Zozo ni nani haswa? Ana mission gani hapa nchini? Ni mzalendo kweli kwa nchi yetu ama ametake cover ili aweze...
  2. MJENGA

    USHAURI CHADEMA: Mdude Nyagali amemkosea adabu Rais Samia, mtakeni amwombe radhi

    Clip hii inayomuoneesha Mdude Nyagali akiapa kutumia wembe kumnyoa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (sijui ni kwa namna gani) inaonesha kiwango cha juu cha ukosefu wa adabu wa mhusika kwa mamlaka za nchi na watu waliomzidi umri. Kauli ya Mdude kwa Rais si tu ni ya kishenzi isiyopaswa kuvumiliwa...
  3. MJENGA

    Mipango miovu ya Tundu Lissu yabainika. Soma barua ya inayofichua mipango hiyo

    Tundu Lissu hana huruma na Tanzania kabisa. ==== Wistleblowers Investigation Worldwide (WIW) imeibua mapya kwenye barua yake ya wazi kwa rais wa JMT na waziri Kabudi kwamba ubia wa Amsterdam na TL nia yake ni kuivuruga Tanzania. WIW inasema ina ushahidi wa kiuchunguzi unaothibitisha mkakati...
  4. MJENGA

    TISS ya Diwani Msuya kama CIA na Mossad, hongera sana Director General

    Ninafuatilia sana utendaji wa kazi wa kikosi cha ulinzi wa viongozi wa taifa letu, hakika umeimarishwa. In terms of equipments yaani wana madude yanatisha! Lile gari lenye maminara kibao linafanana na magari wanayotumia akina Trump na akina Puttin. Hakika sasa tunajivunia kuwa viongozi wetu...
  5. MJENGA

    Utandawazi (Globalization): Adui hatari wa Afrika asiyesemwa kwa undani madhara yake

    Ndugu zangu poleni na majukumu. Leo nimeona tukumbushane jambo muhimu la kuliewa sote Waafrika. Nimeona tujikumbushe ni wapi wakubwa wa dunia wanatupeleka sisi tuitwao dunia ya tatu. Ni kwamba kuanzia karne ya 14 hadi 16 huko Ulaya tayari vijitaifa (nation states) vilikuwa vimeanza kupata...
  6. MJENGA

    Zarina Hassan na Tanasha ni ndugu, Diamond anachezewa mchezo tu

    Nimeisikia mahali kuwa kumbe mke wa zamani wa Diamond Platnumz na yule wa sasa Tanasha Dona, sijui Sembe, ni ndugu na kwamba Zari anamtumia Tanasha kum-monitor na kum-control Diamond. Lengo ni kumfilisi kabisa na mwisho wa siku wamwache solemba. Unaambiwa Zari ni mafia aliyeshindikana na kwamba...
  7. MJENGA

    Sura ya pili ya waomba Msamaha kwa Rais itizamwe kwa jicho la tatu pevu. Nadhani Rais anahitaji kuwa makini zaidi

    Nimefuatilia taarifa za January Makamba, William Ngereja na Nape Nnauye kumuomba msamaha Mheshimiwa Rais wetu. Nimetafakari kwa kina na kuja na tahadhari zifuatazo; 1. Rais asiwaamini haraka kwani inawezekana ni mkakati wa genge kufanya hivyo kufunika kombe na kuhadaa ili wapate nafasi nzuri ya...
  8. MJENGA

    Thread maalum ya kuwaumbua wanaowagonga wake za watu Songea mjini. Haya twende kazi

    Lengo ni kuwaumbua ili waache tabia hiyo.
  9. MJENGA

    Songea: Lori lingine la mafuta limeacha njia na kuogonga miti na kulipuka

    Usiku wa kuamkia leo eneo la Ngadinda, Madaba, Songea lori lenye mafuta lililokuwa likitokea DSM limeacha njia na kisha kugonga miti na kulipuka. Kichwa cha gari na matairi vimeteketea kwa moto huku tanki la mafuta likibaki salama. Vyombo vya ulinzi na usalama vimefika kwa wakati na kufanikiwa...
  10. MJENGA

    Madai ya Rais kupendelea Chato ni uzushi na propaganda kongwe kabisa. Ushahidi huu hapa...

    Kwa taarifa yenu mnaolalamika hovyo eti Rais Magufuli anapendelea Chato nendeni Ruvuma mkaone kazi ya Magufuli. Kuna ujenzi wa uwanja wa ndege Songea Ujenzi mabarabara kwa kiwango cha lami Songea Mjini, Vijijini na Madaba. Ujenzi wa stendi kubwa ya kisasa shule ya Tanga, Songea Mjini. Ujenzi...
  11. MJENGA

    Ni halali Diamond na Harmonize kuwarushia watu fedha?

    Nimeona clip za video zikiwaonesha Diamond akiwa Kahama na Harmonise akiwa Mtwara, wakirusha fedha na wanachi wakizigombania. Nauliza tu imekaaje kwenye sheria zetu za fedha?
  12. MJENGA

    Tanzania kama Taifa tisipepese macho tuupinge ushoga na usagaji. Heri tukose misaada ya mashoga na wasagaji kuliko kulaaniwa na mwenyezi Mungu

    Tanzania Kama yalivyo mataifa mengine ya Afrika tunajitambua na kujitofautisha na mataifa mengine ya magharibi Kwa kuwa na Mila, tamaduni Na desturi za kistaarabu zinazoweka mipaka ya mahusiano ya jinsi Na jinsia. Kiafrika ni mwiko na laana mwanaume Kwa mwanaume ama mwanamke Kwa mwanamke kuwa...
  13. MJENGA

    Tiririka warembo Songea unaowajua

    Ni nani unayedhani ni mwanamke mrembo Songea. Tiririka.
  14. MJENGA

    Jukwaa la Wahariri; chama kingine cha upinzani!

    Nilitarajia kusoma andiko la wahariri lililojaa hasira dhidi ya vyombo vya habari visivyokuwa na vyama vya wafanyakazi vya kuwatetea dhidi ya madhira wanayokumbana nayo katika maisha yao ya kazi kila kukicha. Nilitarajia kusoma andiko la wahariri lililojaa hasira kuhusu kuporomoka kwa kiwango...
  15. MJENGA

    Hongera Askofu Mark Malegana wa Kanisa la Sabato

    KANISA la Waadventista Wasabato (SDA) limesema tamko linalofaa kwa viongozi wakiwemo wa dini ni Watanzania kuunga mkono hatua ya kutoka kwenye umaskini na kwenda katika uchumi wa viwanda ambao Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli, inalisimamia vyema jambo hilo kwa manufaa ya...
  16. MJENGA

    Askofu Damian Denis Dallu unajitambua, hongera Askofu Wangu

    Jana kwenye misa ya mkesha wa Pasaka Askofu Damian Denis Dallu wa Jimbo Kuu Katoliki Songea, bila lining'unya maneno ameponda maandamano haramu yanayopangwa kufanyika tarehe 26.04.2018. Alisema kuwa yeyote mwenye jambo lake atafute siku yake na siyo tarehe 26.04.2018 na kwamba anayetaka kafara...
  17. MJENGA

    CHADEMA mmetudharau watanzania kwa kwenda kushitaki mambo yenu huko

    Ndugu zangu watanzania wazalendo kwa nchi yetu nzuri ya Tanzania mtakumbuka tarehe 29.03.2018 Wabunge wa CHADEMA baada ya kutoridhishwa na hatua ya Mbowe na wenzake kutofikishwa mahakamani na mambo mengine kama hayo, wakiongozwa na Godbless Lema walikwenda kwenye ofisi za Umoja wa Ulaya...
  18. MJENGA

    "The Economist" vs "Tarehe 26.04.2018", ni mpango maalumu ama!!. I hope TISS mmeshaliona hili.

    Ndugu watanzania wenzangu wazalendo, wapenzi na waunga mkono jitihada za Rais makini, mzalendo, mwenye uthubutu na asiye muoga wa mabeberu uchwara Dkt John Joseph Pombe Magufuli, ninatumai mnauona muunganiko wa dots uliopo kati ya kile kinachoandikwa na kijigazeti uchwara cha Economist kuhusu...
  19. MJENGA

    Nitajie jina moja la Mwalimu wa kike Songea Mjini unaevutiwa nae

    Karibu unitajie jina la Mwalimu wa kike aliyeko Songea mjini ambaye unamzimia kinouuuma
Back
Top Bottom