Search results

  1. jogoolashamba

    Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Ďu Duh! Hii namubaliana nayo 100% kama niliandika mimi. Lazima ilikuwa saa sita usiku na nilikuwa nimechelewa kulala. Lakini wakuu huo ndiyo fact!
  2. jogoolashamba

    Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    WaTz mnapenda kumshitaki Nyani kwa Tumbiri ili aonekane mwizi wa mahindi tu lakini mkijua hawezihata kukemewa . Katiba pendekezwa ya Waryoba ilikuwa imefungia kinga zote za kijingaza rais ndaniya jeneza tayari kwenfakuzikwa. Hamtaki kumsema Tumbiriwenu chaujanja aliyefungua jeneza hilo kwa lugha...
  3. jogoolashamba

    Mali za Makonda: Selasini agoma kupeleka malalamiko tume ya maadili

    Kama Sekretarieti haina data hizo basi haina sababu ya kuwepo ni ajira hewa isyokuwa na kazi mpaka ipate walalamikaji. Bora hata Polisi wanaonekana barabarani wakijisingizia wanafanya kazi. Ukipeleka malalamiko Tume wanakusingizia mwehu unabughudi wakubwa halafu jioni Uhuru fm na RTD wanatangaza...
  4. jogoolashamba

    Ni wakati sasa wa Kujua ni Gharama Kiasi Gani zimetumika Kupambana Na "Tamko"

    Siku zote gharama za ujinga huwa kubwa! Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
  5. jogoolashamba

    Mpango wa kulifumua upya jiji la Dar na kulifanya kuwa kitovu cha biashara sasa umeiva

    Mipango ya pesa kubwa kubwa huanza kwa mawazo makubwa makubwa hadi mnafika mahala mmeliwa halafu mnaishia kama JK alivyowambia wakati waIPTL: "Ujinga wenu, hiyo hela siyo ya umma, labda kodi tu."
  6. jogoolashamba

    Mpango wa kulifumua upya jiji la Dar na kulifanya kuwa kitovu cha biashara sasa umeiva

    Wakati wa Ruksa CCM ilifungua matawi mpaka visiwa vya Sicily humo Italia. JK yeye aliyatangaza kabisa. Lukuvi ni Mtume wa kikundi kinachojihusisha na mkondo wa hao na ndiyo waliomfanikishia Ubunge na Uwaziri baada ya kumtuma kulipa pesa kwa wavamizi wa barabara ambao genge halikutaka wajulikane...
  7. jogoolashamba

    Mpango wa kulifumua upya jiji la Dar na kulifanya kuwa kitovu cha biashara sasa umeiva

    Wakati wa Ruksa CCM ilifungua matawi mpaka visiwa vya Sicily humo Italia. JK yeye aliyatangaza kabisa. Lukuvi ni Mtume wa kikundi kinachojihusisha na mkondo wa hao na ndiyo waliomfanikishia Ubunge na Uwaziri baada ya kumtuma kulipa pesa kwa wavamizi wa barabara ambao genge halikutaka wajulikane...
  8. jogoolashamba

    Mpango wa kulifumua upya jiji la Dar na kulifanya kuwa kitovu cha biashara sasa umeiva

    Hammjui Lukuvi. Wakati Waziriwa Ujenzi Jiohn Magufuli amekataza waliojenga ndaniya hifadhi ya barabara Kilwa Road Lukuvi akatoa pesa za Mkoa akaenda kuwalipa marafiki zake Kongowe. Akapanda ngazi kutoka ukuu wa mkoa hadi ubunge na uwaziri. Fadhiriķeni hizo mtakutana nazo katika hizi bil. 600/...
  9. jogoolashamba

    Lowassa: Siwezi mhukumu Kikwete, yeye mwenyewe ajihukumu. Magufuli anafanya vizuri baadhi ya maeneo

    Mil 6 kutoka Tanga, Pwani, Dar es Salaam na Zanzibar. Lowassa haoni pattern hapa ya Waislamu wanaomkataa Magufuli, hii haikumaanisha walimpenda Lowassa, hawakuwa na nama. Hata kampeni za kutega makelele mitaani kanda hizo hawakufanya kama walivyotega wakati eakimkampenia Kikwete. Kuna pundits...
  10. jogoolashamba

    Message niliyopata kwenye simu kuhusu ajira katika majeshi

    Duh! Kumbe hawa wajiri wa jeshi wakowengi. Mimisimu yake inaanza na 67 na kuishia na 46. Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
  11. jogoolashamba

    Message niliyopata kwenye simu kuhusu ajira katika majeshi

    Basi angalau waungwana mnisaidie Shirika gani la simu Tz lina namba zinazoanzia 744 yaani 0744 au +255744?
  12. jogoolashamba

    Message niliyopata kwenye simu kuhusu ajira katika majeshi

    Waungwana leo Jogoolashamba nimepandikiziwa sms hii: "HABALI AFANDE JAMES NAFASI YA KUUSU KIJANA WAKO KUJIUNGA NA JESHI ULIFANIKIWA? KUNA NAFASI HAPA KIKOSINI KAMA BADO TUWASILIAE HARAKA TAFUTA NA VIJANA 2". Namba ya simu ya mtumaji ninayo, ila sababu ya kutumiwa sms hii siijui. Ni wrong...
  13. jogoolashamba

    Jeshi la Polisi lapewa siku 90 kuhakikisha mitambo ya LUGUMI inafanya kazi vituo vyote

    Ñchi hii hata wezi wa fedha nyingi hadi billioni 37 wanapewa muda wa kuficha wizi wao kwa kuruhusiwa kupandikiza kompyuta mbovu hivi hivi kadamnasi. Nani alichota pesa ya Lugumi? Iweje mtu aliyefunga kompyuta 14 tu katika miaka mi 3 aweze kufunga mifumo madhubuti ya kompyuta 98 ndani ya siku 90...
  14. jogoolashamba

    Kinga ya maraisi wastaafu dhidi ya mashtaka

    2+2=5? QED. Umeonesha upoyoyo wa yule nyani nani vile?! Kumbe kuonyesha limetokana na kuonya na .... Duh! Yapo lakini Jogoolashamba likiwika mjini magazeti yote yanaandika habari za KAKAKUONA.
  15. jogoolashamba

    Kinga ya maraisi wastaafu dhidi ya mashtaka

    Nimeshindwa kuandika neno tu vila.... mtandao wa JF umefundishwa kulifuta. Nina hakika wewe mwenye dua mpaka ya kufunga hutaona hata kitu!
  16. jogoolashamba

    Kinga ya maraisi wastaafu dhidi ya mashtaka

    Kiswahili kigumu! Wadanganyika waliongozwa na bwana mkubwa kukataa neno lililopo kwenye kamusi sanifu la "Kuonyesha" wakaambiwa watumie neno "kuonesha" badala yake. Mpaka kesho maonyesho ya Sabasaba wanaita "Maonesho ya sabasaba". Bwanamkubwa huyo huyondiyo kukufundisha upoyoyo? Sishangai...
  17. jogoolashamba

    Kinga ya maraisi wastaafu dhidi ya mashtaka

    Hapa ndipo tunapohitaji VIONGOZI wanaodai wanajitoa mhanga. Kwa ajenda kama hii nina hakika maandamano yatafurika wana CCM, CUF, ACT, CHADEMA. Tuna viongozi wanatetea ajenda mflisi zisizokuwa na maslahi ya waTz katika ujumla wao kama issue hii ya Kinga. Bunge Live mfano mwingine, badala ya...
  18. jogoolashamba

    Kinga ya maraisi wastaafu dhidi ya mashtaka

    Kauli ya Mh Rais John Pombe Joseph Magufuli kuwa atawalinda Marais wastaafu dhidi ya mashitaka inatia woga. Mamlaka ya Rais wa sasa asiyeshtakika yana uhuru mkubwa wa mwenye kuwa nayo kuibia nchi na hata kufanya vituko bila shaka ya kuulizwa. Mamlaka ya namna hiyo yanatuletea ile dhana haswa ya...
  19. jogoolashamba

    Prof. Ndalichako: Wanafunzi UDOM wamerudishwa nyumbani kwa sababu ya mgomo

    Kazi si yao vipi? Mwanafunzi yeyote anayedahiliwa UDOM ni kazi ya maLecturer wa UDOM. Kosa lingekuwa ni Lecturers hao wanafunzi wasingeanza hata kufundishwa lakini wengine walijuwa hadi mwaka wa pili. Pili wanafunzi walikuwa wanafadhiliwa na Bodi ya Mikopo hivyo pesa ya kulipa wakufunzi...
Back
Top Bottom