Search results

  1. Idd Ninga

    Mfahamu Pete Felix O'neal

    Pete Felix O'neal Alizaliwa tarehe 27-07-1940 huko Kansas City siku kama ya leo, anayotimiza miaka 83. Ni mwanamapinduzi mwenye asili ya kimarekani akiwa menyekiti wa Black Panther Party- for self defence . Chama cha wapigania na kulinda haki za watu weusi wa kimarekani kama majimbo yao zidi...
  2. Idd Ninga

    Najuta Kumsomesha

    NAJUTA KUMSOMESHA Najuta leo najuta Majuto ni mjukuu Mwenzenu yamenikuta Nimeshavunjika guu Wakubwa walinambia Masikio nikaziba. Hata ada nikalipa Chuoni kumpeleka Nikajiona kibopa Kidume nimeshafika Kumbe aniangalia Atimize zake ndoto. Leo chuo kahitimu Hataki kunisikia Kweli mi mwendawazimu...
  3. Idd Ninga

    Shairi: Ukiniacha Nakuloga

    Penzi lako nili tamu,kwako nipo taabani Penzi aliishi hamu, limeingia damuni Hii sasa yangu zamu, kufurahi Duniani Nimeipata bahati, kupendwa na Malaika. Penzi lako kama nuru, linanitoa gizani Kukusifu si kufuru,wewe ndo wangu mwandani Nitaanza kufuturu, kupiga vitu fulani Utamu wa penzi lako...
  4. Idd Ninga

    SoC02 Ulimwengu wa Kidigitali, Nyuma ya pazi la Wizi wa Kimtandao na uuzaji wa DATA

    Wizi wa kimtandao umekuwa ni jambo la kawaida sana katika jamii yetu hii inatokana na ukuaji wa teknolojia na uelewa mdogo wa watu wengi katika mayumizi ya vifaa vya kidijitali vya mawasiliano, hii ni mbinu mpya ya kuwaibiwa watu kwa njia ya mtandao huku mwizi huyo akiwa amejificha nyuma ya...
  5. Idd Ninga

    Ukatili wa Kijinsia katika zama za sasa nini kifanyike ?

    Katika Kipindi cha miaka iliyopita, utamaduni ulikuwa ni moja ya sababu kubwa zilizopelekea Ukatili na Unyanyasaji wa Kijinsia kuwa sababu kubwa ya mateso Katika Jamii,wengi waliathirika kisaikolojia, kimwili na wengine kiroho kwa kupoteza Maisha yao na wengine kupata matatizo ya kiafya ya...
  6. Idd Ninga

    Ukatili wa kijinsia ni uvunjigu wa haki za Binadamu

    Dunia, mataifa makubwa na mataifa madogo, ulimwengu mzima unakubali kuwa haki za binadamu ni jambo lolote ambalo binadamu anastahili kuwa nalo tangu anapozaliwa bila ya kujali jinsi ya mtu. Kiimani na kiutamaduni pia, inatambulika kuwa haki za binadamu zitaendelea kuwepo hadi pale binadamu...
  7. Idd Ninga

    Umasikini na utamaduni ni changamoto katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia

    Moja kati ya maadui wakubwa wa taifa letu na nchi ya Tanzania ni umasikini, umasikini ambao umekuwa ni tatizo Katika familia nyingi za mijini na vijijini, umasikini ambao unatokana na matatizo mbalimbali ambayo yanahitaji kutatuliwa kwa Pamoja ili kuondokana na hali hiyo. Watu wengi waliopo...
  8. Idd Ninga

    Wanyakyusa na ujuzi wa Kuchunguza na kupasua maiti

    WANYAKYUSA NA UPASUAJI WA MAITI Afrika haikuwahi kuwa na wajinga kiasi hicho ndio maana watu walifuatwa kufanywa watumwa na kwenda kujenga Ulaya, ila ni lazima kuwalisha waafrika matango pori kwa sababu ya shida zao ili waamini kweli walikuwa wajinga. Hebu leo tutazame kabila la Wanyakyusa na...
  9. Idd Ninga

    Wahaya na Fasihi ya Majigambo au Ebyebugo

    Hakuna kitu nachokichukia na kinachonikera kama kusikia kuna watu wana amini kuwa eti Ushairi umeendelea kwa sababu ya waarabu na wengine kwenda mbali zaidi na kusema Kiswahili ni kiarabu na wengine kupitiliza mipaka ya kufikiria hovyo kabisa na kuona kwamba ukichanganya maneno ya kiarabu hata...
  10. Idd Ninga

    Chapa ya Mnyama

    Chapa ya Mnyama Mrefu tena mpole,rangiye ya kupendeza Rangi kama ya vipele,manyoa ya kuteleza Wale wazee wa kale,wao walipendekeza Chapa ya huyo mnyama,yafaa wakilogewa. Mwenye mwendo wa maringo, na mwili ulonyooka Ndefu sana yake shingo,matawini inafika Hawa walishwa uongo,kumbe wamelaanika...
  11. Idd Ninga

    Shairi: Mzururaji

    MZURURAJI Nenda kote uzunguke Kapayuke upasuke Umbea kautangaze Na taifa uliuze Wazalendo twasubiri Kikinuka tukuanze Mjinga sana ni wewe. Kijijini una ndugu Tena masikini sugu Kula yao hawajui Nyumba mbavu ya mbwa Godoro lao busati Ila wewe kichwa maji Kutwa kiguu na njia. Asili yako kiburi...
  12. Idd Ninga

    Tuungane kwa pamoja kupinga ukatili wa kimtandao dhidi ya wanawake

    Udalilishaji na ukatili wa kijinsia dhidi ya mwanamke umekua ukichukua nafasi katika jamii ya watumiaji wengi wa mtandao nchini Tanzania huku idadi ya wanawake na mabinti wakizidi kunyanyaswa kupitia mitandao ya kijamii. Picha na video za udhalilishaji wa mwanamke zimekua zikisambazwa na baadhi...
  13. Idd Ninga

    Waso na maono,watawachagua.

    WASO NA MAONO,WATAWACHAGUA Naam Haina ubishi,hao Wasojitambua Wasojielewa Waso na maono. Tuseme tu Ndio wao,viherere Barabarani,na vikengele Vigelele,wapiga makofi Tutawachagua. Tena Kwa mara nyingine Tuwape ulaji Wale,wanenepe Si ndio. Hivyo Tena,hivyo hivyo Ndivyo tunataka,tumelogwa Tena...
  14. Idd Ninga

    IYD-Siku ya vijana duniani,Arusha

    Siku ya vijana kitaifa,maadhimisho yanaendelea katika ukumbi wa mkuu wa wilaya Arusha.
  15. Idd Ninga

    Madhara ya Rushwa katika Uchaguzi

    #UchaguziMkuu2020Tz.
  16. Idd Ninga

    Uchaguzi 2020 Nalitamani jimbo la Arusha mjini,ni wakati wa vijana wachapa kazi

    Haja yangu ni kuliona jimbo la Arusha mjini likiwa Geneva ya kweli ya Afrika,kuigeuza na kuifanya Arusha kuwa makao makuu ya utalii Afrika ya mashariki na kati na kuweka mikakati na mipango na wadau wa utalii katika jimbo hili kuhakikisha utalii unatangazwa na vijana wanapata ajira ya uhakika...
  17. Idd Ninga

    Tungo huru si mashairi

    TUNGO HURU SI SHAIRI Msiojua kutunga, leo nawapa salamu Tungo mnazozitunga, siyo tungo mfahamu Mnapaswa kujipanga, na mtunge kwa nidhamu Leo naimwaga mboga, tungo huru si shairi. Mashairi bila vina, si shairi mtambue Nitasema mkinuna, mkitaka mjiue Hapo utunzi hakuna, rukeni mjibenue Leo...
  18. Idd Ninga

    Mjadala wa Bajeti ya Mwaka 2020 kwa njia ya mtandao. Jiunge sasa

    MDAHALO WA BAJETI UKUMBI: ZOOM Topic: Mdahalo Kuhusu ya Nafasi ya Vijana Katika Bajeti MPYA 2020-2021 Time: Jun 27, 2020 11:55 AM Africa/Dar_es_Salaam Join Zoom Meeting Join our Cloud HD Video Meeting Meeting ID: 786 0216 8531 Password: 2sqLi9
  19. Idd Ninga

    Shairi: Siku Nikipata Demu

    SIKU NIKIPATA DEMU. Nasema kinywa kipana , sasa nihofie nini, Tena nasema kwa vina, kweli kutoka moyoni, Maneno yatapangana , nitanadi hadharani, Siku nikipata demu , ulimwengu utajua Mbona nikipata mwali, mtaona mashauzi, Nitajifutua kweli,kwa kimwendo cha mapozi, Mtaniona fedhuli, nikimpata...
  20. Idd Ninga

    Shairi - Nimekufa

    NIMEKUFA Masikio yameziba, sisikii na sioni Shingoni yamenikaba, nimelegea moyoni Ni nani wa kunibeba, nyota ipo ukingoni Nimekufa nimeoza, nasubiria kunuka. Niache niwe mtumwa, penzi lake ni kifani Hata kama nitasemwa, simwachi yeye jamani Hata mate nikitemwa, namganda kifuani Nimekufa...
Back
Top Bottom