Search results

  1. kabiriga

    Hatimaye Waraka umemtoa pangoni “mwenyewe”!

    Kidogo kidogo tutaelewana baadae baada ya maji kujitenga na mafuta
  2. kabiriga

    TEC Ina nguvu duniani kote waraka wao usipuuzwe

    TEC wametimiza wajibu wao kama taasisi ya watu wenye mapenzi mema kwa wanadamu na Mungu.
  3. kabiriga

    Serikali yaondoa ukomo wa Matumizi ya Vitambulisho vya Taifa

    Vitambulisho kuwa na ukomo ilikuwa ni sheria,au kanuni?.. Tunaishi kwa matamko
  4. kabiriga

    Pongezi kwenu Single Mothers

    Sawa bwana mtafiti
  5. kabiriga

    𝗨𝗻𝗮𝘁𝗮𝗸𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝘀𝗮𝗹𝗮𝗺𝗮 𝗠𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼𝗻𝗶?

    Mimi utumia strong password yenye mchanganyiko wa namba herufi na special characters na ahakikisha sio chini ya 18.
  6. kabiriga

    Katibu Mkuu CCM atoa siku 7 kwa TBS kukagua magari ya Kipanya

    Inamaana kwa maelezo yote aliyotoa Masoud ,pakuanzia ni TBS kweli?
  7. kabiriga

    Dkt. Mwigulu: Tutajenga maghala makubwa ya kuhifadhia mafuta ambayo tutahifadhia siyo mafuta yetu tu bali pamoja na ya nchi jirani!

    Wametuzoea sana hawa watu,wanaweza kutudanganya miaka nenda rudi na sisi tupo tumetumbua macho tu. Mjia ya mwongo ni fupi sana
  8. kabiriga

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nafikiri huwajui vizuri Urusi, Kwa ufupi wanachokisema sio wanachokifanya ,wanachokifanya sio wanacho kisema
  9. kabiriga

    Sasa ni rasmi January Makamba Waziri wa ovyo kuwahi kutokea kwenye sekta ya Nishati

    Mimi sio muumini wa watu Bali mifumo ya uongozi,unaweza kuwa kiongizi mzuri mfumo ukakukaba.....isijeikawa anchokisema Makamba akitaka kukiweka kwenye matendo,anakutana na mfumo
  10. kabiriga

    Polisi mlichowafanyia hao wanajeshi kwa ushahidi wao mmewakomoa ila mnatia hasira

    Hupo usemi wa kiafrika unaosema"matako ata yawe na haraka kiasi gani hayawezi kuwa mbele" .Uongo utadhihilika hivi punde vinginevyo jaj nae awe wa mchomgo.
  11. kabiriga

    Wafanyabiashara wataka uchunguzi kiini moto sokoni, wadai ni njama

    Ajali za moto zimekuwa nyingi nyakati hizi, watu wamepoteza mali, mitaji na maisha yao yamekuwa magumu kwaajili ya watu wachache yamkini wanaolinda maslahi ya wachache na tume na chunguzi hazielezi kinagaubaga nini vyanzo na namna gani Mambo haya yatakomeshwa.
  12. kabiriga

    Bungeni: Kamati ya Bunge yazitaja sababu zinazopaisha bei ya mafuta

    Ni jambo ambalo lilichelewa Sana,serikali makini zote duniani zina hifadhi ya mafuta asa wakati wa shida inapotokea na uondolea wananchi bughudha nyakati wa panda shuka ya bei ya mafuta.
  13. kabiriga

    Naona dalili za mechi ya kesho kutochezwa

    Mtoto wa kudekeza,.....
  14. kabiriga

    Rais Samia anasema 'hili tunalichukua'. Hayati John Magufuli aliamua pale pale jukwaani

    Bado kitambo kidogo, tutaweza kubadili upepo,maana kuimba kwa midundo ya mpiga ngoma imesha kuwa jadi yetu ingawa muda ni mwalimu mzuri
  15. kabiriga

    Ila JK ni mtu mmoja mjanja sana

    JK huyu huyu au mwingine!?
  16. kabiriga

    Aliyesababisha Tido Mhando aondolewe TBC akamatwe na kuhojiwa

    Hakuna wa kufukuza hapo! Nani kakwambia TBC haina mvuto ?Sisi kama SISI tuneridhika sana na utendaji wao wa kazi na tuweza kusema kwa uhakika kazi yao ni nzuri sana.
  17. kabiriga

    Kwanini wapiga kura wameamua kuifuta CHADEMA?

    Bado naendelea kutafakari ulichokiandika........................................ Nitarudi baadae nibandike maoni yangu.
Back
Top Bottom