Search results

  1. Y

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Aluta Continua. Chama ni zaidi ya mtu. Amesimamia upande wake nihaki yake na mapambano yanaendelea. Anauhuru kama ambavyo amekua huru kutimiza matakwa yake kwenye nafasi nyingine alizokuwanazo kuanzia kwenye Dini, CCM, Familia na nyingine. Kikubwa atambue hayo anayoyaongea watanzania wameyasikia...
  2. Y

    Wabunge wa CHADEMA: Mnatoa msaada au mnatangaza majina yenu kwenye magari?

    Mandla. Nini kibaya hapo?kwani huo msaada wanakua hawajatoa wao? kama wametoa wao kuna ubaya gani wakiandika kwamba wametoa msaada? au msaada ni siri? mbona wafadhili wa nje wakitoa wao wakiandika ni halali? au kupata msaada kwa mzungu ni halali lakini kwa mweusi au mswahili mwenzako ni dhambi...
  3. Y

    Mke wa Sumaye kunyang'anywa ekari kubwa za mashamba Kibaha

    Tanzania ina eneo la kilomita za mraba karibu 950,000 Na watu chini ya milioni 51. kwa tafsiri fupi tu ni kila mtanzania anatakiwa amiliki zaidi ya kilomita za mraba 47. jiulize kilomita hizo za mraba ni hekari ngapi za mraba? Tanzania bado ni kibwa sana na ingekua uzalendo zaidi kuwahamasisha...
  4. Y

    Mke wa Sumaye kunyang'anywa ekari kubwa za mashamba Kibaha

    Nimuhimu kujua kwamba ni haki ya kila mtanzania kumiliki ardhi katika Nchi yetu. Na hakuna dhambi yoyote kukiliki kiasi chochote cha ardhi so long as unamiliki kihalali. Kama alimilikishwa kihalali ni haki yake na niwakumbushe tu hilo ni eneo dogo sana ukilinganisha na maeneo watu wanayomiliki...
  5. Y

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Ni mwendo wa kuwapatia watanzania zawadi ya weekend mpaka tar 25 October. Mwanzo wa Tanzania yenye neema . Tegemea ujio mwingine soon.
  6. Y

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Hakika tutashinda na zaidi ya kushinda. Tumebakiza softy parts Kufix. Tuhamasishana kujitokeza kupiga kura. This is true reflection ya GariGari ya watanzania kutaka mabadiliko na mabadiliko hayatapatikana kwa kuishia kwenye maandamano Bali kwa kupiga kura ya mabadiliko.
  7. Y

    Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Dr Wapi? Tuliambiwa humu atakabidhiwa form na Katibu mkuu wa chama. Naona huu mchakato umetawaliwa na Mbowe na Mwalimu . Kulikoni??
  8. Y

    Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Dr Wapi? Tuliambiwa humu atakabidhiwa form na Katibu mkuu wa chama. Naona huu mchakato umetawaliwa na Mbowe na Mwalimi . Kulikoni??
  9. Y

    Full Text: Hotuba ya Wizara ya Fedha 2015/2016

    Mwenye Finance bill atutupie tafadhali
  10. Y

    Full Text: Hotuba ya Wizara ya Fedha 2015/2016

    wakuu hakuna aliefanikiwa kuupata mswada wa sheria ya fedha ? Maana naona hapa kapaka tu rangi ila mambo yote kwenye finance bill ndio tutayapata
  11. Y

    Ngeleja: Zitto aliomba na kupewa milioni 30 kutoka kwa Rugemarila

    Huu ni utetezi wa ajabu sana tena toka kwa mtu ambae anaaninika amehudhuria darasa la sheria( Sina hakika kama ni Mwanasheria) hasa anapoamini kwamba atahalalisha uovu wake kwa kigezo cha uovu wa mwingine kama upo. Hongera ZZK kwakuweka viwango vya uhalali wa kimaadili. Mwanasheria msomi...
  12. Y

    Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu 17 machi 2014-Viapo kwa wajumbe, Jaji Warioba Kuwasilisha Rasimu

    Kwani huyo anaetakiwa kuja kuzindua bunge la katiba yukowapi? Analipa umuhimu gani hili jambo mpaka ashindwe kuliweka kwenye vipao mbele vyake vya ratiba? Je inawezekanaje kuwakilisha katiba kwenye bunge ambalo halijazinduliwa? Ni kweli mtu huyu alieweza kutoa msafara toka Uswis na kukatiza...
  13. Y

    Rostam Aziz, ndiye tajiri namba moja Tanzania kwa sasa!!!

    Tatozo fobes wanafanyia kazi taarifa rasmi sio utajiri wa magumashi wa kusafisha hela haramu na madawa
  14. Y

    Mh.Mbowe na Mnyika kuwasha moto Igunga Leo

    Mungu akiwa upande wetu. Ni nani alie juu yetu?
  15. Y

    CCM yameguka Zanzibar... sababu ni kuvuliwa kwa Uanachama kwa Mwakilishi Mansoor Yusuf Himid

    Niheri vita inayopigania kuliko amani inayoshalilisha haki na utu wa mwanadamu
  16. Y

    Mbowe,Lissu,Mnyika wafanya kweli Kasulu, CCM wakili wanatisha

    Unatosha sasa na inatisha sanaa... Cdm ni nowma... Tunawashika mbayaaa!!! Watanzania wa sasa tumeamka na hatuogope tena... Mapambano yanaendelea mpaka kieleweke
  17. Y

    Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

    Kamanda hongereni. Tunamshukuru mungu kwakoa ametimiza ahadi yake kwa watu wake. Binafsi nilijua tutashinda ila nilishtushwa sana na namna ya ujasiri wa kijangili na dhuluma zidi ya haki ya watu kuishi na haki ya watu kushiriki katika kuhamua hatma yao ya kisiasa. Kujichagulia viongozi watakao...
  18. Y

    Baba yake Joyce Kiria afariki dunia

    RIP Baba mkwe. Umetangulia mbele ya haki ukituacha tukiipambania haki. Hakika tutashinda
Back
Top Bottom