Search results

  1. Passion Lady

    Inasikitisha,ila ndio yashatokea!!

    habarini wana jf mi mwenzenu kuna kitu kimenikwaza na kimeniumiza sana mtaani kwetu kuna mwanajeshi kaibiwa laptop,leo siku ya tano wanapiga watu hovyo,kijana akikutwa barabarani ni kipigo inasemekana kuna kijana amepigwa baada ya hapo wakampeleka kituo cha police bahati mbaya amekufa,hajulikani...
  2. Passion Lady

    Happy birthday figganigga!!

    Happy birthday figganigga with love & joy!!
  3. Passion Lady

    Asante mungu kwa kutupatia papa mpya!

    Ni tukio tulilosubiri kwa hamu na tushukuru mungu kwa kutupatia kiongozi mpya wa kanisa katoliki mungu amuongoze ili nae aweze kuongoza kanisa! ameeeen!
  4. Passion Lady

    Ifuatayo ni kamati ya harusi yangu mm p.l na huby wangu ruttashobolwa!

    MWENYEKITI WA KAMATI:BABA V,MSAIDIZI WAKE MZABZAB! KATIBU WA KAMATI: JUDGEMENT.MSAIDIZI WAKE NI DONN! MTUNZA FEDHA: NDUKI,MSAIDIZI WAKE NI SLAVE! MAJUKUMU: MAPAMBO: Dena amsi &cacico CHAKULA...
  5. Passion Lady

    Mwenye pingamizi kuhusu uchumba huu ajitokeze

    Jamani watu na bahati zetu,mie nimeonekana na mwanachitchat mwenzangu,siku si nyingi tunataka kutangaza nia,ili ndoa isiwe na mapicha picha naomba mwenye pingamizi ajitokeze tafadhali,nimempata wa moyoni RUTTASHOBOLWA!
Back
Top Bottom