Search results

  1. S

    ZAIN Tanzania: Network ina matatizo?

    Hizi kampuni zote za simu ni wababaishaji na Zain wamezidi. Jamani toeni huduma safi ya mawasiliano. Hizi promotion zenu za ajabu ajabu angalau basi tuambieni kama ni biashara nyengine kabisa. Biashara ya bahati nasibu. Pata potea. Tena wala si bure. Zamani nikipata air time za bure kila baada...
  2. S

    Fire department orders compulsory fire extinguishers for homes, offices, vehicles

    Ujanja huu umeshapata wajanja. Last week walinijia wawili wakipose kama wahusika wa ukaguzi wa vifaa vya zima moto kamili na vitambulisho vyao. Mmoja anajitambulisha kama sergent wa polisi. Walinipa form nijaze na kuniomba shs. 100,000. kama ada ya kutowa certificate. Niligutuka nikawa...
  3. S

    Dar - amongst world's dirtiest cities

    Usafi bwana ni maumbile ya mtu. Mchafu ni mchafu tu. Kwanza, kwani lazima pipa la taka liwe bovu na chafu au kizoleya taka kiwe kichafu. Angaliya haya magari yetu yakuzolea taka, lipi zuri kwa sura au ubora. Nashangaa traffic huya pita tu huku wameziba pua. Sheria gani inawaruhusu wenye magari...
  4. S

    Amatus Liyumba: Balaa!

    Do unto others as you would unto you. Wema hulipwa na wema na uwovu hulipwa na uwovu. Sijui utahisije itakapo fika zam yako kuwemo kwenye scandal mbaya kuliko hii. Jitayarishe.
  5. S

    UK Archbishop Say 'Not All of The Bible is True’

    Mie natoa ushauri tu kwa wale wote waislam na waso waislam. Someni kitabu cha Haroon Yahya 'The miracles of ALLAH in the Koran'. Ukweli wa kipi kitabu chenye maneno sahihi ya Mwenyezi Mungu mtaupata.
  6. S

    Nusu Karne na CCM?

    Kwani sh. Zitto- haiwezekani kuwa na serikali ndani ya serikali. Kwanini vyama vya upinzani visianze kuchochea mabadiliko ya uchumi. Kama wanavijiji wanyonge wakihamasishwa na kuongozwa kujiletea mabadiliko si ndo maendeleo yenyewe.
  7. S

    Of tribalism and diversity! Positive aspects

    I accept your thinking. I also think kwamba tatizo letu hasa ni kwamba we lack total commitment and we always look for short cuts to our problems. During the last few years yale mambo ambayo yalijitokeza kuelekeya kuwa tatizo tulijaribu kuyapa sifa ya uzuri au uwepesi. Maneno mengi mazuri mazuri...
  8. S

    Uingereza kufunga ubalozi wake mdogo Zanzibar

    I don't think they should go like that only. Kwanza watupe uhuru wetu kamil. Walimkabizi nchi Nyerere, sasa watupe wenyewe. Wasijitoe kimasomaso.
  9. S

    Picked this from the internet...

    Nasikia mjasiriamali mmoja wa kiingereza ameanza kutengeneza sandals hizi London akiziita MBT. Maana yake ni "masai bare foot travel". Demand ni kubwa na jamaa kawa millionare kwa muda mfupi. Haya wajasiriamali changamkeni. Opportunities knock but once.
  10. S

    Waislamu tanzania kususia bidhaa za mfanyabiashara

    Sasa mambo yataharibika. Naomba ufafanuzi kuhusu "mbwa kujazana misikitini." Hakika sijaelewa vizuri. Jazba linanipanda, hasira zinani kolea. Hebu tuelimishe kabla hatujapasuka.This is serious- very serious.
  11. S

    "Mhindi huyu anawamaliza wanetu"

    ni bahati mbaya kuwa huyu ni mhindi. Na kwa sababu ya uhindi wake kabila lake lote limetukanika. Laiti kama huyu angekuwa mchaga sijui kama kabila lote la wachaga lingetukanwa. STOP BEING PETTY MINDED.
  12. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Siku zote muonewa ndie anaye lalamika. Kwa nini malalamiko ya wa Zanzibari hayeshi au haya tatuliwi kwa namna yeyeto ile. Kwa nini wa Tanganyika wanganganie ule usemi wa changu -changu chako chetu. Wana sababu gani ya kukubali hivyo. Kuna sera ya kujificha hapa.
  13. S

    Mzee Mwinyi awachomekea kizenji!

    Hebu aulizwe! Lile fagio la chuma alilifanyia nini? Na liko wapi ?
  14. S

    Bomani Committee hiding the truth?

    Mnalaumu bure jamani. Vya dhulma hupotea bila ya huruma.Dhulma ngapi zimepita hapa. Nyumba, viwanda, mashamba nk zilitaifishwa bila ya fidia au huruma. Mwenyezi Mungu ana balance accounts zake.Hata kura za wanyonge zimeibiwa. Hao hao mafisadi wangapi walishinda uchaguzi kihalali. Dawa ni...
  15. S

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Zanzibar ilikuwa koloni la muingereza. Ikawa nchi huru. Ikachotwa tena ikawa koloni la Tanganyika kwa jina la Tanzania. Msishangae huu ndio ukweli! Kama ni nchi ishindweje kujiunga na OIC au inakuwaje mambo yake yaamuliwe Dodoma na Butiama. Inanikumbusha huko nyuma wakati wa ukoloni wa...
  16. S

    Manispaa zetu zinapotuongezea mahandaki barabarani!!

    Usishangae ya barabara tu. Kila jambo la serikali linashangaza. Neno dharura au emergency halimo kabisa katika kamusi ya serikali. Muda mrefu sasa nawaza ivo kweli hawa watu haya hawayaoni au ndo dharau tu. Almuradi maisha yanakwenda. Angalia umuhimu wa traffic lights, hasa baada ya magari...
  17. S

    Jengo la yanga

    Mzee Karume alikujengeeni jengo hilo zuri tu bureee! Mbona mwashindwa kulitunza pamoja na mihela yote mnayoimwaga. Sijui kwa nini mzee Karume asiwajengee kama hilo Miembeni. Mna bahati mwaikejeli.
  18. S

    Salt for Land and Gold for 3% of its Value

    My friend this country is full of controversies. You stop looking at gold only. Investers have taken full advantage of all possible avenues of riches. Do you see these skyscrappers around ,look at even the various car hire companies. All their needs get in duty free and no taxes for five years...
  19. S

    Kikwete: Mapinduzi ya kilimo ni muhimu

    Tatizo ni serikali kujifanya wajuwaji. Mkulima ndio mwenye kuijuwa adha ya kazi yake. Lazima ahusishwe moja kwa moja. Tatizo kubwa la mkulima ni soko lenye kulipa vizuri kwa tija muafaka. Kwanza iko haja ya kuanzisha 'serious enterprices' zitakazo tumia mazao ya wakulima kwa wingi. Lazima kuwe...
  20. S

    Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?

    Sifa, uzito na umuhimu wa bendera ya taifa ni kubwa. Sote tunayatambuwa haya. Nakumbuka baada tu ya uhuru wa Tanganyika aklitokeya mzungu mmoja akasherehekeya uhuru kwa namna yake. Alimvalisha mbwa wake bendera ya taifa. Kagundulika la alikiona cha mtema kuni. Mwishowe alifukuzwa nchi. Tangu...
Back
Top Bottom