Search results

  1. nyampanaga

    CCM imepigwa kitu kizito kisogoni

    Anza Wewe Mkubwa....(ufariki)…...
  2. nyampanaga

    Kesi ya Mbowe: Namba A5340 kwanini imekuwa issue kubwa?

    Na hii ndiyo chagizo la Majaji kujitoa...Pagumu mno..
  3. nyampanaga

    Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

    Wanapima sijui kitako,mara mm...sijui Bore nini nini huko..Inakera.. Kesi ya Kipuuzi kama Polisi wenyewe walivyo wapuuzi..
  4. nyampanaga

    Mwanza: The Cask yawaka moto

    Naunga Mkono hoja ,JWTZ wamefanya operesheni ya kusambaza vitabu vya shule kuanzia awali mpaka Sekondari Nchi nzima kwa muda wa siku SABA tu ,majuzi hapa na wameweza..Nimeshangaa mno..Tuwape tu hata Nchi watuongoze.
  5. nyampanaga

    Mwanza: The Cask yawaka moto

    Sasa hapo Ghand Hall wanapo Paki kwenda hapo Eneo la tukio,mbona pua na.mdomo tu?Maji Ziwa lipo jirani tu pia?
  6. nyampanaga

    Uchaguzi wa Ubunge Ngorongoro kufanyika Desemba 11

    CHADEMA...jitengeni na uovu...Mkishiriki watu watakufa...
  7. nyampanaga

    Sabaya, haya maneno aliyasema pale Hai mkoani Kilimanjaro

    Siasa za kishamba Sana....Kwaheri Sukuma Gang.
  8. nyampanaga

    Mahafali UDSM: Hawa ndiyo Wanafunzi wa Kike waliopata ufaulu Mzuri

    Lao kila lililojema na ..Pongezi mno...!!!!!!?
  9. nyampanaga

    Madhara ya kesi ya Mbowe na tofauti na kesi ya Sabaya

    Hakuna Kesi hapo ...ni ushamba wa Siasa na kupotezeana muda tu..
  10. nyampanaga

    Madhara ya kesi ya Mbowe na tofauti na kesi ya Sabaya

    Hakuna Kesi hapo ...ni ushamba wa Siasa na kupotezeana muda tu..
  11. nyampanaga

    Je, ni kweli kwamba Makonda kakimbilia Afrika ya kusini?

    Insider wewe ,utakuwa..nakusoma kwa umakini mno...JF.
  12. nyampanaga

    Je, ni kweli kwamba Makonda kakimbilia Afrika ya kusini?

    Yupo hapa Usagara_Misung wi- Na mfuatilia...soon nitarusha Picha/ Video,.
  13. nyampanaga

    Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kuwa DC Kama kijana wake. Alimsomesha mwanaye nchini Marekani. Ushamba wa madaraka kautoa wapi?

    Marekani Wana dukuliwa Nyaraka ki rahisi vile Mkuu?! Vyuo/Vyeti ,feki!!!Si ndiyo Baba Wa Dunia au!!!?
Back
Top Bottom