Search results

  1. Consultant

    Zitto Kabwe: Nikifa Ado atavaa Viatu vyangu ACT Wazalendo

    Kiongozi wa kudumu wa chama. Baadhi ya vyama vya siasa ni makampuni binafsi
  2. Consultant

    Kazi naitaka, Crush naye namtaka. Najiona nipo kwenye Matatizo makubwa

    The best & sure experience utaipata kwa huyo mrembo. Why dont you just approach her? Mmekuaje watoto wa siku hizi? Huu ni udhaifu mkubwa Unakuja kutuuliza sisi wakati mtu mwenyewe hatumjui. Unadhani experience ya kumtokea Asha itafanana na ya Rachel?
  3. Consultant

    Rais Samia amuapisha Dkt. Charles Mahera kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI

    Unaibu Katibu Mkuu ni kama demotion flani hivi
  4. Consultant

    Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

    Mama kasema haoni sura za washika dola pale. Hilo dongo ni zito sana kwa kweli
  5. Consultant

    Yanga kwa sasa inafaidika nini na kumng'ang'ania Feitoto?

    Watu mnajitoa ufahamu tu. Hivi itakuwa ni ligi ya namna gani siku Aziz Ki, Mudathir, Mayele, Djuma, Chama, Moses Phiri etc wakiamua wote kwa pamoja kudai hawana furaha na wanataka kuvunja mkataba? Yanga anachofanya sasa ni kwa manufaa ya Ligi ya Tanzania. Basically Yanga hawana tena mpango na...
  6. Consultant

    UKWELI MCHUNGU: Kama Upinzani usipochukua hatua na kufanya mabadiliko makubwa ya ndani, kuna uwezekano wa CCM kutawala kwa miaka mingi sana ijayo

    Ingekuwa uchaguzi unaamuliwa na kula halali zilizowekwa kwenye ballot box na wananchi, CCM wangekuwa nje kitambo sana Lakini upinzani bado wana la kujifunza, ukianzia na jinsi uchaguzi wa viongozi unavyofanyika. Kuna vyama vina wenyeviti wa kudumu. Yaani vyama vinaendeshwa kama VICOBA
  7. Consultant

    Marekani yashindwa kutungua balloon la China

    One missile only! Walikuwa wanasubiri lifike usawa wa bahari lakini pia walikuwa wanalitafiti
  8. Consultant

    Hivi, Mtoto Akishikwa Matiti Yanakuwa Makubwa Tofauti na Asiposhikwa Shikwa au Sio Kweli...?

    Akishikwashikwa na kugongwagongwa hovyo lazima yatepete na kudondoka Jichunge sana au mwambie huyo unayemuhofia ajichunge. Vijana wa kiume sio wema linapokuja suala la kugegeda.
  9. Consultant

    Hivi kampeni za 2025 ndio zimeanza au macho yangu?

    Hata kwa hao “wakongwe wa demokrasia” haya mambo yapo na yanaendelea. Hujui lolote
  10. Consultant

    Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    DCs/RCs ni post za kisiasa na ukifutwa unarudi kwako chap kwa haraka. Ni DEDs tu ndio wakitumbuliwa hubaki Serikalini, provided hakufukuzwa kwa kosa la jinai linalowezs kumfanya akatupwa lupango
  11. Consultant

    Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    MaDC wengi njaa tupu na ombaomba wa kutupwa. Wengine wanatembeza bakuli kwenye NGOs kuomba hela ya mafuta na service ya gari. Kwa mtu mwenye steady stream(s) of income hawezi kukubali uDC tena huko nanjirinji ndanindani. UDC sio kazi ya heshima maana unaweza kufutwa suddenly tena bila hata...
  12. Consultant

    Musoma wameikataa CHADEMA, hali ni mbaya

    Anza kutuma picha za hapo shule ya msingi Mkendo..
  13. Consultant

    Mzazi anafurahi mtoto wake kapata One ya Form 2?

    Wanaofanya hivyo wana uhuru na haki na wala sio jambo la ajabu to the extent ya kufunguliwa thread Wengine wanayatumia matokeo haya kama “mid-term review” na kuona michepuo ambayo mtoto anaweza kusoma huko mbele Let them be!
  14. Consultant

    Nimefuta na kublock namba 50 kwenye simu yangu za wanaojiita marafiki zangu

    Blocking a number ni utumwa flani hivi. Kina dada ndio hufanya hivyo especially kama kuna mwanaume anasumbua sana Mtu kama huna mpango nae sasa na hata baadae na ulishaona hana mpango na wewe , just futa hiyo namba. Chances are hatokupigia kabisa. Siku akipiga ukamuuliza yeye ni nani kama ana...
  15. Consultant

    Dkt. Slaa amshutumu Magufuli kwamba zuio la mikutano ya hadhara lilikuwa batili na haramu

    Katazo ni jambo moja na uhalali wake kisheria ni jambo tofauti. Katazo lilikuwepo na Slaa analijua hili. Kusema kitu tofauti ni kujitoa ufahamu Hivi kuna yeyote aliyewahi kwenda mahakamani kupiga katazo hili haramu na kuomba tafsiri sahihi ya hii kitu? Tumekuwa wanyonge sana na 2025 tutachapwa...
  16. Consultant

    Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    Sasa ulidhani Ikulu Katibu wake aende nani? Wanaweka Jasusi bobezi Hata Katibu wa Bunge huwa wanapeleka shushushu
  17. Consultant

    Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    Labda aliigomea kiaina ile decision ya kumdemote na mwenye mamlaka akazisikia
  18. Consultant

    Zanzibar turudishe heshima yetu, tuige mfano mzuri wa Qatar, pombe ipigwe marufuku kabisa

    Zanzibar sio “Nchi” as such. Otherwise msingeletewa JWTZ huko.
  19. Consultant

    Rais Samia ana hali mbaya kuelekea 2025, Wana-CCM wanatamani wapinzani wapewe nchi. Anaweza asipate hata 30% ya kura

    Hakutakuwa na Tume huru. CCM wataprint formu moja tu ya Mama. CCM watapora kama kawaida Nothing changes. Kilichotokea 2005, 2010, 2015 na 2020 kitajirudia. If you keep doing the same thing, you will keep getting the same results. Katiba mpya na Tume huru watu huwa hawapewi kwenye silver plate
  20. Consultant

    Jamani hapa kuna mapenzi kweli?

    Mpaka hapo hujaelewa tu? Wala hukuhitaji kuja huku Keshakuona fala chuma ulete. Just move on. Hiyo 80K ungekuwa unampa mzazi/mlezi wako kila week, baraka zako zingefurika
Back
Top Bottom