Search results

  1. Rodwell mTZ

    Misaada keyboard ya laptop herufi I na backspace zimeacha kufanya kazi

    Rejea kichwa cha uzi huu,naomba msaada wenu,sijajua kama itakuwa ni kubadilisha keyboard yote au la, laptop ni Dell inspiron natanguliza shukurani.
  2. Rodwell mTZ

    NASA watengeneza ndege yenye Kasi kuliko Concorde

    Shirika la sayansi za anga za juu la Marekani yaani NASA, limefanikiwa kutengeneza ndege itakayo safiri kwa Kasi kubwa kuliko ya Ile ndege ya zamani iliyostaafishwa yaani Concorde. Ndege hiyo mpya hiyo hapo pichani inaitwa x-59 inauwezo wa kusafiri kutoka Jiji la New York mpaka Jiji la London...
  3. Rodwell mTZ

    Nchi za Ulaya kutumia charger za aina moja

    Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wameamua ifikapo mwaka 2024, watengenezaji wa simu zinazotumiwa ulaya watengeneze simu zitakazotumia Pini ya charger ya aina moja na Pini yenyewe waliyoamuru itumike ni hii hapa kwetu inayochaji simu za techno n.k. Wamefikia maamuzi hayo Ili kupunguza utupaji wa USB...
  4. Rodwell mTZ

    Kuna jam karibu na Kimara

    Kuna magari yamekwanguana muda huu eneo la Korogwe karibu na Kimara barabara ya Morogoro, magari hayo yameziba njia, mnaokuja mkitokea Ubungo piteni service road, mlio nyuma zaidi mnaweza mkabadili njia.
  5. Rodwell mTZ

    Kwa ufaulu huu anaweza endelea na form 5?

    Salaam wanaJF. Kijana wangu matokeo yake ya form 4, ni kama ifuatavyo civics C,History D, Geography D,Swahili C,English D,Biology D,Math F. Je anaweza kupata kombi gani hapo ya kuendelea na form 5? natanguliza shukrani kwa majibu yenu.
  6. Rodwell mTZ

    Ushauri: Bajaji zilizozuiwa kubeba abiria Mbezi Luisi ziruhusiwe kutokana na wingi wa abiria

    Ninayo heshima kubwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya kukuandikia barua hii fupi. Kwanza kabisa hongera sana kwa kazi nzuri ya kuijenga taifa. Lengo la barua hii ni kuhusu marufuku uliyoitoa dhidi ya bajaji zinazobeba abiria kutoka kituo cha Mbezi Luisi zikiwapeleka...
  7. Rodwell mTZ

    Yanga 6 Simba 1

    Hamjambo Wana wa JF, kulingana na kichwa cha uzi huu hiyo ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo tarehe 25, nimeona ubao mkubwa Sana wenye maandishi manene "Yanga 6 Simba 1" . Naomba asitokee mtu kunihukumu hiyo ni ndoto tu,nawatakia jumapili njema.
  8. Rodwell mTZ

    Amesoma kombi ya HGE, kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university?

    Hamjambo wana JamiiForum? Naombeni mnijuze, mtoto wangu kamaliza form six wiki hii iliyoisha. Amesoma kombi ya HGE, hivi ni kozi zipi anaweza kusoma katika level ya university? Natanguliza shukurani kwenu.
  9. Rodwell mTZ

    Pongezi kwa Serikali yetu, hatimaye ajali za mabasi zimeisha

    Hamjambo wanaJamii Forum wenzangu. Napenda kuitumia nafasi hii kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi madhubuti wa Rais wetu John Pombe Magufuli kwa kutilia mkazo kudhibiti mwendokasi wa mabasi yaendayo mikoani, kwa kumulika vitochi na kuratibu muda wa kuondoka na kufika na sasa...
  10. Rodwell mTZ

    Msaada: Kuzuia matangazo kwenye simu

    Hamjambo watu wa jukwaa hili? Naombeni msaada mnielekeze hivi ni app gani inayoweza kuzuia matangazo ya biashara yanayokuja yenyewe kwenye smartphone yangu. Yaani yanakera sana mara ingine unakuwa una soma kitu serious mara pap hilo limetokea linaziba screen nzima kuliondoa mpaka uclick x...
  11. Rodwell mTZ

    MSAADA JAMANI

    Hamjambo watu wa jukwaa hili? Hivi katika operators wote wa simu za mkononi ni yupi ana spidi kali kushindawengine ya internet?
  12. Rodwell mTZ

    Mkoa gani unaongoza kwa kuwa na ardhi ambayo haijatumika?

    Hamjambo wana jamvi? swali hilo kwenye kichwa cha mada limekuwa linanisumbua mda mrefu nimeamua kulileta hapa jamvini kwa mnaofahamu mambo ya ardhi hivi ni mkoa upi hapa Tanzania unaongoza kuwa na ardhi kubwa zaidi ambayo bado haijatumika?. na pia si vibaya mkinijuza mkoa unaoongoza kuwa na...
  13. Rodwell mTZ

    Naelekea Zimbabwe kumfanyia interview Grace Mugabe.

    Hamjambo wana jamvi, mimi nipo safarini kuelekea Harare naenda kum'interview' aliyekuwa firt lady wa Zimbabwe mama Grace Mugabe,je ungependa kutoa swali gani kwake nikaliwakilishe? yakwangu ninayo ningependa niyajumlishe na ya kwenu.asanteni lwa ushirikiano.
  14. Rodwell mTZ

    Swali kwa wanaojua gesi za kupikia

    Hamjambo wakuu. nina swali katika upikaji wa kutumia gas kuna njia mbili ya kwanza ni ile ya kutumia jiko mara nyingi yana sehemu mbili za kupikia halafu hayana kelele njia ya pili ni ile ya kuinjika sufuria kwenye kimtungi kidogo chenye figa la chuma na kuna kelele nyingi. swali langu ni njia...
  15. Rodwell mTZ

    Trump atishia kuzifungia NBC TV na nyingine zinazopotosha

    Rais Donald Trump wa Marekani ameviamuru vyombo husika vya nchi hiyo kukinyang'anya leseni kituo maarufu cha televisheni cha NBC, baada ya kutangaza habari za uongo"fake news" kwamba rais Donald Trump anataka Marekani iwe na nguvu za nyuklia mara 12 zaidi ya uwezo walionao sasa.(chanzo bbc...
  16. Rodwell mTZ

    China kufunga makampuni ya Korea kaskazini.

    Serikali ya jamhuri ya watu wa China imeamua kufunga biashara zote za akampuni ya Korea kaskazini,zoezi hilo litaanza kutekelezwa mnamo mwezi januari mwakani,hii ni kutekeleza azimio la umoja wa mataifa la kuiwekea Korea kaskazini vikwazo vya uchumi ili kuishinikiza nchi hiyo iache mpango wake...
  17. Rodwell mTZ

    Misemo ya Mbwiga wa clouds.

    Jamani huyu jamaa anaitwa Mbwiga wa redio clouds ana misemo inayofurahisha sana hebu tupia hapa unayoikumbuka; mimi ninayo miwili. (1)mtoto hatumwi dukani. (2)kuku mweusi hafukuzwi usiku.
  18. Rodwell mTZ

    Usipitie barabara ya Mandela Dar sasa hivi

    Ndugu wana jf. sasa hivi barabara ya mandela kipande cha tazara kuelekea buguruni mpaka ubungo magari hayatembei nimasaa mawili sasa,inasemekana kuna kiongozi anataraiwa kupita nyerere road akitokea airport. tahadhari kwa waliobado kuingia kwenye barabara hii watafute njia mbadala.mchana mwema...
  19. Rodwell mTZ

    Timu ya Arsenal kuwa nje ya nne bora

    Wadau wenzangu wa JF bila shaka hamjambo. Ikiwa yamebaki masaa kwa mtanange wa ligi kuu ya mpira wa miguu uingereza yaani EPL kuanza naomba tulijadidili hili. hivi ni kxa nini wachambuzi wengi wa soka hapa nchini Tanzania na nchi nyingine za nje wanaitabiria timu ya soka ya Arsenal kumaliza...
  20. Rodwell mTZ

    Remote control inaitwaje?

    Hamjambo wana JF wenzangu? nina swali naomba kuuliza kama televisioni huitwa runinga kwa kiswahili na decoder huitwa king'amuzi,hivi remote control inaitwaje kwa lugha ya kiswahili ?
Back
Top Bottom