Search results

  1. Rodwell mTZ

    The Birth of Kivu Republic: A New Chapter in African Geopolitics

    Would you please name the countries that will share borders with Kivu?
  2. Rodwell mTZ

    Ni nani huwa anawanywesha sumu 'wapigania haki' ndani ya CCM?

    Au tembea na mke wa mtu.
  3. Rodwell mTZ

    Mchungaji "kijana" afia gesti akila kondoo wake

    Wrong conception,100% of men reported died in guest houses after having sexual intercourse,heart attack has been reported as a main cause to their death,and Viagra pills has always being attributed to their fate.
  4. Rodwell mTZ

    Tafadhali kama Serikali imeshindwa Kuwadhibiti Wanawake wanaokata Mauno Madirishani katika DalaDala niruhusiwe Kuwadhibiti na hawatorudia tena

    Unaweza kuwa na tatizo la kisaikolojia,kutazama tu mwanamke ayekata kiuno kwenye basi unadindisha,hauko normal wahi umuone daktari akuondolee tatizo hilo.
  5. Rodwell mTZ

    Mstari wa biblia unaowafumba midomo wanasayansi wa kizazi hiki

    Kuna mambo yapo kwenye Biblia yameishafunuliwa kwetu,lakini yapo mambo kwenye Biblia bado hayajafuniliwa kwetu yatafunuliwa wakati wake ukifika.
  6. Rodwell mTZ

    Azam na dharau kwa TFF na Watanzania. Haya ni matusi

    Mkapa umefungwa pande zote ni mrefu camera haziwezi ona nje.
  7. Rodwell mTZ

    Serikali isiingilie dini au imani za madhehebu na manabii wa kizazi kipya wanaozuka kwa kasi

    Hivyo hivyo unamaanisha pia mtu yeyote atakaye taka kuanzisha biashara yoyote kama vile duka,saluni au utalii,lazima mtu huyo awe na digrii ya biashara,angalia vizuri usije ukawa umeganda mawazo.
  8. Rodwell mTZ

    Uhusiano kati ya midori na vioja ndani ya nyumba

    Kuna mwalimu fulani hivi wa injili nilisikiliza mahubiri yake miaka ya nyuma,aliwahi kuonya kuwa tuwe makini na midori pamoja na sanamu tunazonunua na kuziweka kama mapambo majumbani mwetu,alisema kuna zingine huwa zimebebeshwa roho fulani,alitoa mfano wa familia moja ilikuwa imenunua sanamu...
  9. Rodwell mTZ

    Uhusiano kati ya midori na vioja ndani ya nyumba

    Dah umeamua kumtolea mfano muppet show.
  10. Rodwell mTZ

    Pacome ana goli nyingi kuliko timu nzima ya Simba

    Simba ipo kwenye mpito(transition) baada ya kufanya vibaya mfululizo mpaka kufungwa na mtani wake goli nyingi,iliamua kubadilisha kocha wake ambaye inabidi apewe mda wa kuleta mabadiliko,mabadiliko hayaji kwa usiku mmoja.
  11. Rodwell mTZ

    Marekani akifanya mchezo anaweza kuanguka

    Uandishi wako sijaona cha maana ulicho andika,ila nilichogundua ni kwamba,wewe ni mmoja kati ya wale watu wenye jazba dhidi ya Marekani,jazba ambayo haiwaingizii pato lolote,hebu nifafanulie unaposema china na urusi zimekuwa kisiki unamaanisha ni miti iliyokatwa au una maana nyingine?
  12. Rodwell mTZ

    Donald Trump Jr akiri Ukraine imeshindwa vita dhidi ya Urusi

    Kwa hiyo wewe unaona kuna uwezekano wa Ukrein kushinda hiyo vita?
  13. Rodwell mTZ

    Huyu nabii ametokea wapi mbona ametrend sana?

    Ilimuona akifanya ushoga,hizo tattoo alizichora akiwa tayari ameokoka au kabla hajaokoka? na je tattoo ikishachorwa huwa inafurika? Na kama wewe humkubali unaonaje ukikaa kimya uwaache wanapokubali waendelee kusikiliza mahubiri yake?
  14. Rodwell mTZ

    Misaada keyboard ya laptop herufi I na backspace zimeacha kufanya kazi

    Rejea kichwa cha uzi huu,naomba msaada wenu,sijajua kama itakuwa ni kubadilisha keyboard yote au la, laptop ni Dell inspiron natanguliza shukurani.
  15. Rodwell mTZ

    Taarifa zinazokinzana kuhusu jumla ya wanajeshi wa Israel waliouawa katika Ukanda wa Gaza

    Mimi bwege kwani mimi ndiye nnaezioyesha? naona kiu yako ya matusi ipo juu hebu ongeza jingine ili uendelee kujidhihirisha kuwa wewe ni mtu wa namna gani.
  16. Rodwell mTZ

    Nchi za Kiarabu ziko sahihi kutoishambulia Izrael, ni hatari kwao

    Mgawanyiko wa kiimani miongoni mwao mataifa ya kiarabu,ndiyo udhaifu mkubwa unaopelekea Palestina ya Hamas iendelee kupigwa mfululizo na majeshi ya Israel. Kwa mfano Saudi Arabia government ni washia hawawezi kuwasapoti Hamas kijeshi ambao ni Suni wanaosapotiwa na Iran Government ambayo ni...
Back
Top Bottom