Kuweka kwenye mitandao ni sehemu tu ya usambazaji wa report na matamko. Report zote zinasambazwa kwa wadau wote kwa njia nyingine mbalimbali. Zinatolewa bure jwa yeyote anayehitaji. Matamko yote, ambayo ni kwa vyombo vya habari yanatolewa mbele ya vyombo vya habari. Kama umeangalia na kusikiliza...
Ingia hapa www.humanrights.or.tz halafu ingia kwenye Reports. Kuna report na matamko yote yanayotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu jueleza hali ya haki za binadamu nchini katika vipindi husika.
Nimekutana nayo hii at allafrica.com
East African Business Week (Kampala)
Tanzania: New Hope As Petra Diamonds Takes Over Mwadui
7 March 2009
Email|Print|Comment
Share:
Dar Es Salaam Petra Diamonds on February 19, 2009 took over Mwadui's Williamson Diamond Limited (WDL)...
huu upuuzi sijui utaisha lini.si kila mgomo lazima utawanywe na mabomu.mabomu yanafaa kutumika pale tu inapoonekana kuwa kuna tishio la uvunjwaji wa sheria ambao unalenga katika uvunjwaji wa amamni,hii ni common sense haiitaji utaalam wowote what so ever wa kisheria.kama watu wamekusanyika tu...
kweli sisi katika utumishi we sacks.kama ndugu wamekuja kukueleza au kufuatilia habari za ngugu zao walio nje badala ya wizara kufanya jitihada kuwasiliana na balozi wao wanatoa simu basi ndugu ndo wapige.ningetaka simu si ningeingia mtandaoni ningeipata hata mie mwenyewe?
Guys we are talking about the WONDERS OF NATURE kwa sababu nature imefanya mambo yake ya kushangaza pia na mojawapo ni Milima na vitu vingine vingi.Tukivote Kilimanjaro ni njia mojawapo ya kutangaza Mlima Kilimanjaro kuwa upo Tanzania.Likini there is one problem,nimefollow the link that was...
lakini najua kwa nchinyingine kama uturuki wana kinywaji ambacho basically ni kama gongo ambacho kwa sasa kinapromote sdana nchi yao.wanasema hujafika uturuki kama hujaonja "raki".kwa hiyo ni swala la kuwawezesha watengenezaji locals kuweza kutengeneza gongo amabayo itakuwa salama kwa matumizi...
well,sheria ni sheria tu hatuangalii kama makabila fulani wanaitumia kama dawa ya kipindupindu au la..kama ndo hivyo basi na bangi iwe justifiable to some people wanaoitumia kama dawa au kama "holly sacrament" according to some rastafarins........
nakubaliana nawe,lakini kumbuka kuwa katika kutengeneza bond hiyo kati ya mama na mtoto,kujifunika au kufunika mtoto inaweza kuaffect kwa namna fulani.mara nyingi mtoto anapontonya basi anakuwa anaangaliana na mama yake kwa namna ambayo kwa kweli ni wao wawili pekee wanaweza kuielezea,so...
muhimu ni kuhusisha wataalam wa kisheria wakati wa kusaii mikataba,na kupitia sehemu zote za mkataba.wanachoweza kufanya sasa hivi ze comedy ni kwenda na mkondo wa sheria,huko peke yake ndo wanaweza kufuata ufumbuzi.sio kukimbilia kwa waziri au raisi.ianbidi tujifunze kuendesha mambo kitaalam...
i dont care nani atagombea kwa upande wa ccm kwa kipindi kinachokuja.
swala si kutaka ccm pekee iendelee kutawala.mi nadhani wapinzania wajizatiti kuingia bungeni hapo ndipo tutaona kwa dhati uwezo wa serikali kufanya kazi.imagine kina lipumba,mrema,mtikila na wengine wao wangekua bungeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.