Search results

  1. S

    Ubora wa Shahada za Uzamili kutoka Chuo Kikuu Mzumbe

    Bila shaka huyu jamaa ndo kimeo, yaani ulienda kusoma au kutoa pesa? Na hao wanaotoa pesa kufanyiwa dissertation wameenda kusoma au kutalii? Walimu na stori darasani nani alaumiwe kama wewe mwenyewe unaunga mkono hizo stori na kufurahia badala ya kuzingatia kilichokupeleka huko na kumkumbusha...
  2. S

    Natafuta kazi ya clearing and forwarding

    Pls note also the following specs in some other employers, then furnish well your CV and apply with confidence when vacancies are advertised: S/N. POSITION 1. Port Inspector Grade II 2. Port Inspector Grade I 3. Senior Port Inspector Grade II 4. Senior Port Inspector...
  3. S

    Barua za kuwavua gamba CCM kumbe ziko hivi?

    Believe it or not but ni kweli. Confirm by calling 0784665027 ambayo ni namba ya simu ya ofisi hiyo ya CCM Kata kama ilivyo kwenye barua husika ya kumstop M/Kiti huyo wa Kata.
  4. S

    Barua za kuwavua gamba CCM kumbe ziko hivi?

    Hii ni habari true na siyo udaku, binafsi sipendi udaku na hata hayo magazeti ya udaku sina ushabiki nayo. Siweazi poteza muda wangu kwa kuweka kitu ambacho ni nonsense to the forum. This is a really thing and has been happened na barua hiyo ipo kama nilivyoinukuu na kuiweka hapo. Sikuweza...
  5. S

    Barua za kuwavua gamba CCM kumbe ziko hivi?

    Very sorry wadau, jana sikuweza pata scanner, nitawaletea barua original baada ya kui-scan na kuibandika hapa. Its a really thg pls dont judge otherwise. Hii imetokea live na si huyo tu ni zaidi ya Wenyeviti wawili katika Wilaya hiyo ambao nimeziona barua zao kwa macho yangu. Na hiyo nimenukuu...
  6. S

    Barua za kuwavua gamba CCM kumbe ziko hivi?

    Kumbe KUJIVUA GAMBA ndo kumeanza kwa style hii? Mojawapo ya kiongozi wa ngazi ya juu kwenye Kata fulani ya Wilayani ameshapata barua kama ilivyo hapo chini. Maswali ya baadhi ya watu katika Kata hiyo: Mbona barua yenyewe imechelewa kumfikia (ameipata tar 20-05-11 tangu iandikwe tar...
  7. S

    Aliyekuwa Mgombea Ubunge CHADEMA Shinyanga, afariki

    Mwenyezi Mungu ilaze roho ya marehemu kamanda Shemebi mahala pema peponi. Amina. Je, kuna mwenye data za dhati juu ya presha hiyo ya juu kabisa? Ilikuwaje, ikawa vp, and then kifo? ..... lakini kazi ya Mungu haina makosa .... Vipi kuhusu kesi yake juu ya matokeo ya uchaguzi ....... inaendaje...
  8. S

    Lulu atimiza miaka 18 - Hongera sana

    Mh!!! Kanaonekana katamu sana aise ..... nani anazo namba zake za simu nikachakachue. Hapo akina mzee fataki kwa raha zao kwsbb ruksa .... its not under age ...... not a minor ..... and u can contract legally. Ila kanatakiwa kaanze kufikiri kwa kina maana ni mfano wa kuigwa kwenye jamii...
  9. S

    Kazi za wahasibu aprili 2011

    Mkuu, ni kwamba kampuni hiyo ilifungwa soon kabla hata sija-enjoy kazi hiyo. I hate ufisadi na sipendi anyone ambaye hana commitment ya kuleta matunda ya dhati kwenye kampuni.
  10. S

    Kazi za wahasibu aprili 2011

    Asante sana mkuu kwa faraja. Be blessed.
  11. S

    Kazi za wahasibu aprili 2011

    Thanks. Kampuni gani hiyo mkuu na iko wapi inadeal na nini? More info pls if u're serious tufanye kazi....!
  12. S

    Kazi za wahasibu aprili 2011

    Ndugu wanajamii, Mimi ni graduate wa Tanzania Institute of Accountancy (TIA) with an Advanced Diploma in Accountancy (ADA, with 2nd Class) 2006. Nina miaka 30 na nina uzoefu wa miaka 3+. Nimewahi kuwa ACCOUNTANT kwenye kampuni moja kabla haijafungwa kwa sababu ya economic crisis 2009...
  13. S

    make Tsh 17000 on part time

    Huu ni wizi wa style ya DECI. Au tayari watu wamesahau yaliyopita? 7 x 7 Forced Matrix with Tons of Spillover INCOME All members can earn their Tsh.8,166,791,500/= by filling their forced matrix. How fast they get their Tsh.8,166,791,500/= is dependant on how good they advertise their referral...
  14. S

    Mwafrika: Alizaliwa paradiso sasa anaishi jehanamu

    MWAFRIKA: ALIZALIWA PARADISO SASA ANAISHI JEHANAMU Afrika ni bara lenye utajiri mwingi, lakini ni bara masikini kuliko yote duniani. Kwa mujibu wa takwimu za Umoja wa Mataifa, kati ya nchi 48 masikini sana duniani, 33 zinatoka Afrika, ikiwamo Tanzania. Zaidi ya hilo, Afrika ndilo...
  15. S

    Ushauri wa kuacha kazi

    To: Mr. James Julia From: Scott Hent Date: November 16, 2009 Subject: Resignation *************************************************************************************** Dear Jim, It's with somewhat of a heavy heart that I am submitting my written notice of...
  16. S

    Elections 2010 Mapigano ccm na chadema yatia dosari kampeni maswa

    MAPIGANO CCM NA CHADEMA YATIA DOSARI KAMPENI MASWA Kampeni za Ubunge katika majimbo ya Maswa Magharibi na Maswa Mashariki ambazo ziliingia dosari na kusimama kwa muda tangu Jumatano iliyopita, kufuatia vurugu, uhasama na mapambano kati ya washabiki wa Chama cha Mapinduzi [CCM] na Chama cha...
  17. S

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    SERIKALI KUBEZA MCHANGO WA WASOMI, ISHARA YA KIFO Kama ambavyo sasa imezoeleka, kwa mara nyingine mwaka huu, Kumbukizi ya miaka kumi na moja ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Oktoba 11, imepita kimya kimya bila Serikali kuinua macho wala kuipa uzito unaostahili. Si...
  18. S

    Kila mtu ni fisadi - Jadili

    Kule Usovieti na baadae Urusi baada ya Desemba 24, 1991 , nilisoma Riwaya ya enzi za Dola ya Kirusi 'Russian Empire' kuna mtunzi aliandika 'Kamu vu Rasia zhit kharashoo?' Yaani nani katika Dola ya Urusi anaishi maisha mazuri? Na kuulizeni wote hapa 'Duniani nani anaishi maisha mazuri? halafu...
  19. S

    Barack Obama's 100 Days Press Conference

    Here is the complete text of the President Obama's Press Conference to discuss his first 100 days. We highlighted our favourite part in yellow.
Back
Top Bottom