Search results

  1. wete

    Hii Web ya tausi imekaaje wanajamvi

    Najaribu kulogin inanikatalia hawa jamaa wanapita madukan wanasema service levy ni kila baada ya miezi 3, yan jinsi unavotoa risiti wanapiga hayo mauzo yako ya miezi 3 mara 0.03 inakuja pesa ndogo sana ila hawa jamaa hawaelewi wanapiga mara 3 yan miezi mi3, kwa hyo kwa sisi wafanya biashara...
  2. wete

    Msaada: Nina tatizo la kubanwa na mkojo mara kwa mara

    Nimekua nasumbuliwa na tatizo la mkojo, yaani unabana sana nisipowahi kukojoa unaanza kutoka vitone tone hasa unapokaribia choo ndo balaa, Kama asubuhi nakua sijala wala kunywa chochote lakini naweza kwenda hata zaidi ya mara 2 kwa lisaa choon. Hili tatizo linaninyima hata raha ya kunywa maji...
  3. wete

    TRA Tunaomba ufafanuzi juu ya uwekaji wa barcode kwenye EFD Machine au Ni namna mpya ya ukusanyaji wa kodi

    Habari zenu Wana jukwaa naomba kupata ufafanuzi Kama kuna watu wa Tra humu ndan. Kuna taarifa zinazosambazwa na maafisa wa TRA kuwa inatakiwa kufika kwa watu waliokuuzia mashine ili wakaiprogram mashine ili iwe inatoa risiti iliyo na barcode. Kwa hyo wamesema tupeleke mashine pamoja na Tsh...
  4. wete

    Laptop yangu aina ya Dell Latitude D420 haiwaki,

    Heshima kwenu wakuu Laptop yangu aina ya Dell Latitude D420 haiwaki, nikiiwasha inaishia kuwasha ivi vitaa vya caps lock, Bluetooth na vinaonesha mwanga kwa sekunde kadhaa alafu vinazima na ndo inaishia hapo hapo bila kuonesha chochote kwene display, nimechomeka power pia taa ya battery...
  5. wete

    Mke wangu kila tunapofanya tendo la ndoa husikia maumivu

    JF Doctor ili tatizo linajitokeza mara kwa mara kwa huyu mwanamke niliye nae kikubwa zaid nna malengo nae!, kila tunapofanya kile kitendo yeye hujiskia maumivu tena ya hali ya juu inafikia hadi damu zinatoka. Baadae baada ya tendo mara ya kwanza nilikua simuamini sababu namtayarisha vya...
  6. wete

    Msaada laptop imeharibika kioo

    Heshima kwenu wadau,naomben msaada laptop yangu nimewapa vijana wafanyie mazoez kwa ajili ya kujifunza,kilichotokea nilitaka kuitumia nilivoiwasha ikawaka lakin ikadsplay rangi ya zambarau inaonesha na mistari kwene kioo!.nikiuliza wananambia waliiwasha ikawaka ivyo,sijajua kama tatizo ni kioo...
  7. wete

    Re: hi wadau

    mimi ni mtumiaj mpya wa JF nmekua nikiisikia toka mwaka jana lakin siku zinavozidi kwenda ndo nazid kuhamasika kutokana na sifa zake kutoka kwa wadau,ndo sababu name nimeamua kujiunga ingawa sijui pa kuanzia.
Back
Top Bottom