Search results

  1. wete

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    @Chief-Mkwawa msaada tafadhali
  2. wete

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Size: 3004.35 MB Hii One UI 6.0 function yake iko wap kwene hizi Samsung zetu.
  3. wete

    Hii Web ya tausi imekaaje wanajamvi

    Najaribu kulogin inanikatalia hawa jamaa wanapita madukan wanasema service levy ni kila baada ya miezi 3, yan jinsi unavotoa risiti wanapiga hayo mauzo yako ya miezi 3 mara 0.03 inakuja pesa ndogo sana ila hawa jamaa hawaelewi wanapiga mara 3 yan miezi mi3, kwa hyo kwa sisi wafanya biashara...
  4. wete

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Leo nipo Kilimanjaro najaribu kupiga namba ya makao makuu bila mafanikio na hyo number ya simu waligawa wenyewe, sijui wamezidiwa au shida ni nn.! Ivi kama nna emergency ipi sehem sahihi ya kuwapata?
  5. wete

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    @Chief-Mkwawa Toka nimeingiza update kwenye simu yangu haitaki kuupdate apps nikiupdate inaishia kuzunguka tuu, baada ya kuiupdate pia imepanda kwenye 5G Ni Samsung A73 mkuu nimekua najaribu mara kwa mara na kurestart sim ila nikijaribu tuu kuupdate inakua pending muda wote, naomba kama naeza...
  6. wete

    Ushauri wa haraka kuhusu simu

    Samahan Chief-Mkwawa kuna infinix hot 10 kuna muda inaamua tuu yenyewe inajitouch touch na kustack hadi mda mwingine kujipiga yenyewe nilijua tatizo ni protector nimeitoa lkn tatizo liko vile vile hasa kwenye joto kali hyo hali inazidi naomba Kama ulishawah kukutana na tatizo Kama hili unisaidie...
  7. wete

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna kipindi walikata elfu sita kwa pamoja na malalamiko haya niliyasikia pia kwa watu wengine. Hamuwezi kunipatia code niwe naangalia jinsi nilivokatwa kwa sbb Kodi ni elfu 10 kwa mwaka Sasa kwa namna hii Mwaka itakua hata 50k, kuna mtu wa tanesco niliwah kumuuliza akaniambia Kodi ni ishu ya TRA
  8. wete

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Malipo yamekamilika.01318959580 9001220660845157097 Units 106.7KWH Token 7355 9635 5842 0416 5357 Cost 31,147.55 VAT 18% 5,606.55 EWURA 1% 311.48 REA 3% 934.42 Debt Collected 2,000.00 TOTAL 40,000.00 07/03/22 08:45
  9. wete

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO Nina tatizo la makato ya Debt collected (Kodi ya pango) kwenye mita yangu ninavyojua malipo ni elfu 10 kwa mwaka Sasa nikipiga mahesabu nimeshalipia zaid ya hyo na bado wanaendelea kukata. Lingine kwenye sehem ninayofanyia biashara wanafanya hivyo hivyo na hyo nyumba moja tunatumia mita...
  10. wete

    App gani nzuri kuroot simu aina ya Tecno F1

    Natafuta fundi anaeweza kuroot infinix hot 10 maeneo ya moshi Kilimanjaro
  11. wete

    Msaada: Nina tatizo la kubanwa na mkojo mara kwa mara

    Nimekua nasumbuliwa na tatizo la mkojo, yaani unabana sana nisipowahi kukojoa unaanza kutoka vitone tone hasa unapokaribia choo ndo balaa, Kama asubuhi nakua sijala wala kunywa chochote lakini naweza kwenda hata zaidi ya mara 2 kwa lisaa choon. Hili tatizo linaninyima hata raha ya kunywa maji...
  12. wete

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Pekua vifurushi vizur wameificha sna, imechanganywa kwenye dakika
  13. wete

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tunaomba kukiwa na tatizo la Umeme muwe mnatupa taarifa, huku Moshi wakikata asubuh Ni hadi usiku bila taarifa zozote kwa sisi watumiaji,kubwa zaidi nna vitu vya kuharivika na sijui fidia ntaipata wapi
  14. wete

    TRA Tunaomba ufafanuzi juu ya uwekaji wa barcode kwenye EFD Machine au Ni namna mpya ya ukusanyaji wa kodi

    Ni QR code nilikosea, sema nilitaka kupata uelewa wa hiyo elfu 80 kwa anaefaham sbb wanapiga mkwara kua ukichelewa kupeleka mashine fain ni milion 3
  15. wete

    TRA Tunaomba ufafanuzi juu ya uwekaji wa barcode kwenye EFD Machine au Ni namna mpya ya ukusanyaji wa kodi

    Habari zenu Wana jukwaa naomba kupata ufafanuzi Kama kuna watu wa Tra humu ndan. Kuna taarifa zinazosambazwa na maafisa wa TRA kuwa inatakiwa kufika kwa watu waliokuuzia mashine ili wakaiprogram mashine ili iwe inatoa risiti iliyo na barcode. Kwa hyo wamesema tupeleke mashine pamoja na Tsh...
  16. wete

    Fursa ya Kilimo cha Korosho Manispaa ya Lindi

    Kinachosumbua katika haya mashamba ni moto na wakulima wengi wa kusini hupendelea kilimo cha moto kwa hyo kipindi cha mwez wa 7,8,9 inakuaga ni miez ya moto mimi sina ham kabisa nz hii kitu tena hadi nimeanza kuhisi ni ushirikina.
Back
Top Bottom