Search results

  1. Gogadi

    Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    Mnasemaje mbona cwaelewi
  2. Gogadi

    Zimamoto Updates

    mme wangu, Tanzania yetu ndo hii nimependa huu mjadala nahakika utapata mkuu, omba Mungu maana ndo muweza wa yote kiongozi. Janjawidi...huwa ana mambo aisee, napenda vitu vyake vina uzito aisee.
  3. Gogadi

    Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    Balozi wa Dodoma...upo kiongozi:thumbup:
  4. Gogadi

    Zimamoto Updates

    Janjawidi...umenifanya nichezeshe akili yangu zaidi na zaidi...kuna ukweli happ aisee. Ila hii ndo Tanzania kijana wangu funika tulilinde,tulijenge na tulitetee Taifa letu. Tanzania nakupenda.
  5. Gogadi

    Kurudi JWTZ

    Hujui kitu kiongozi...piga kimiya
  6. Gogadi

    Kurudi JWTZ

    Mashtaka atakutana nayo kikosini
  7. Gogadi

    Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    Yupo anajipanga...tulia aje
  8. Gogadi

    Kurudi JWTZ

    Siyo kweli mkuu unayoyasema
  9. Gogadi

    Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Hahahahaaa aiseee nimefrahi sana kupitia huu uzi
  10. Gogadi

    Unakumbuka nini siku ya kwanza kufanya ngono?

    Mleta uzi ulifikilia nini aisee...hahahahaaa
  11. Gogadi

    Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    So what...watu wanaongelea swala la ajira wewe unaleta swala jingine...aisee peleka sehemu husika.
  12. Gogadi

    Nafasi za kazi NMB Eastern Zone

    Hahahahaaa...ameipata hiyo. Pole yake huyo jamaa
  13. Gogadi

    Nafasi za Kazi kutoka Mahakama

    Wahusika au mwana JF yeyote mwenye taarifa na kazi za mahakama walizotoa tarehe mwezi wa tatu mwaka huu. 1. Je lini watatoa majina ya waliochaguliwa kwenye interview kwa nafasi zote walizozitangaza? 2. Na interview yenyewe itakuwa lini? Ni hayo tu waungwana mwenye kujua tafadhari atuhabalishe...
  14. Gogadi

    Wenye matatizo ya macho(wavaa miwani) na nafasi za jeshi

    Mwalimu Fabian Manumba...kwa nini unapenda kujiunga na JWTZ?
  15. Gogadi

    Wenye matatizo ya macho(wavaa miwani) na nafasi za jeshi

    Kiongozi unajichosha tu...huyo jamaa hataki kuelewa kama unabisha hili. Ngoja aje tena utamsikia.
  16. Gogadi

    Usaili kwa tuliomba uhamiaji ni lini?

    Kamanda asikuchanganye huyo jamaa...yawezekana bado hayupo sawa. Atakuelewa tu, acha muda usonge.
  17. Gogadi

    Uhamiaji shortlisted tayari?

    "Shirtlisted"
  18. Gogadi

    Naipongeza CCM na Riz kwa ushindi wao

    Peleka jukwaa la siasa...agrrrrrr
Back
Top Bottom