Search results

  1. M

    Ukweli kuhusu unga airport.

    Ushauri wangu: Turejee kwenye maadili mema kama watanzania, Tuwe wazalendo na nchi yetu na jamii ya mtanzania, tuepuke tamaa za utajiri wa haraka usiokuwa na misingi bora, tuepukane na ubinafsi wakutojali maslahi ya jamii including kuukemea ubinafsi hatari kabisa dhidi ya afya ya kizazi cha...
  2. M

    Mtanzania Bingwa wa Dunia

    Hamis oyeeeeeee!!!! Hamis Juuu.... wenye udini na maono ya kibaguzi ya kidini zzzziiiiiiiiii!!! shiindwa kabisa!!! mstake kututia nyongo wabongo wa watu tusio na hili wala lile when it comes to ishu za dini.... kwa mbongo wa kawaida kama mimi na ambao ndio the majority dini kwetu ni kitu...
  3. M

    Msichana wa kitanzania kumuambia mwanaume anampenda..yaani kumtongoza..!!.

    Ushauri wangu: Mpende akupendae, asiyekupenda achana nae!! au umesahau hako kausemi ka tangu kale?? well kikubwa unachotakiwa kufahamu pia ni nafasi ya unique character aliyonayo mwanaume katika kuliteka penzi la mwanamke.. kwa kulitambua hilo lazima ufahamu kwamba wanawake ni viumbe wanaovutiwa...
  4. M

    Kushirika Sex wewe binafsi unaamini kwa kufanya romance pekee au ku do......pia??

    mh!! ebwana eeh, angalia usijekuta unananihilii na mwenzio mwenye mdude kama wa kwako bila kujua (as a result of birth defect maybe or transgender....) au wasiwasi wangu mwingine usijekuta anahofia huko maeneo kwake kuna kasoro flani, pengine harufu kali inayokera, ama kuchafu na hajui namna ya...
  5. M

    Tanzania's Nando has been Disqualified from the Big Brother House

    Hoja Yangu!! hivi kweli imefika mahali tunauza utu wetu kwa pesa?? kuna tofauti gani kati ya mashindano haya ya laana na kucheza picha za ngono?? namtofautishaje Cherokee D'ass, Flower Tuci, Lexington Steel, na Mandingo wacheza picha za ngono waliobobea kwa kujiweka wazi mbele ya ulimwengu na...
  6. M

    Mwanamke Kutotongozwa…. JAMANI Tatizo nini?

    Woow!! this topic is good jamani, nimeipenda sana kwakua imenipa nafasi ya kujifunza na kuelewa mambo meengi ambayo kwa kweli sikuwahi kudhani kama kuna darasa la namna hii lingewahi tokea... lol.. Well mi pamoja na kutokua mjuvi saana wa mambo ila pia nadhani Mwanamke kutongozwa hutokana...
  7. M

    Duh!! washkaji washaiteka nyara tovuti ya EAC

    wandugu habari ya kwenu kwa pamoja: leo katika pita pita yangu mtandaoni, nimejaribu kupitia tovuti ya EAC (East African Community: Web Portal na LatinHackTeam Ownz Your Box ..We Are.. infEkt - Adminp4nic - eCORE Againts governments corruptions !! your security.. get down ...
  8. M

    Yahoo Servers leo Jumanne Usiku kuanzia mida ya saa 3:10 imekuaje?

    Wadau naombeni msaada, eti leo server za yahoo kuanzia mda huo mbona hazirespond? kuna tetesi eti nimeskia kuna technical problem? Wadau naombeni kuuliza eti ni kweli? maana napata kigugumizi kuamini kama nao Yahoo wanaweza kuwa na technical fault....
  9. M

    Maisha Plus Tv Show ya Masoud Kipanya

    Mtazamo wangu Serikali ya Tanzania sasa imefika wakati wa kuacha kufanya Masikhara na mfumo wa elimu hususan kwa vijana ambao ndio nguvukazi na tegemeo kubwa kwa maendeleo ya Taifa. Ni ukweli usiopingika vijana wamepoteza dira ya kielimu, morali wa kujifunza umepungua sana among vijana, wengi...
Back
Top Bottom