Search results

  1. mwizalubi

    Naomba wa kunisaidia kutoa icloud kwenye Iphone

    Soma hapo ....When Apple was made aware of the vulnerabilities in its iPhone, it acted quickly, patching the problem in 10 days and pushing out an update to all of its users. That has neutralised this specific attack, sure, but there'll likely be many more that remain hidden from view.
  2. mwizalubi

    Msaada kuhusu mazoezi na mbinu za kujenga mwili kwa wanaume

    Zingatia vyakula vyenye kutia nguvu ili ujenge mwili, yaani zingatia sana msosi, pili anza kwenda gym Kwa vile umeonesha unapenda kufanya hivyo Ila usinyanyue vitu vizito sana ukiamini mwili utaongezeka, utaishia kukomaa na mwili utagoma. Summary: kula vizuri - balance diet + mazoezi ya kawaida...
  3. mwizalubi

    Serikali imesitisha michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA kwa mwaka huu

    Mtaisoma namba ..... Na Mara hii ndio bye bye hairudi tena. Nchi yetu hii ni balaa
  4. mwizalubi

    Jaji Mkuu Mstaafu B. Sammata amteua Prof. Kusiluka kuwa Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe

    Hongera sana Kwa prof. Kusiluka bosi wangu wa zamani pale Open University akiwa Kama Deputy Vice Chancellor- Resource Management
  5. mwizalubi

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Kwa wataalam wa kudownload YouTube video ni app gani ambayo inafanyakazi vizuri ukiacha Document ambayo process zake ni ndefu. Please Msaada hapo
  6. mwizalubi

    Tuyajue Matoleo Yote (Mpaka Mwaka 2016) Ya Simu Za iPhone Kwa Ufupi

    Ni simu nzuri sana Ila kwenye mabadiliko wana ongeza vitu vidogo mno ambavyo havina tija kulingana na pesa unayolipia
  7. mwizalubi

    Zanzibar: Pemba hali ni tete, vurugu kati ya Polisi na raia

    Let's wait and see what will happen
  8. mwizalubi

    KOZI YA BED ECE (Bachelor of education in early childhood education).

    Kwenye, local NGO na international wanachukua watu wenye ujuzi huo Ila inahitaji usome na uelewe vizuri ukiwa Darasani ili uuzike mtaani
  9. mwizalubi

    Magufuli akabidhiwa haya majina ya wauza 'unga'

    Kama yanaukweli wowote basi washughulikiwe, sio yaishie hewani kama wakati wa mkwere
  10. mwizalubi

    KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

    Kadi za jano nne sasa, faridi Musa Kadi, yondani, Mao, mwinyi. Leo watapigwa nyingi sana
  11. mwizalubi

    Fredwaa anapotea, ajitathimini upya, pesa si kila kitu

    Fredwaa ni mzuri sana kwenye fani hii kama anaona anafunikwa na yeye huwa anapita humu basi ajitutumue mpaka aonekane au ajiongeze
  12. mwizalubi

    Mjengo wa Ajabu anaomiliki Mh. Sitta Huu hapa

    Mleta mada anaonekana hajatembea ajionee Nyumba ndani ya nchi yake. Tulia tafuta pesa kwa bidii
  13. mwizalubi

    Natafuta mtu mwenye iphne5s iliyokufa, nataka display

    Yeah Ushauri wa jamaa hapo juu nao upo poa, iPhone yenye ICloud itakutoa
  14. mwizalubi

    Natafuta mtu mwenye iphne5s iliyokufa, nataka display

    Agiza kioo kutoka nje ya nchi mdau, humu utakutana na longo longo tu!
  15. mwizalubi

    Wachimba mchanga wamkamata mtuhumiwa wa mapango ya Amboni

    Hao wachimba mchanga NI undercover. Subirini season 2 inakuja
  16. mwizalubi

    News Alert: UFO in Dar

    Mbona kawaida sana hiyo kwenye mambo ya unajimu
  17. mwizalubi

    Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ni dhaifu sana!

    No mapema sana kwa mtoa mada kuzunguza au kuandika alichoandika! Kama kitu hukijui ni heri kukaa kimya ukaonekana mwerevu kuliko kupayuka kwa kuangalia bunge na kumsikia mara moja, sina imani kama umeshawahi kumuona kwenye kesi hata moja au kwenye kikao hata kimoja. Wait then you will see!!!!!
  18. mwizalubi

    Wanaotafuta kazi jihadharini na matapeli hawa

    Hii kitu ipo na vijana jihadharini na hizo pesa zenu zisije potea bure!
Back
Top Bottom