Search results

  1. gasper jj

    Rais kutokupokelewa na Rais mwenzake: Tutofautishe kati ya State Visit (Ziara ya Kitaifa) na Working Visit (Ziara ya Kikazi)

    ndyo maana marais wenye kuelewa tofauti ya hii kituhawasafiri hovyo mkuu.
  2. gasper jj

    Acheni kumlaumu Rais Samia. Mafuta yamepanda bei katika soko la Dunia, ulizeni bei za mafuta Kenya, Uganda, Rwanda zipoje

    thanks zimfikie pia na mtoa mada. na ajiulize iweje mafuta yanayopitia bandari ya Dar yakauzwe bei ndogo kuliko tz bara pia ajiulize zanzibar inalipa ushuru, japo naweza msaidia kwamba zanzibar inalipa ushuru inapopitisha mafuta bandari ya Dar.
  3. gasper jj

    Acheni kumlaumu Rais Samia. Mafuta yamepanda bei katika soko la Dunia, ulizeni bei za mafuta Kenya, Uganda, Rwanda zipoje

    umeonae, thanks. alitakiwa kuwa mkali kwa wafanyabiashara watakao pandisha bidhaa bei bila utaraibu tena angeonya kwa sauti kali na yenye mamlaka kwa kusema . yeyote atakae tumia vita ya Urusi na Ukreini kupandisha bidhaa bei atafungiwa leseni na kupelekwa mahakamani kwa kesi ya uhujumu uchumi...
  4. gasper jj

    Acheni kumlaumu Rais Samia. Mafuta yamepanda bei katika soko la Dunia, ulizeni bei za mafuta Kenya, Uganda, Rwanda zipoje

    naomba kujua bei za mafuta zanziba zipoje kabla hatujaenda huko unapo tupeleka, tukumbuke tunapo fananisha hizi bei tusikimbilie kuchukua mifano ya bei ya juu tuu tuchukue na ya bei ya chini pia, lakini tunapofananisha pia tuangalie na kipoto cha chini cha kila mwananchi cha nchi husika...
  5. gasper jj

    Rais Samia apende-asipende siku yaja atamfuta Uwaziri January kwa shinikizo la wananchi

    kisiasa wizara ya nishati si wizara nzuri kuwepo mwanasiasa mwenye malengo, ni wizara ambayo inawagusa moja kwa moja wananchi na ukiboronga wanajua ata wasio na upeo wa utambuzi wakujua watajua, mfano umeme unakatika masaa kazaa msimu wa mvua nchi nzima yule mwanakijiji aliekuwa anaenda kusaga...
  6. gasper jj

    Luhaga Mpina, mmoja wa Wana CCM waliochukizwa Samia kuwa Rais, awaita Mawaziri awamu ya 6 matapeli

    mbona makasiriko ndugu, unanichukia kwa sababu ndogo namna hiyo, ok tupo mwezi wa toba roho wa bwn akuponyekatika hili
  7. gasper jj

    Ushauri wa bure kwa Mbowe: Jipange, 2025 ni wakati wako

    mtafute C. MUSIBA akushauri maana kuna kauli aliwahi isema wakati lisu anarudi tz kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu nazani sasa hivi anaweza kuwa mshauri mzuri tuu, au mzee wa kutumia dola kubaki madarakani na sasa ameshindwa kutumia dola kubaki na ukatibu mkuu aliokuwa nao.
  8. gasper jj

    Wizara ya Nishati ni ngumu sana imewahi kumuondoa Waziri Mkuu madarakani, Tumuombee Waziri wa sasa

    unaposema hii wizara ni ngumu weka mifano yakutuonyesha ugumu wake. kumbuka katika wizara inayoingiza pato kubwa serekalini ni pamoja na hii, kwa mantiki hiyo upigaji ni mwingi mno pia ni wizara ambayo mwananchi wa kawaida anaweza kuona udhaifu moja kwa moja mfano kukatika umeme mara kwa mara...
  9. gasper jj

    Shibuda: Magufuli aliniahidi kunipa mil 5 nikalipe ada ya watoto lkn nilipompinga akanigeuka

    hata kama mtu anamapungufu hapa umeenda mbali sana, hata kama unachuki kubwa si vyema kutumia lugha kama hii.
  10. gasper jj

    Vifo vya Samaki Mto Mara: Mvua ilitibua tope na Mafuta yanayoelea ni mafuta ya mimea iliyo chini ya Mto Mara

    tatizo sio uzee, tatizo ni kuongozwa na wchumia tumbo. watu wasio na uchungu wa kweli na tz ya sasa na ya baadae wasio na ucgungu na wele wanaoadhirika na madhara yatokanayo na kile wanachokiteteta.
  11. gasper jj

    Vifo vya Samaki Mto Mara: Mvua ilitibua tope na Mafuta yanayoelea ni mafuta ya mimea iliyo chini ya Mto Mara

    speech kama hizi zinaharibu na kutia aibu nchi yetu na zinasababisha tuendelee kudharaulika kimataifa na pia kudharaulika na nchi majirani. ifike wakati wasomi wetu mutuondolee aibu kama hizi.
  12. gasper jj

    Vifo vya Samaki Mto Mara: Mvua ilitibua tope na Mafuta yanayoelea ni mafuta ya mimea iliyo chini ya Mto Mara

    watuambie ni aina gani ya mafuta na yanatokana na aina ipi ya mimea na hiyo mimea kwanini iwe chini ya mto mara peke yake maana tz tuna mito mingi sana na kwa asili ya uoto wa tz mimea mingi inafanana kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
  13. gasper jj

    Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

    matokeo yameanza kuonekana 2022. utawala uliopita wasingefumbia macho jambo hili kabisa
  14. gasper jj

    Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

    duu hao ng'ombe ni wa aina gani? na je wanashinda ndani ya mtoo 24hrs kiasi cha kwamba huwalazimu kila wakitaka kujisaidi wajisaidie ndani ya maji au kila wakiona maji choo huwabana. prof anataka tuanze kukagua vyeti vyake? ndiyo maana mbunge Msukuma anawazihakigi hawa wasomi.
  15. gasper jj

    Shule ya Mafunzo ya Uongozi isitumie jina la Mwalimu Nyerere, bali itambulike kama Shule ya Uongozi (SUT)

    tukiita shule ya uongozi huoni tutakuwa tuna muenzi H. Polepole maana alishaanzisha shule ya uongozi on line. au amekuomba umwakilishie wazo. nyerere ni icon ya Afrika na hata duniani alitambulika kama kiongozi bora kwa wakati wake na hata sasa hakuna alie wewza kuvaa viatu vyake tz kwa mantiki...
  16. gasper jj

    Matumizi ya hela za EU ni zamu ya Pemba

    nimesema fanya uchunguzi kidogo wewe umeingia ndani sana, ok aliipendelea Tanganyika kuliko zanzibar ndiyo maana sasa jambo likifanyika zanzibar tunashtuka lakini pia alikipendelea chama cha mapinduzi kuliko vyama vingine katika uchaguzi wa 1995 kuliwahi kusikika sauti zikinongona aliwapendelea...
  17. gasper jj

    Je, Ndugai ataenda Msibani kwa Malecela?

    mimi nilimwona P. Makonda , nikajiuliza Kubenea hajamuona hivi kama hakuomba ruhusa si bunge litumie kile kifungu walichotumia kumwondoa Lisu na J nasari.
  18. gasper jj

    Maajabu: Twalaumiwa siye badala ya waliomfunga?

    scanario 1 umekose inasimama kama vile Mbowe amesha hukumiwa kifungo jela, kuwa na kesi ya kujibu sio kuhukumiwa kifungo. najua unaufahamu wakutosha juu ya hilo. kutokana na watz wengi kutokutambua tofauti ya kesi ya kujibuna kuhukumiwa ni jukumu letu kuwaelisha juu ya hilo.
Back
Top Bottom