Search results

  1. A

    nashindwa kufungua internet kwenye android ya simu yangu ,msaada

    ndugu yangu Akhsante xan a a a a a a a a mimi nimefanikiwa
  2. A

    desc top inauzwa bei poa

    ram 1gb hdd 500gb ni dell flat screen tsh 350000 haipungui 0757510219
  3. A

    nahitaji mini laptop hdd 80

    ipo acer ram 2gb hdd 200gb tsh 300000
  4. A

    Laptop acer aspire 4739z

    dukani ni tsh ngapi?
  5. A

    Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Mwigulu unajitahidi kutikisa kiberiti ila kwa njia ya mitandao huna chako af wa tz wa sasa tumekua wajanja then umepiga picha kwa mbele unamuonyesh dr slaa peke yake duh! Kweli ccm mmeanza kuchanganyikiwa
  6. A

    Watoto wa kishua

    WATOTO WA KISHUA SECONDARY SCHOOL S.L.P 7677, MASAKI. MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA. MAELEKEZO. i. Jibu maswali yote. ii. Kila swali linabeba maksi kumi iii. Zingatia mpangilio wa kazi. iv. Unaruhusiwa kutumia BLOGS na MAGAZETI YA UDAKU iv. SWALI LA TISA NI LAZIMA KUJIBU. MUDA; Masaa...
  7. A

    Mapungufu ya Lady Jaydee na kosa la kumwita Mwana FA kuwa MwanaFatuma

    duh! Mimi nipo njia panda mmesha nichanganya akili sijui niende wapi na log out siumizi kichwa hawanilishi coz mwaka jana tuli msuport Sugu akaongea na ruge kimya kimya aka waacha wenzie wana mbwera mbwera na sasa iv wakina rama d,mapacha na kina dj choka hawajakoma wanatoa suport...
  8. A

    Tuzo za kilimanjaro 2013

    nimefurahi xanaaaa Ney alivyochukua Tuzo na Rama d nimeamini zile tuzo hazina mkono wa m2.
  9. A

    nokia n72

    ef 70 n72 nitafute 0757510219 nipo Iringa
  10. A

    Kodi zetu

    WAKATI NASOMA NILIKUWA NASIKIA CHADEMA WANALALAMIKA CCM WANAKULA KODI ZETU NILIKUA SIELEWI WANAKULAJE! Coz NILIKUWA CJAWAI KULIPA KODI YANI NIMEFUNGUA KA STUDIO KADOGOO HATA MWAKA HAKANA NASHANGAA #manispaa wanataka ushuru tsh elf 50 #manispaa hao hao wanatakaushuru wa bango tsh elf 15...
  11. A

    Nataka kuanza kunywa pombe, ushauri please

    pombe haina virusi kunywa usahau umasikini wako
  12. A

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    af Nape simpendi kwenye nchi hii cc hatumjui
  13. A

    jifunze kuwaita polisi wa tanzania

    Jamaa mmoja Mkazi wa Tabata alikuwa anapanda kitandani alale ,mara mkewe akamwambia kua ameacha taa inawaka Bafuni, jamaa akaamka akawa anaenda kuzima Taa ....alipo fika Bafuni akacheki cheki nje kulikua na mbwa anabweka . Kuangalia Vizuri kuna MAJAMBAZI wameruka ukuta wa Home kwakwe...
  14. A

    polisi wa tanzania

    Jamaa mmoja Mkazi wa Tabata alikuwa anapanda kitandani alale ,mara mkewe akamwambia kua ameacha taa inawaka Bafuni, jamaa akaamka akawa anaenda kuzima Taa ....alipo fika Bafuni akacheki cheki nje kulikua na mbwa anabweka . Kuangalia Vizuri kuna MAJAMBAZI wameruka ukuta wa Home kwakwe...
  15. A

    Lipi kati ya haya bado unafanya?

    huku mbuzi anachinja m2 yeyote mwenye njaa
  16. A

    Kwa wale watani wangu wahehe a.k.a wazee wakujitundika

    Upo sahii xanaaaa hata mimi muhehe wa Iringa tena Hujaandika maeneo mengine kama Ifwagi Isupilo Ikonongo Ipalamwa Ikongosi Isoka Isimani Igosi Ihimbo Ibofwe Ilembula Isakalilo Ilandutwa n.k
  17. A

    angalia digita ilivyo

    mfumo wa digital Wameboresha kuweka lugha ya kihehe kwenye sim na mambo yatakuwa kama ifuatavyo:- Phonebook SHITABU SHA ISIMU Names MATAWA. Exit HEGE IPA. Cancel DUMULE. Setting KUPANGILILILA. Call KUTOVA. Missed call VAKUTEMULIGE. Receved call VAKUTOVIE. Dialed call...
  18. A

    Swali

    iv kwann mpenz wako anapo kuliza unatka nkufanyie nn ambacho kita furahsha moyo wako,hua unakoxa uhuru na kuxema "chochote unachojckia"?
Back
Top Bottom