Search results

  1. Kaisari

    Toyota Brevis.

    Nahitaji Toyota Brevis. Ninunue. Mwenye nayo tafadhali anijulishe Tuwasiliane.
  2. Kaisari

    Nisaidieni

    Samahani kwa nitakao wakwaza, najaribu tuu kuwaza kwa sauti. Hivi nyumbani kwao mkapa ni wapi ? Kwao alikozaliwa na wazazi wake pia hata shule ile alisoma. Anayefahamu naomba anisaidie niielewe.
  3. Kaisari

    Vodacom please

    Nyie watu wa Voda ,. Samahani mnaweza kuondoa hii mnaita tuzo point kwenye simu yangu ???? Naona usumbufu mkubwa Sana na sioni faida yake. Kwa kweli Ni kero kubwa Sana kwangu . Tafadhalini nisaidieni to kabisa sitaki kwenye simu yangu. Siutaki sitaki SITAKI. Kila napofanya muamaka kina kuja...
  4. Kaisari

    Yajayo yanafurahisha

    Huyu hapa
  5. Kaisari

    Nielewesheni jamani

    Inawezekanaje mtu akuteke akae na wewe siku kadhaa. halafu anakupeleka mahali anakuachia na silaha ambazo zana zake za kazi Kisha aende zake hivi hivi tuu ??? Anakuachia usafiri, anakuachia silaha anaenda zake. Hivi anapoacha silaha inamaana hiyo kazi kastaafu au ????? Hivi amekuachia...
  6. Kaisari

    Nawaza tuu,

    Shule zetu ! Sii lazima uwaze Kama Mimi. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kaisari

    Maoni yangu,

    Nadhani, Hapana haja ya kuitisha uchaguzi tena. Nimeshuhudia chaguzi nyingi sana zimekuwa na misuguano mikali na hata kupoteza uhai wa watu, Kwa machungu makubwa na kuacha baadhi ya familia na machungu makubwa. Watu wanapigwa mabomu, wanauawa, mikutano inakuwa na kero nyingi sana na...
  8. Kaisari

    Tuliozoea kupiga U-turn

    Hapa sijui unapigaje u-turn. Dadadeki, Na wale jamaa na tochi Lao sijui wanasimama kwa wapi hapa.
  9. Kaisari

    Nafikiria kumfungulia mashitaka MTU huyu

    Kazoea kunitumia sms hizi. Habari Ya Huko Tabora Kijana Wangu Kevini Ninakushukuru Sana Kwa Zawadi Uliyo Nitumia Lakini Nadhani Hata Wewe Mwenyewe Umeamini Kuwa Ndagu Yangu Haina Madhara Si Nilikuelekeza Kuwa Siyo Ya Kumwaga Damu Pia Jitahidi Kuzingatia Mashart Usiharibu Na Pia Ndagu Hii Si...
  10. Kaisari

    Hapa ndiyo patamu

    Ndiyo maana watu wanaombea afe maana aibu inayofuatia !!!!!!! Wanafiki wataumbuka.
  11. Kaisari

    Programing tutorial

    Nilitafuta dvd za programing, kuna package kubwa. Nimeona kuna watu wanahitaji, zinaweza kuwasaidia na wengine. Kwa anayehitaji Njoo inbox.
  12. Kaisari

    Hata kama HAMTAKI KATIBA MPYA,

    Basi wana jamvi tusaidiane kufikisha hoja muhimu katika katiba, ili vile viraka vyao wanavyoweka basi waweke 1) Nafasi za mawaziri ziwe ni ajira, watu waombe watume cv waitwe kwenye usaili na waajiriwe kwa mikataba. Itaboresha utendaji na kuongeza ufanisi. 2)Nafasi ya spika wa bunge iwe ya...
  13. Kaisari

    Hapa Mahakama ya juu kabisa ipo?

    Jamani naomba wale wajuzi wanifahamishe kwa hapa kwetu tulipozaliwa kwa bahati mbaya, Mahakama ya juu kabisa ipo ? Ni ipi hiyo? Inasikiliza hoja kwa uhuru na haki ?? Nifahamisheni jamani.
  14. Kaisari

    Matumizi ya elfu kumi yangu leo

    Nimeamka asubuhi nina elfu kumi mfukoni , sasa hesabu yake sasa :- Chai kwa mama niwekee. 1,500/= Nikatoka kwenda mjini nauli. 1,000/= Nikala mchana huko mjini. 2,500/= Nikanunua vocha 1,000/= Nikanunua maji 600/= Nimerudi nikanunua bando (MB) 1,000/= Sasa nina chenchi 2,400/=...
  15. Kaisari

    Mwendokasi: Tuungane kupinga huu wizi

    Jamani nimeweka 5,000/= kwenye kadi ya mwendokasi nimepanda gari mara nne tuu. Inaniambia ' insufficient balance' Tuungane kupinga huu wizi.
  16. Kaisari

    Kwa haya yanayotokea, mtanishawishi vipi nikapige kura ?

    Hebu wadau niambieni nitawezaje kwenda kujipanga kutwa nzima na njaa eti kupiga kura kwa haya yanayotokea sasa. Nisaidieni mawazo. Hata wanangu na wajukuu nawashawishije kupigakura.
  17. Kaisari

    Tusiwaue tuwakamate wakiwa hai

    Wanajamvi, Ninaomba wahusika wauchukue ushauri wangu juu ya hawa wanaoitwa "wauwaji wa Kibiti" Imekuwa sasa kawaida kupata taarifa kwamba hawa waliouawa ni miongoni mwa genge lile. Mie naomba kuwapa ushauri kwamba wasiwaue ila wawakamate wakiwa hai kwa faida hizi. Kwanza wakiwakamata watapata...
  18. Kaisari

    Ni Mbunge yupi wa upinzani ambaye hajawahi kushitakiwa au kukamatwa na polisi?

    Naomba kufahamishwa , katika hawa viongozi wetu hasa wa upinzani ni yupi ambaye hajwahi kukamatwa na polisi, au kushitakiwa na pengine kukaa kolokoloni kwa muda,. Yupo kweli ?
  19. Kaisari

    Vyeti feki: Tangazo la kuwataka wenye vyeti feki waondoke wenyewe je lilifanikiwa?

    Jamani naomba kujuzwa hivi lile tangazo la wenye vyeti fake waondoke wenyewe. Lilifanikiwa ? Jee watu waliondoka ?? Jee waliokaidi bado wapo ?? Kama wapo kuna hatua zimechukuliwa ?? Vipi mishahara imeendelea kutoka au hamna ??? Nijulisheni nisijekuwa nimebaki pekeyangu na mimi nisepe kesho.
  20. Kaisari

    Machinga wanaopanga bidhaa barabarani imekuwa kero, barabara hazipitiki

    Katika pitapita zangu mtaani hasa kule Kariakoo, nimeona adha kubwa sana wanayokumbana nayo watembea kwa mguu. Hii hasa ikanisukuma kuandika hapa. Na bado najiuliza sijui nimwandikie barua ya kumshauri. Namba moja atengue kauli. Ukitazama hawa jamaa zetu wanaopanga bidhaa barabarani kwa kweli...
Back
Top Bottom