Search results

  1. M

    Africa shall look for potential partners – Sudan

    Sudan Vice President Dr. Al-Haj Adam comment for Africa to look for the potential partners rather than depending to the western countries. The remarks made when Dr. Adam met international journalists who were attending the National Congress Party (NCP) meeting held recently in Khartoum...
  2. M

    Hali ya Mzee Kawawa...

    Wanasema yuko shwari
  3. M

    Tusiwapishe viongozi wetu wakuu barabarani

    Kweli tusiwapishe. Mathalani jana nikitoka Arusha kuja Dar, magari yalisimamishwa barabarabi kwa dakika 45 hadi saa nzima kumpisha Jaji Mkuu aliyekuwa akiongoza msafara wa JK uliokuwa nyuma ya JM kwa takriban dakika 20. Kwa jinsi hii kweli tutaendelea. Kwani tukipishana nao kutakuwa kitu gani?
  4. M

    Nape nnauye kanunuliwa na mafisadi??

    Huyo lazima aegemee kwenye siasa na kuwabeba mafisadi. inasemekana shule ilimshinda India alipokuwa akilipiwa na bwana mkubwa mmoja wa serikali iliyopita, sasa tutegemee nini?
  5. M

    Ndugu Mtanzania: Je unajua hili?

    Kujua kwetu na kuishambulia hiyo Idara ya Usalama wa Taifa hakutoshi, tufike mahali tumsaidie RO ajue anatakiwa kufanya nini katika suala hilo la Meremeta
  6. M

    Kumbe JK alikuwa anampinga Lowassa kimya kimya?

    JK amekuwa na maono ya mbali. Hakunahaja ya kujengwa kwa hoteli nyingi mbugani mfano wa hiyo aliyoifungua, ni vema ukabuniwa utaratibu wa kuwa na hoteli za mfuto ambazo si kama zao huku marekani na ulaya. wenzetu wanataka vitu tofauti. kuwajengea mahoteli kama yaliyoko kwao si kuwavutia bali...
  7. M

    Mattaka aaga rasmi ATCL

    At last, amekubali
Back
Top Bottom