Naomba iletwe taarifa hapa.Ni lini nilijisajili kwa familia ya Mbowe?
Mleta Mada leta Ushahidi wangu kwa matamshi ya Mdomo au Maandishi kuhusiana na hili.
Nisiingizwe kwenye kundi ulilotaja bila ushahidi.
Kwa nafasi yangu ni Executive Aide wa Mwenyekiti Taifa na Mshauri wake masuala ya...
Mkuu Pasco kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe ila sasa Na Kutoka(Exodus) 20:5 imekatazwa kujifanyia miungu wengine na kuisujudia .
Mungu ni mwenye wivu. Ilitolewa tahadhari tu juu ya kugusa Utukufu wa Mungu
Hii miungu "Catalyst" mingine inaturejesha katika Kumwabudu Baali.
Wanaoelewa...
Hahaha Na Bado...Kenyatta Mbaya sana.Kwanza alimtuma Waziri wa Mambo ya nje Kumpokea na leo ataenda kunadi na kuisafisha Kampuni ya Brookside aliyoishambulia mwaka jana .Barabara ikipewa jina lake atapewa Mic azungumze Machache
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.