Search results

  1. D

    Dr. C. Chami hali si shwari Moshi Vijijini

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida wananchi wa Moshi Vijijini wameonekana wa tofauti sana katika uchaguzi huu, hali hii imejitokeza katika Kata ya Kirima mkutano wa Chami aliokuwa ameuandaa eneo la KNCU Kirima. Pale ambapo mbunge anayemaliza muda wake na aliyewahi kuwa Waziri akiongozana na Sophia...
  2. D

    Magari ya Serikali yatumika kwenye kampeni za CCM wilaya Siha

    Katika hali ya kushangaza jana Mkurugenzi wa wilaya ya SIHA mkoani Kilimanjaro alitoa magari ya Serikali na kuyaelekeza kwenye msafara wa mgombea mwenza Samiah Suluhu. Kilichofanyika ni kwamba walinyofoa plate number kwenye magari ya STAFF wake na kuzibandika kwenye magari ya Halmashauri hiyo...
  3. D

    James Mbatia nyota yako inang'aa sana kipindi hiki

    Ndugu wana - JamiiForums, ni ukweli usipoingika kuwa nyota ya kijana huyu imekuwa iking'aa hasa kwa uwezo wake ambao umeonekana ndani ya kipindi kifupi alichoingia bungeni. Kwanza amekuwa akipigania maslai ya Taifa zaidi kuliko chama chake, pia ameongezea chachu na kuleta umoja katika upinzani...
  4. D

    Afisa mtendaji wa kata asimamishwa kufuatia ushindi mnono wa CHADEMA

    Ndugu wana jamii Forum naleta hoja hii hapa kwenye jamvi, kuwa mtendaji wa Kata ya Kindi wilaya Moshi (v) jina tunalihifadhi kapuni,amesimamishwa kazi na mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi (v) kufuatia kijiji cha Sambarai ambako ndipo ofisi ya Kata ilipo kwenda CHADEMA kuanzia...
  5. D

    CCM waumaliza mgogoro Sudani Kusini huku mgogoro wa Morogoro ukiwashinda

    Ndugu wana jamii forum naleta kwenu hapa jamvini hoja hii, kuwa CCM chini ya usimamizi wa mzee MALECHELA NA KINANA jana walisikika katika vyombo vya habari wakijinasibu kuwa ccm imefanikiwa kuumaliza mgogoro wa sudani kusini, sasa je mgogoro wa mkoa wa Morogoro kati ya wafugaji na wakulima...
  6. D

    Hivi kesi za chadema arusha zimeishia wapi?

    Ndugu wa jamvi napenda kujua zile kesi nyingi nyingi za chadema arusha bado zipo?
  7. D

    Operation delete CCM Moshi Vijijini hongereni sana!!

    Ndugu wana JamiiForums naomba kuleta uzi huu hapa jamvini na kuwafahamisha kuwa operation inayoendeshwa na CHADEMA ktk jimbo la Moshi (v) ni shida, kusema ukweli jamaa wamejipanga aisee!!! Mbunge wangu jipange kutetea kiti chako.
  8. D

    Jamani mtandao wa vodacom vipi?

    Yaani ni shida tupu toka juzi jumamosi yaani nina kihela changu kipo kwenye M-PESA toka jumamosi siwezi kukitoa yaani utadhani nipo kwenye foleni ATM ya NMB. Voda tusaidieni jamani tunateseka sana!
  9. D

    Rwanda yazuia magari ya Tanzania

    Msafara wa magari ya kijeshi ya JWT uliokuwa ukielekea Mashariki mwa DRC ulizuia nchini Rwanda ikidhihirisha mwendelezo wa chuki za rais wa nchi hiyo Paul Kagame kwa Tanzania. Source: Gazeti la Jamhuri
  10. D

    Muuza magazeti ajitokeza kuwanaia ubunge jimbo la kalenga kupitia chadema

    Sie mwingine ni bwana Aidani Pugili(34) wakala wa magazeti Iringa mjini amejitokeza kuwania kiti cha ubunge jimbo la Kalenga. Uchaguzi huu utafanyika March 16 mwaka huu kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa waziri wa fedha Dr. William mgimwa aliyefariki.
  11. D

    Naona fahari kuwa CHADEMA na wala sijilaumu

    Ndugu zangu napenda kuweka kwenye uzi huu yale yaliyo moyoni mwangu kwa kipindi sasa. Najivunia kuwa ktk chama cha Demokrasia na Maendeleo CDM na sababu pekee za kusema hivi ni kwamba, moja chama hiki ni shupavu sana, wana maamuzi magum kwa mustakabali wa uhai wa chama, hakuna aliye zaidi ya...
  12. D

    NEC yatangaza uchaguzi kata 27 kufanyika mwezi February mwakani

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kata 27 nchini ambazo zipo wazi kutokana na madiwani wake kufariki dunia na wengine kupoteza sifa, uchaguzi wake utafanyika Februari 9 mwakani. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Mkurugenzi wa NEC, Julius Mallaba, alisema uchaguzi huo utafanyika katika...
  13. D

    Mke wa naibu waziri agawa mikopo jimboni kigezo uwe na kadi ya ccm

    Ndugu wana jamii forum, habari za kuaminika kutoka Singida vijijini ni kuwa mke wa Mh. Lazaro Nyalandu ambaye ni naibu waziri wa mali asili na utalii (Faraja Kota) yupo jimboni humo kwa ajili ya kugawa mikopo kwa wananchi kigezo uwe na kadi ya UVCCM au UWT. Je, hii imekaaje? Ni kwa ajili ya...
  14. D

    Rais Kikwete atunukiwa shahada ya uzamivu ya chuo kikuu cha Guelph jimboni Ontario Canada

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Ijumaa, Septemba 20, 2013, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PHD) na Chuo Kikuu cha Guelph katika jimbo la Ontario nchini Canada kwa kutambua mchango na uongozi wake katika kuleta mageuzi ya kilimo katika Afrika. Viongozi...
  15. D

    Ludovick apata dhamana

    Mtuhumiwa mwenza katika kesi ya kula njama ya kumdhuru mhariri wa Mwananchi inayomkabili Lwakatare ameachiwa huru kwa dhamana leo.
  16. D

    Nina-furahi-sasa-kuona-CHADEMA-inaenda-kurudisha kata zake 4 za Arusha Jumapili saa kumi

    Mimi sina mengi ya kusema ila mada hapo juu imejitosheleza naomba kuwasilisha ndugu wana jamvi
  17. D

    Baraza ya katiba ngazi ya wilaya moshi (v) kukutana kuanzia tarehe 20 - 22 june 2013

    Ndugu wana jamii forum habari nlizonazo na za kuaminika ni kuwa baraza la katiba Halmashari ya Moshi linaanza kukutana rasmi tarehe 20 mpaka 22 mwezi huu wa July 2013 katika ukumbi wa Umoja Hostel. Nauli na Malazi vitarejeshwa kwa wahusika!! Vipi kwingine jamani?
  18. D

    Kama sio mawakili makini, CHADEMA ingekuwa pabaya sana

    Nimejaribu kufuatilia mwenendo mzima wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA toka baada ya uchaguzi wa 2010 na kugundua kama sio kuwa na mawakili thabiti chama kingeshakufa hasa kwa sababu ya viongozi wake kubambikiziwa kesi nyingi ngingine hazina maana. Kuna wale waliokuwa wakisema kuwa...
  19. D

    Wako wapi waliosema chadema ni chama cha msimu?

    Ndugu wana jamii foum kuna misemo ilyokuwa imeenea maeneo mengi toka kumalzika kwa uchaguzi wa 2010 ikidai kuwa CDM ni chama cha msimu. Sasa je nauliza msimu wake unaishia lini jamani ili CCM wapumue?
  20. D

    Mheshimiwa freeman mbowe akiwa ziarani ifakara- ni funika bovu

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, akiwa pamoja na baadhi ya viongozi, wanachama na wapenzi wa chama hicho wakipata chakula cha mchana kwa kutafuna samaki wadogo waitwao 'Njuju', kando ya kivuko cha Mto Kilombero, walipokuwa njiani kutoka kwenye...
Back
Top Bottom