Search results

  1. philosophy

    Dhana ya uzalendo ni kama mfumo wa mapenzi ya mzazi na mwanawe: mtazamo wa kimetafizikia (act and potency)

    Suala la upendo wa mtoto kwa mzaziwe ni la kimaumbile (nature) kwani mtoto ni damu ya mzazi, hivyo upo mvutano halisi na wa kiasili ambao kwao dhana ya upendo imejengwa kama uwezekano ila haijawa (potency) na ili upendo ukamilike uwe dhahiri (to be actualize) yapaswa mzazi kufanya mazoezi ya...
  2. philosophy

    Mitaala yetu ianzishe somo la falsafa

    Lengo la makala haya, ni mwandishi kujaribu kuunga mkono baadhi ya watanzania ambao wamejaribu kupigia kelele ufundishaji wa falsafa katika mfumo wetu wa elimu. Kwa hiyo ni mapaendekezo ya kutaka serikali kupitia wizara ya elimu kuanzisha somo la falsafa katika elimu yetu kwa ustawi bora wa...
  3. philosophy

    Tufanye tafakuri yakinifu juu ya maendeleo yetu na wajibu wa serikali

    “JE INAWEZEKANA WATANZANIA KUPATA MAENDELEO KWA UTEGEMEZI WA SERIKALI PEKEE?” Tutafakari Kumekuwa, kwa kiasi kikubwa ndani ya watu (waafrika) dhana ya kwamba, ili mtu, jamii, au taifa liwe na maendeleo ni lazima serikali yake iwajibike kufanya hivyo. Hii ndio dhana iliyojaa vichwani mwa...
  4. philosophy

    Sioni mantiki ya Serikali kutetea suala la kutotenga pesa za chakula kwa shule za bweni za wananchi

    SIONI MANTIKI YA SERIKALI KUTETEA SUALA LA KUTOKUTENGA PESA ZA CHAKULA KWA SHULE ZA MABWENI YALIYOJENGWA NA WANANCHI KWA KIGEZO CHA USAJILI Baada ya serikali ya awamu ya tano kuamua kutangaza kuwa elimu ya msingi (elimu msingi) ni bure, raia wengi tumeona ni suala zuri kwa maendeleo ya...
  5. philosophy

    Mustakabali bora wa taifa ni watu wenye mwono sahihi

    MUSTAKABALI BORA WA TAIFA NI WATU WENYE MWONO SAHIHI Kwa kila kitu au jambo lililopo, huwa halipo si tu lipo, bali lipo si kutoka kusikokuwepo, lipo kwa chanzo au sababu maalumu. Ndivyo ilivyo kwa vitu vyote ulimwenguni kuanzia kiwango cha chini kabiasa katika mlolongo wa uwepo hadi ngazi ya...
  6. philosophy

    Nautamani ule mtaa wao

    NAUTAMANI ULE MTAA WAO Wakati anakuwepo, alikuwa ni yeye pekee aliyehitaji kuwa kama anavyotaka kuwa. Aliufikia uwezo wake wa kimaumbile aliojaliwa, na kujitambua kuwa yampasa autumie vema ili aweze kumudu maisha yake. Katika ndoto zake yeye alikutana na kiumbe kama yeye ijapo yule kiumbe...
  7. philosophy

    Je upo uhalisia wa mawazo haya ya Nyerere ktk Tanzania yetu?

    A university is a place where young men are trained to think critically and independent (Nyerere 1922-1999). Kwamba, chuo kikuu ni mahali ambapo vijana hufunzwa jinsi ya kufikiri na kujitegemea. Hufikiri na kuja na fikara huru za kujitegemea mwenyewe na ndivyo ugunduzi hupatikana, na maendeleo...
  8. philosophy

    Fikara za mwafrika

    Mwanabusara Leopord Senghor na rais wa kwanza wa Senegal aliwahi kumtetea mwafrika kutoka maono baguzi ya uweupe akasema kuwa, " waafrika wana akili kama watu wengine, wanafikiri vizuri na wanautumia vema ufikiri huo kutoka ktk kiini cha urazini wao. Ila utofauti wao ktk kufikiri na wazungu...
  9. philosophy

    Nikauona ukweli ndani yake nikauandika kwenu

    NI KILE MIMI NINACHOKIKUBALI NA KUKUAMINI KAMA NJIA YA MAENDELEO KWA BINADAMU Siku zote huwa nina msimamo thabiti kuhusu uhalisia na ukweli juu ya kuendelea kwa binadamu. Kwangu mimi si mali au utajiri wowote ya kwamba ndio kuendelea kwa mtu; bali nitahubiri zaidi katika fikara/fikra za...
  10. philosophy

    Uhalisia wa mawazo ya hegel kuhusu uwezo wa fikara za mwafrika

    Hegel anasema kuwa waafrika ni watu wasiofikiri au wenye uwezo mdogo wa kufikiri, akanena ya kuwa nguvu kubwa ya maisha ya mwafrika haitofautiani na asili au maumbile. Kwamba kutofautisha kati ya mtu (yeye) na maumbile/ asili kwa mwafrika ni jambo gumu sana. Na hivyo, ufikiri au nguvu yake ya...
  11. philosophy

    Vyombo vya habari kuharibu Kiswahili

    VYOMBO VYA HABARI NA MATUMIZI YASIYO SAHIHI YA LUGHA NA ATHARI ZAKE KWA WASIKILIZAJI WAKE 1. UTANGULIZI Andiko hili ni maalumu kwa watu wa habari hapa nchini pamoja na watanzania wote na watumiaji wa lugha ya Kiswahili kama lugha muhimu ya mawasiliano Tanzania. Lengo la andiko hili ni...
  12. philosophy

    Je Tanzania ni Kisiwa cha amani?

    zimekuwepo kauli za mazoea kwa nchi ya watu wenye kuwaza zaidi ya kufikiria na kuridhika kuwa wamefikia hatua ya juu ya kufikiria sawasawa. nchi hii ni TANZANIA. utawasikia viongozi pamoja na raia mbalimbali wakinena tena kwa hisia zilizozidi kipimo ati: " Tanzania ni kisiwa cha amani, tujivunie...
  13. philosophy

    Elimu ya ukombozi wa kweli

    Ni jambo la uzalendo ulio hai kutambua kuwa viumbe unaoishi nao bado hawajakomboleka, na kuamua kuwapigania ili wakomboke zaidi kifikra. Pia ni jambo la msingi kuwaongoza watu kupata ukombozi kutokana na utumwa; ila ni jambo la kijinga, la kisaliti, la kinafiki na lisilo na uzalendo, kuuficha...
  14. philosophy

    Afrika tuko huru kweli?

    Ni jambo la uzalendo ulio hai kutambua kuwa viumbe unaoishi nao bado hawajakomboleka, na kuamua kuwapigania ili wakomboke zaidi kifikra. Pia ni jambo la msingi kuwaongoza watu kupata ukombozi kutokana na utumwa; ila ni jambo la kijinga, la kisaliti, la kinafiki na lisilo na uzalendo, kuuficha...
  15. philosophy

    Ni muda mwafaka kwa watanzani kufanya maamuzi ya uongozi

    Kwa sababu wanadamu kwa asili wanafikiri na kuitumi akili vema, moja kwa moja hutambua kuwa wanatakiwa kuishi kwa amani ili kuweza kulinda haki zao za kiasili. Katika kulitimiza hilo, wanadamu katika jumuiya au jamii zao, huamua kukaa chini na kukubaliana kwa kuunda mkataba wa kijamii, na...
  16. philosophy

    Nyerere mwanasiasa wa kuigwa tanzania

    Hatuwezi kuuliza ni kwa nini tunaungana, anayefanya hivyo, kidogo akili yake haitumika sawasawa . binadamu wote wanapenda umoja, ushirikiano n.k.. . . huuliza kwa nini wanatengana ila si kwa nini wanaungana (Nyerere 1922 – 1999). Natafakari kwa kumuuliza maswali haya: asiyeuliza ni kwa nini...
  17. philosophy

    Democracy, the rule of Ignorant

    DEMOCRACY, THE RULE OF IGNORANT Surely these words , he says, the ancient Greek philosopher , Plato . When he observed that the rule of democracy is a stupid rule . He stood on argument that democracy itself covers a multitude and are the ones most often heard and make decisions . Second, most...
  18. philosophy

    Katiba ni muhimu na rasimu nzuri ila wanaoitaka sasa?

    DEMOKRASIA UTAWALA WA KIJINGA UNAPATIKANA KWA WAJINGA. Hakika maneno haya, aliyasema mwanafalsafa wa kale wa kiyunani, Plato. Alipouona utawala unaotokana na demokrasia kuwa ni utawala wa kijinga. Alisimamia hoja ya kuwa, demokrasia yenyewe husimamia wingi wa watu na wengi mara nyingi ndio...
  19. philosophy

    Demokrasia utawala wa kijinga, unapatikana kwa wajinga!

    DEMOKRASIA UTAWALA WA KIJINGA UNAPATIKANA KWA WAJINGA. Hakika maneno haya, aliyasema mwanafalsafa wa kale wa kiyunani, Plato. Alipouona utawala unaotokana na demokrasia kuwa ni utawala wa kijinga. Alisimamia hoja ya kuwa, demokrasia yenyewe husimamia wingi wa watu na wengi mara nyingi ndio...
  20. philosophy

    Mapenzi ya hisia na akili

    Watu wengi husema kuwa mapenzi ni hisia. Sikatai wa sikubaliani na mawazo haya. La hasha, sijafanyia utafiti wa kutosha juu ya hili! Ila katika uchunguzi niliofanya kuhusu mahusiano ya mapenzi, nimebaini mambo yafuatayo. 1. Mapenzi yenye kutawaliwa na hisia, mara nyingi mmojawapo kama sio...
Back
Top Bottom