Kwani Zito alijenga hoja au alikuwa anasoma kile kilichoandikwa na kamati nzima? Nadhani kamati ilikuwa na watu zaidi ya kumi kutoka CCM na vyama vingine vya upinzani.
wewe ndiye usiyejua kabisa nini maana ya uwakilishi kama ni hivyo tusingekuwa na wabunge zaidi ya mmoja dsm, kama definition yako ya mbunge ndio hiyo. Wanapokuja kwenye kampeni zao hayo ndio mambo wanayoahidi, hivi unafikiri jimbo la ubungo litampima mh.mnyka kwa mafanikio ya kutetea watu wa...
Pamoja na kutoa majibu kwa Mhe.Magufuli, kama haya yote hasa la barabara yangekuwa yameripotiwa kwa wapiga kura wako, leo usingekuwa na haja ya kujieleza hivyo. Tatizo wabunge wa DSM mmeanza kuwa wabunge wa matukio, au wa kujibu mapigo.Sisi wananchi wako tunateseka sana barabara mbovu zisizo na...
Jamani Kwa taatifa tu, ile ya Kenya sio bajeti, ni summary tu, Kenyatta hakuruhusiwa na Spika,kusoma bajeti kamili shauri hakufuata taratibu za katiba mpya. Na ilibidi asome summary for consistency of budget date with other EAC countries. Hivyo budget kamili inaweza kuwa na ukubwa mara mbili ya...
Kama wao wanatumiwa na mapacha watatu...na nyie mnatumiwa na nani? kweli mfa maji haachi..............pa! cheap and insane politics. Wote nyie lenu moja period!
Acha kugopa kivuli chako wewe, umeshaanza kuhama magazeti, mwishowe utakimbia nchi, kama haujakimbia bado!
Gonga hapo chini upate uhodo:
Kama CHADEMA ni Wachagga, CCM ya Waislamu?
ukishazoea kutawaliwa akili, itakuwia vigumu sana kukubali ideas mbadala, nani asiyejua kuwa wanachofanya CCM, kinasemwa kwanza na CDM halafu wao wanakurupuka na kutekeleza, mifano; Katiba, Kupinga ufisadi (filosofia ya Magamba) na mengineyo mengi, amkeni wakuu kwenye usingizi wa pono wa miaka 50.
Hivi CCM si wana vikao vyao? kwanini wasitimuane mpaka watafute huruma ya wananchi? Hii inamaanisha Mwenyekiti ni dhaifu au hana nia thabiti. Sioni impact ya Nape, sanasana anatumiwa na JK ili asilaumiwe ionekane ni matakwa ya wengi. Hivi watu watatu tuu ndio wanakisumbua chama chenye mamilioni...
Ni kweli wachina, wazungu na wengineo wanatudharau waafrika lkn wkt mwingine sisi wenyewe tunajiweka kwenye hali hiyo, mfano; Nenda Guangzhou, China uone wanigeria wanavyobehave? utawalaumu wachina kweli?.....mifano ipo mingi tuuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.