Kwa taarifa yako, maeneo ya Buguruni hapo Dar, walikuwa wanatengeneza pombe kali karibia zote huku wakiweka seal na label zote muhimu ukiona utadhani zimetoka kiwandani.
Sasa unashangaa nini Mkuu. Hakuna kisichowezekana siku hizi, labda kurudisha tu uhai wa marehemu!
Akikujibu nishtue tafadhali! Atueleze na pesa za plea bargain zilipo bila kusahau account ya China ilikusudia kuweka pesa zipi na ilifunguliwa na wanyonge wepi!
Aidha akueleze kwanini uendeshaji wa ATCL ulihamishiwa Ofisi ya Rais, na kwamba kwa kufanya hivyo, sis wanyonge tulipata nini.
Akitoa...
Kwa hiyo huyo mtu katili aliyeletwa na CCM, kwa ufahamu wako, amewaumiza tu CHADEMA?
Mengi ya matatizo tunayoyapitia sasa kama nchi, yamesababishwa na huyo katili wenu na mby zaidi, magumu hayo hayaangalii itikadi za vyama,
yanapiga kote kote.
Leteni tena katili mwingine ili siku watu wakitaka...
Angetuambia miaka kama 20 hivi iliyopita, walikuwepo tembo wangapi na walikuwa wanatumia eneo kubwa kiasi gani kwa malisho.
Kisha atuambie sasa kuna tembo wangapi huku eneo lao la malisho likiwa limepungua kutoka sq kilometers kadhaa kwenda sq kilometers hizi.
Kinyume na hapo ni porojo tu za...
Alikuwepo mwaka wa fedha wa 2020 - 2021, mwaka wa bajeti inayozungumziwa sasa, japo Mama nae alikuwepo.
Taarifa ya kwanza ya ukaguzi ya Mama, itakuwa mwaka wa fedha 2021 - 2022.
Mdau, kama hujui Mzee Magufuli alifariki lini, bora ukae kmy.
Tulivyoadhimisha mwaka mmoja wa kifo chake majuzi tulikosea kumbe ilikuwa maadhimisho ya miaka miwili ya kifo chake?
Nimeuelewa huu utani ila nilifika sehemu nikakuta gari lilotumika kuchukuwa zile Materials ni FUSSO, nikabakia kinywa wazi.
Je ni FUSSO hizi hizi za miaka hii au?
Ungeniambia zilitumika FORD, ISUZU, BEDFORD Na mengine kama hayo, ningeelewa!
Nyerere nae aliwezaje kumpigia simu huyu jamaa au...
Nimeuelewa huu utani ila nilifika sehemu nikakuta gari lilotumika kuchukuwa zile Materials ni FUSSO, nikabakia kinywa wazi.
Je ni FUSSO hizi hizi za miaka hii au?
Ungeniambia zilitumika FORD, ISUZU, BEDFORD Na mengine kama hayo, ningeelewa!
Nyerere nae aliwezaje kumpigia simu huyu jamaa au...
Tuanzie hapa, je wamefanikiwa kuchafua taswira ya nchi yetu au la!
Kama wameshafanikiwa nini kifanyike kurudisha taswira ya nchi yetu iliyopotea kutokana na harakati za hawa WAHUNI?
Lkn, hivi kwenye mabango yale umeona la Katiba mpya tu au na mengine yapo? Kama yapo, yana ukweli au uongo kiasi...
Uko sahihi kabisa. Binafsi huwa siwaelewi wanaona mshahara kulipwa mapema ni jambo la kusifia.
Matatizo yanabakia pale pale, sababu mshahara hautoshi matumizi ya siku 30/31.
Cha kupigania hapo, ni kuomba mishahara iongezwe ili angalau itosheleze matumizi ya siku 30.
La sivyo, watarudi nyuma...
Na uingizaji wa siasa kila mahali.
Walioko kwenye vyama vya siasa, Wakuu wa Wilaya, ma RC, Mawaziri wote kwa uchache na kwa nyakati tofauti utasikia wakiwakoromea Wataalam katika fani zao as if walikuwa nao Chuoni.
Nani hakumsikia Mwendazake akimwita baba wa watu Kilaza?
Nani hakumwona...
Kwa muktadha huo, ina maana ng'ombe wote wa Mkoa wa Mara wamefunzwa kuwa sehemu pekee ya kujisaidia ni mtoni tu.
Hivyo wakiwa machungani huko huwa wanatunza vinyesi mikojo yao hadi wafike mtoni!
What a joke!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.