Search results

  1. Mjamaa masalia

    Mwalimu akamatwa na viroba vya shilingi milioni 77

    Mwalimu akamatwa na viroba vya shilingi milioni 77 MWALIMU wa shule ya sekondari ya St Margareth wilayani Igunga amekamatwa na boksi za pombe aina ya viroba 825 akiwa amevihifadhi katika duka lake. Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Hamisi Selemani alimtaja mwalimu aliyekamatwa na maboksi hayo...
  2. Mjamaa masalia

    Mbunge Ester Bulaya aijibu ngoma ya Ben Pol ‘Phone’, atumia ushairi na kuingia studio

    New Music: Mbunge Ester Bulaya aijibu ngoma ya Ben Pol ‘Phone’, atumia ushairi na kuingia studio [http://aka-cdn-ns] Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya ameonesha upande mwingine nje ya uwezo wake katika siasa. Mheshimiwa Bulaya ni malenga wa kutisha na kuonesha kuwa yupo vizuri, ameijibu...
  3. Mjamaa masalia

    Hongera profesa Maina, hongera UDSM

    A Tanzanian Professor, Chris Maina Peter, was on Thursday voted member of the United Nations’ International Law Commission (ILC) by the UN General Assembly. Prof Maina, who is currently a Professor of Law at the University of Dar es Salaam (UDSM), was among 13 candidates from Africa who had...
  4. Mjamaa masalia

    Msaada Facebook app

    Wakuu naomba Msaada, app ya fb kwenye adroid imeanza kuzingua ghafla ku log in, kama ambavyo inaonesha kwenye screen shot, kuwa tatizo ni internate, wakat net iko vizur. Msaada wenu tafadhari
  5. Mjamaa masalia

    Athari za mwendokasi sakata la Mbeya Day

    C&p kutoka kwa Mathias Kanali SAKATA LA MBEYA SEC NA SURA NYINGINE WIZARA YA ELIMU IMETOA ADHABU KWA MWALIMU AMBAYE HAKUHUSIKA NA SHAMBULIO DHIDI YA MWANAFUNZI Na Mathias Canal Ni kama siku tatu sasa zimepita tangu kuenea picha ya video katika mitandao ya kijamii yenye takribani sekundi 38...
  6. Mjamaa masalia

    Je Naweza kutumia Magic powder kunyoa kipara.?

    Habari waugwana. Hivi karibuni nimepata tatizo la kiafya kuna ugonjwa unaitwa ALOPECIA AREATA ambao umenikumba na ugonjwa huu unasababisha baadhi ya sehemu kichwani kutoota Nywele. Baada ya kwenda hospitali nilipewa dawa na sasa naendelea na matibabu lakini Dr alisema itachukua hata miezi sita...
  7. Mjamaa masalia

    Nimeshawasili ndani ya tunduru

    Ndugu wana JF (Jukwaa la Elimu) Nawashukuru sana wale wote ambao walinipa taarifa juu ya wilaya hii ya Tunduru. Nawashukuru sana nimeshawasili hapa nashuhudia fahari mbakimbali zilizopo hapa kama vile: umeme wa uhakika kwa hapa mjini mitandao ya simu inashika(hadi JF ipo) chakula ni bei rahisi...
  8. Mjamaa masalia

    Ajira za walimu wapya 2014 zatangazwa

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA AJIRA KWA WALIMU WAPYA MWAKA 2013/14 Jumla ya Walimu wapya 36,021 ambao wamehitimu mwaka 2013 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini wataajiriwa rasmi na Mamlaka za...
  9. Mjamaa masalia

    Clouds FM mnatupeleka wapi Watanzania kuhoji mashoga?

    Katika kipindi cha NJIA PANDA wanamuhoji shoga Aunt Suzy,dah haiingii akilini kabisa.
  10. Mjamaa masalia

    Walimu wapya mmejiandaaje kuripoti vituo mtakavyopangiwa?

    Kumekuwa na shauku kubwa sana ya Walimu kupangiwa vituo vya kazi na serikali na hii imetokana na danadana za serikali yetu kutoa taarifa za kujikanganya mara kwa mara. Kwani imefikia hatua kila mwezi una tamko lake la ajira toka kwa waziri tofauti Lakini labda habari ya hivi karibuni inaweza...
Back
Top Bottom