Search results

  1. eliasy

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Pia una uwezo wa ku set simu ijizime muda gani na ijiwashe muda gani. Kwa mfano simu yangu ikifika sa 6:15 usiku inajizima na kujiwasha saa 11:30 alfajiri. Ikijiwasha inapiga alarm kwa ajili ya mimi kujiandaa kwenda job. Sehemu nyingine niliyopenda kwa xiaomi ni upande wa sms, huwa naandila sms...
  2. eliasy

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Umepata kwa hela ngapi mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. eliasy

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    New Samsung Galaxy J8 Unlocked Dual SIM- 6" HD+ Display- 4GB RAM 64GB ROM- BLUE | eBay mkuu naomba bei ya hiyo hapo
  4. eliasy

    Msaada Data recovery software isiyo ya kulipia

    mkuu bado unazo unitumie na mm?
  5. eliasy

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu naomba bei tafadhali Samsung Galaxy Tab A 8 Latest Model 32GB Bundled w/Case+Skull Candy Wireless SB2 887276237725 | eBay
  6. eliasy

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    mkuu naomba bei ya hii 5310 Original Unlocked Nokia 5310 XpressMusic Bluetooth Java MP3 Player Support Russian Keyboard Refurbished Phone Free Shipping-in Mobile Phones from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group Na hii hapa 6303c Unlocked Original Nokia 6303 Mobile...
  7. eliasy

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Samsung Galaxy Tab A 10.1" Octa-Core (1.6GHz), 2GB RAM, 32GB ROM, Android 6.0 692619416640 | eBay Mkuu bei gani hii mpaka kuja tz?
  8. eliasy

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu naomba bei ya hii hapa New Unlocked Original <BlackBerry> Bold Touch 9900 Smartphone 8GB 5MP Black 802975001330 | eBay
  9. eliasy

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Naomba kujua bei ya hii product New 2018 Autumn Winter Boots for Men Chelsea Boots Cow Suede Leather Winter Shoes Fashion Men's Boots Brand Shoes New 2018 Autumn Winter Boots for Men Chelsea Boots Cow Suede Leather Winter Shoes Fashion Men's Boots Brand Shoes-in Chelsea Boots from Shoes on...
  10. eliasy

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Bado shida ipo pale pale. Yani ikishazima tu Ukitoa battery na kuiweka tena huwa inajiwasha yenyewe
  11. eliasy

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Asante mkuu. Ngoja nifanye huo utaratibu nione kama inaweza tatua tatizo.
  12. eliasy

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Habari mkuu? Nina Xiaomi redmi 2. Inanisumbua kitu kimoja tu. Kuna wakati hii simu inajizima yenyewe. Na ikijizima unatoa betri na kuweka tena ndipo ijiwashe yenyewe au uiwashe. Na katika ukaaji wa chaji haina shida. Inajitahidi tu. Ila shida ipo kwenye huo ugonjwa wa kujizima yenyewe...
  13. eliasy

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Naweza kupata gharama ya hizi bidhaa mpaka kufika bongo? Nahitaji kuchagua mojawapo New Unlocked Sony Xperia Z C6603 / L36h 5.0" 16GB NFC LTE Wifi Smartphone Black 7311271407720 | eBay Xiaomi Redmi Note4 64GB 5.5" Dual-SIM Unlocked Gold 4GB Rom Smartphone | eBay Original Unlocked Nokia...
  14. eliasy

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    SPRINT Samsung Galaxy Note 5 Unlocked N920P GSM 32GB 4G LTE Smartphone | eBay Naomba bei ya hii mkuu
  15. eliasy

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Mi ninayo yangu ila sio global, yani kuna maeneo na maeneo ndio inashika mtandao tena kwa shida
  16. eliasy

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu naomba bei ya hii Xiaomi Redmi Note 4X Fingerprint 5.5-inch 3GB RAM 16GB Snapdragon 625 Octa-core 4G Smartphone
Back
Top Bottom