Search results

  1. E

    Obasanjo replies Folorunsho Alakija: You’re one of the 25 billionaires I created

    Obasanjo replies Folorunsho Alakija: You’re one of the 25 billionaires I created BY NADUM 30 OCT , 2016 Olusegun Obasanjo, former president, says Folorunsho Alakija, one of Africa’s richest women, was among the 25 billionaires created during his democratic tenure at the helm of Nigeria’s...
  2. E

    Walimu ajira mpya ogopeni CWT mtalia kama tunavyo lia sisi

    Ni sheria ya kazi, kama kwa mwajiri asilimia 50 ni wanachama wa trade union, wengine wote mnakuwa wanachama pia, wakitaka waanguke na hiyo sheria!
  3. E

    Jamani karibuni Mombasa!

    Nimefika mara moja nimeipenda mombasa, dinner ndani ya mtumbwi baharini na muziki acha kabisa!
  4. E

    Jengo la International House lawakamoto!!

    Jamani hilo lilikuwa zoezi la kawaida la kujaribu mfumo wa kujikinga/kuzuia madhara wa jengo na kuona kama vyombo vingine vipo makini, hivyo zoezi limefanikiwa. Taarifa hii imetoka kwa Property Manager!
  5. E

    JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

    Ahsante, japo fikra zangu zilikuwa kitu kikubwa kidogo zaidi ya hiyo entrance fees
  6. E

    JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

    Habari zenu waratibu, mdhamini (sponsor) ana nafasi yeyote kwenye party yenu au hamtaki?
  7. E

    pspf,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ps pf

    Kwa kawaida na mara nyingi referee ana nafasi pale unapokuwa umepita kwenye mchujo-Interview, hivyo kwanza bidii yako kwenye hatua za awali.
  8. E

    Msaada wa kujiunga na vyuo vya marekani/nje ya nchi

    International Admissions simplified with expert advice from WESstudentadvisor.org: Upcoming Webinars 23 May India Focus: Top Tips to Building an Excellent Application Package...
  9. E

    Loveness Love 'Diva', Prezzo na Boss Lady huda - Kimenuka!

    Sina hakika kama kakubali kwa maandishi lol!, ILA nimeshakutana/kaa naye na dogo huyo akamtambulisha ...., hiyo haitoshi kumkubali?
  10. E

    Loveness Love 'Diva', Prezzo na Boss Lady huda - Kimenuka!

    AAAh jamani dogo mtoto anaye bana!
  11. E

    Tangazo linalodhalilisha!

    Nadhani ni hilo linalosema "...... studying", kizungu kimepinda.
  12. E

    Magufuli akumbwa na kashfa nzito!

    Naomba tu tuwe makini CAG huandika alichoona na uzoefu unaonyesha ni vema tusubiri majibu ya wahusika, ili tupate picha halisi ya suala lenyewe kabla hatujaanza kumshambulia Mh Pombe. Upinzani ndiyo kazi yake (na ndicho tunachokitaka) kutafuta wapi pana mapungufu na Serikali ni kazi yake kujibu...
  13. E

    Mbunge Sugu, mchumba wake na mtoto wao wakihamasisha utalii wa ndani.

    Ndiyo kaka anazo si ndio fasheni? wapenzi wa hiyo wanaweza pata sampuli hapa.... Tramp Stamps | Cracked.com
  14. E

    Implications of Raila's first International ambush of President Uhuru Kenyatta

    Kama kweli Cj Willy alifanya hayo anayosema RAO, basi kuna jambo hapo!
  15. E

    Mtoto aliyekataliwa na baba yake

    Mungu akutangulie usiache kumlea huyo mtoto na akukuzie vema
  16. E

    pspf! pspf! Pspf! Yes i mean pspf!

    CAG aliyetoa taarifa hiyo ya PSPF katoa ufafanuzi, angalia Mtanzania, habari leo , RAi etc
  17. E

    Sherehe ya Uhuru Kenyatta ni kama hivi!!

    Kweli hii ameiandika mkenya original
  18. E

    Viongozi wanawake hawawapendi wenzao????

    Is another woman threatening your career? By Suzanne Lucas / MoneyWatch/ March 4, 2013, 8:36 AM Why women in authority may be the least likely people to nurture the careers of female colleagues...
  19. E

    JUBILEE protests IEBC's move on spoilt votes

    Idadi ya wapiga kura waliojitokeza na kupiga kura ktk kituo kuwa zaidi ya waliojiandikisha, bila shaka kuna waliohamia ktk kituo hicho kwa "ruksa ya IEBC", siasa wakati mwingine ina algebra zake (moja ya tawi la hisabati)!
  20. E

    Je wewe ulishaonja hii?

    Ubarikiwe na ahsante sana nitakaribia
Back
Top Bottom