Naona haikuwa sahihi. Kumuona Mbunge ili kumueleza kero ni ngumu sana. Na hata kufikisha kero kwa wasaidizi wa Mh Raisi wanaweza wasifikishe hizo kero kwa Raisi. Ingekuwa ni jambo la hekima kumsikiliza huyo mtu hapo Barabarani.
Usijiuzulu hata kidogo. komaa tu jifanye hamnazo. Labda akufukuze kitu ambacho hawezi maana italeta picha mbaya. Mama ana wasiwasi mkubwa na team JPM (Ndugai, Majaliwa, Bashiru, Polepole na Sukuma Gang). Ukijiuzulu mwenyewe yatakukuta kama yale ya Ndugai.
Naomba Serikali iangalie bidhaa zinazoagizwa toka nje ya nchi. Kwa mfano mafuta ya kula toka nje ya nchi, serikali iache kuagiza ama mafuta hayo yatozwe kodi kubwa ili kumpa unafuu wa soko mkulima wa alizeti wa Tanzania. Alizeti imeshuka sana bei mwaka huu sababu kubwa ni kuingiza mafuta ya kula...
Magari yapo mkuu. Kila siku maloli yanashusha mazao masoko ya Dar, mengi ya magari hayo ni kutoka Mbeya, Ruvuma, iringa na Rukwa. Nina jamaa ana Fusso mbili, kila siku zinaenda kuchukua mazao Tukuyu, kyela na kuleta Dar.
Isimani Iringa kuna ardhi ya kutosha, udongo wake unatunza maji vizuri, hivyo mvua ikinyesha kidogo tu mambo safi. udongo wake una rutuba ya kutosha, hakuna haja ya kuweka mbolea. Kukodi ni kati ya 20,000 mpaka 30,000 kwa heka.
Unaweza lima mahindi na alizeti.
Hapo ni pachungu sana. Naona damu za watanzania zikimwagika tokana na huu mkataba wa hovyo.
Serikali ingekubali kusitisha na kuachana na mkataba huu.
Na ni vigumu sana kuzuia mkutano huu, kama CCM inafanya mikutano kila pembe ya Tanzania wakielezea uzuri wa huo mkataba huo, na upande wa pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.