Kuna wimbo pia unasema;
Nimeshitushwa na sauti za ndege wakiuaga mchana, nikiwa katika dimbwi la simanzi,
nimeoa na kuacha zaidi ya wake sita, sijampata mie hata mtoto,
niliowaacha nikizani ni matasa, wameolewa,
na huko waliko, wamezaa.
Nimejaliwa elimu, iliyonipa heshima,
nina uwezo wa kununua...
Da! mimi huwa napenda sana kusikiliza hii stesheni, vipindi kama
Outlook,
Outside Source,
witness
na
watangazaji kama Jerry Smitt,
James Coomarasamy,
Dan Daamon, Julian Marshal
na wengineo.
Asante sana kwa kuturudishia haya matangazo ya BBC,
Matoke ya kutozingatia sheria za barabarani tunayaona ambayo ni ajali na vifo. Ni ajali chache sana ambazo husababiwa na hitilafu ya gari siku hizi. Nyingi ni makosa ya madereva wenye hizo akili za taiming.
Leo tarehe 14 basi la mwendo kasi namba ya usajili T120DGW leo muda wa saa kumi na mbili jioni likitokea Kimara kwenda Kivukoni tulipofika fire akafungua mlango wa mbele tu, abiria waliokuwa nyuma walipoona milango haifunguliwi wakaenda mbele ambapo mlango umefunguliwa, mmoja akawahi kutoka...
Itakuwa kama lile la Manzese. Pale wameshajimilikisha yaani asubuhi utakuta wanatwangana ngumi hadi unaogopa kupita bora uvuke Barabara.
Lakini naona kama ndio kawaida kwa nchi yetu, watu wanapanga biashara barabarani na wanaachwa waendelee halafu siku wakiambiwa waondoke wanakuuliza tuende wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.