Search results

  1. DZUDZUKU

    Muhula mpya wa masomo kwa ngazi ya Cheti na Diploma

    Salam ndugu wana JF, Naomba kuuliza, hivi application za vyuo kwa ngazi ya diploma na cheti tayari zimeanza au tayari muda wake umeshapita? Kwa mwaka 20/21 Ninamdogo wangu nahitaji nimfanyie usajili kwa wenye uzoefu au taarifa zinazo husu naomba msaada. Asanteni!
  2. DZUDZUKU

    Laini ya M-pesa inahitajika

    Salam. Ndugu wana jf, Mimi no mjasiliamali Niko katika wilaya ya Kyela ninahitaji kununua line ya M-PESA kwa yeyote anaye uza.
  3. DZUDZUKU

    Naomba ushauri wa sehemu (mkoa/wilaya) ya kuishi

    Salam. Wakuu, mimi ni mtumishi wa uma nipo mkoa wa mby kwa sasa, nimepata ofa ya kupewa uhamisho kwenda wilaya yeyote ile ninayo ihitaji hapa Tz. Naomba ushauri je nisehemu ipi nzuri ambayo ninaweza kuishi na kutusua baada ya miaka minne au tano ijayo? Binafsi napenda kujiwekeza kwenye kilimo...
  4. DZUDZUKU

    Jamii ya sasa katika picha........!

  5. DZUDZUKU

    Nahitaji mke/ mchumba anaehitaji kuishi katika ndoa ya ukristo

    Salam, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, ninahitaji mke/mchumba alie siriazi na mahusiano. Sifa zangu. Mimi ni mkristo dhehebu la KKKT. Nina watoto 4 kila mmoja na mama yake. Nina kazi ya kuajiriwa na serikali. Nina urefu wa futi sita, ni mweusi na nina mwili kiasi. Sifa za ninaye...
  6. DZUDZUKU

    Msaada wa mawazo,ujenzi wa nyumba wilayani Kyela

    Salam. Kwa wale wanao ishi Kyela kwa sasa, naomba kujua mahesabu madogo kuhusu ujenzi wa nyumba wilayani hapo kwa mtu mwenye kiwanja tayari. 1. Nyumba ya vyumba 5 yenye vyoo ndani kwa ndani inatumia tofali ngapi za kuchoma? 2. Tofali moja inauzwa kiasi gani kwa sasa pande hizo? (Tofari za...
  7. DZUDZUKU

    Msaada wa links mbali mbali za kupakua series mbali mbali kwa kutumia simu.

    Salam ndugu zangu,natumaini Iddi imekwenda salama. Samahani jamani,ninaomba mwenye link ambayo itaniwezesha kupakua series mbali mbali kwa kutumia simu. Link hizo ninazo zihitaji zisiwe za torent maana hii site siielewi na imenishinda kabisaaa kuitumia. Pia nimejaribu kuangalia link zilizopo...
  8. DZUDZUKU

    Mwanaume kugegeda house girl, tatizo ni mwanaume, wanawake wasilaumiwe

    Salamu, Kuna kujitetea kwingi kwa wanaume wanaochepuka na hasa wanaogegeda ma house grrl wao, eti ooo mwanamke anasababisha, wapi ni mitamaa tu ya wanaume na kutokujiheshimu. Mwanaume unasingizia eti mkeo ni mvivu na blabla kibao, mbona hata wakijituma bado mnachepuka/mnagegeda mahausigelo...
  9. DZUDZUKU

    Unajisikiaje mpenzi wako/mkeo/mumeo akipost matatizo yenu hapa if?

    Salam! Kichwa cha thread cha husika. Swali langu ndio hill, he unajisikiaje pale unaposhuhudia post za mkeo/mumeo,/mpenzi wako zikielezea matatizo yako/yenu kwenye social networks hasa hapa JF? Nawasilisha hoja.
  10. DZUDZUKU

    Ukikosa akili/busara.

  11. DZUDZUKU

    Mwanamke ukibakwa,wahi polisi na hospitali haraka: media saga.

    Salam! Moja kwa moja kwenye mada. Ubakaji (kutoka mzizi wa Kiarabu) ni tendo la kumlazimisha mtu afanyiwe asichokubali. Juzi juzi hapa,media zimelalamika kufanyiwa vitu wasivyovikubali,aka ukabaji wa media,kitu ambacho ni kosa la jinai. Ikiwa madai yao ni sahihi,je kwa nini hawajapeleka...
  12. DZUDZUKU

    Tafakari kwa picha.

  13. DZUDZUKU

    Tanzanian kidnaped CONGO DR.

    Dar es Salaam. Tanzania is making efforts to have its national kidnapped by rebels in eastern Democratic Republic of Congo (DRC) to be released. The Tanzanian is among five miners abducted by rebels, according to the deputy minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Dr Susan...
  14. DZUDZUKU

    Vineral diseases education from doctors and other experienced personel!

    Greatings my fellow members! Naomba kuuliza,is it possible for someone to be a vineral diseases carrier? Is it possible to cure the disease? Which prescription is best for these diseases? I am in need of your health education in this. Thank you! (Vineral diseases=magonjwa ya zinaa yenye...
  15. DZUDZUKU

    Songea,Lindi to Dar. Route,we are waiting for the standard gauge railway.

    Usafiri wa busi almost kila mkoa,tunasubiri reli sasa.
  16. DZUDZUKU

    Maana ya elimu.

  17. DZUDZUKU

    Peripheral neuropathy

    Nimegundulika na peripheral neuropathy,je nini kinasababisha ugonjwa huu? Sent from my VFD 1100 using JamiiForums mobile app
  18. DZUDZUKU

    Piki piki bora yenye bei nafuu

    Salam. Wandugu, nipo mbeya sina utaalamu na idea kwenye vyombo vya Moto. Nimepasua KIBUBU changu ambacho nilihifadhia pesa ya kununulia piki piki ya kwenda nayo kwenye mizunguko mbali mbali ya kimaisha. Nina kama sh. Million 2, je ni piki piki ipi itanifaa? Naombeni ushauri wenu,natanguliza...
  19. DZUDZUKU

    Genetics: Watanzania wengi ni carrier wa non-tongue roller

    Habari.Non-tongue roller ni mtu asieweza kukunja ulimi wake kutengeneza duara.Katika pita pita zangu, kusikiliza redioni, na kuangalia kwenye tv, nimegundua, kunaidadi kubwa ya watanzania vijana ambao ni non-tongue rollers.Hii ina maana kuwa, wazazi/ watanzania wengi kama sio non-tongue roller...
  20. DZUDZUKU

    No one will think of rebellions for another CENTURY

    Habari. I still wondering around in my lovely country Tanzania. Natambua uwepo wa wananchi, uwepo wa wapiga kura, uwepo wa wakereketwa wa vyama na wakereketwa wa watu. Wote hao, wasisahau uwepo wa "KING MAKER" katika dunia hii, mfano, tunatambua how PRESIDENT became our president. I say no...
Back
Top Bottom