Search results

  1. DZUDZUKU

    Waajiriwa wenzangu kuweni makini kulinda salary slip yako isichafuke lasivyo utakiona Cha moto kama mimi

    I understand ila mkuu tutafanyaje wakati maisha ndio yanatulazimisha? Kabla sijaajiriwa niliona wanaokopa ni wazembe, ila Kwa Sasa nimekua mkopaji alieshindikana. Unakutana na do or die situation unachagua kuishi. Mungu atutoe kwenye hivi vifungo Kwa kweli.
  2. DZUDZUKU

    Nipo na mawili kwenye kichwa; kisimbuzi au pesa, na vyote sitaki kupoteza

    Biashara nenda na Azam. Ki home startimes inafaa
  3. DZUDZUKU

    Mkeo akikubambikia mtoto ambae si wako utachukua uamuzi gani?

    Pole, kitanda hakizai haramu, endelea na maisha na familia yako, msamehe mkeo, mpende mtoto.
  4. DZUDZUKU

    Mnaowalea watoto wa kike bila kuwafundisha kazi za nyumbani mnawaandalia mazingira gani wakiwa wakubwa?

    We teach girls, marriage is most important thing in life, what about boys? Yaani mvulana asipofundishwa kupika inakubalika, ila Kwa msichana ni nongwa?
  5. DZUDZUKU

    Darasa la saba wengi wanajiweza kiuchumi kuliko waliohitimu Chuo

    Tafuta kitabu kinaitwa "Why A's students works for C's students" Utaelewa.
  6. DZUDZUKU

    Uzoefu wa printer xerox

    Nahitaji toner xerox 6655
  7. DZUDZUKU

    Upimaji wa utendaji kazi kwa kutumia OPRAS hauna tija!

    Wanaziscan then wanazi upload
  8. DZUDZUKU

    Upimaji wa utendaji kazi kwa kutumia OPRAS hauna tija!

    Jaza form upande daraja mkuu. Funika kombe mwanaharam apite.
  9. DZUDZUKU

    Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

    Ule Uzi wa yule mzee na huku uzi kuna mfanano flani hivi wa kimaisha ambayo wanaume wanayapitia, sema huyu bado hajazalisha tu. Nilichopenda kuna jambo la kujifunza katika nyuzi hizi mbili.
  10. DZUDZUKU

    Miaka 30 ya Chadema, Swot Analysis, PEST Analysis, Imarisheni Strengths, Shughilikieni Weakness, Start A Fresh!.

    Ukweli ni kwamba vyama vya siasa hapa Tanzania vilianzishwa na kuasisiwa na sana CCM kutimiza matakwa ya CCM mambo mengine ni stories tu, Tundu nadhani alileta mtazamo mpya then he got what he got sidhani kama anaujasiri ule tena aliokuwa nao. So unaweza sema risasi alizopigwa Tundu ziliua...
Back
Top Bottom