Search results

  1. DR. MWAKABANJE

    Natafuta picha za mzee Jongo

    Picha sina....ila umenikumbusha mbali sana miaka ya 90 mwanzoni kulikuwa na igizo lake RTD kama sijakaosea likuwa linaanza saa tatu..siku sikumbuki..hapo familia nzima haiendi kulala inasubiri kipindi...kikianza ole wako upige kelele.,..
  2. DR. MWAKABANJE

    Walimu tuliotoboa kimaisha tujuane

    Kuna watu ama kwa kujua ama kuto kujua wanawachukulia poa sana walimu.....nawahakikishia walimu wa sasa si wa enzi zile binafsi nawajua walimu wengi tu ambao wamepambana kiuchumi wako mbali sana
  3. DR. MWAKABANJE

    TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

    Du hizi ID bhana jamaa kumbe jirani yangu tumecheza pamoja[emoji27][emoji27][emoji27]
  4. DR. MWAKABANJE

    Viatu vikali

    Utapendeza japo sio lazima Sent from my One Max using JamiiForums mobile app
  5. DR. MWAKABANJE

    Viatu vikali

    40 Sent from my One Max using JamiiForums mobile app
  6. DR. MWAKABANJE

    Viatu vikali

    Size ngapi Sent from my One Max using JamiiForums mobile app
  7. DR. MWAKABANJE

    Viatu vikali

    Bei Sent from my One Max using JamiiForums mobile app
  8. DR. MWAKABANJE

    Maziwa fresh ya ng'ombe

    Nilimaanisha ndama!
  9. DR. MWAKABANJE

    Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

    Waambie mkuu binafsi naona tumekuwa washamba kiasi kwamba mtu kumiliki iPhone ama Samsung ndio anaonekana mjanja....binafsi nimekwisha sema siununui simu hizi ambazo kila mtu anatumia...ukiagiza simu nzuri nje unapata kwa bei nzuri halafu unakuta almost unayo peke yako kitaa....
  10. DR. MWAKABANJE

    Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

    Waambie mkuu binafsi naona tumekuwa washamba kiasi kwamba mtu kumiliki iPhone ama Samsung ndio anaonekana mjanja....binafsi nimekwisha sema siununui simu hizi ambazo kila mtu anatumia...ukiagiza simu nzuri nje unapata kwa bei nzuri halafu unakuta almost unayo peke yako kitaa....
  11. DR. MWAKABANJE

    Hii tabia ya kudharau simu za Tecno itakwisha lini?

    Ukweli ni kwamba pia watanzania wengi wanajua brands chache za simu hasa Samsung na iPhone tena nyingi tunanua copy... Kuna simu nzuri zaidi ya hizo tena bei za kawaida
  12. DR. MWAKABANJE

    Ilani ya CCM 2020-2025

    Nadhani ungeuliza, je ni mambo gani ambayo tungependa yawemo na yatekelezwe kwenye ilani? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. DR. MWAKABANJE

    Ajira kwa misingi ya vyama italivuruga Taifa

    Hata kwenye magroup ya wassp!
  14. DR. MWAKABANJE

    MSAADA OPPO A53

    Nina HTC one M9 nimeinunua AliExpress yapata mwezi sasa ilikuja na shiida hiyo ila ghafla ni kama limepotea sasa
  15. DR. MWAKABANJE

    je, ni kweli wanafunzi wa CBG, hawawezi kusoma medicine wala pharmacy

    Du miaka mitano tangu umalize kidato cha sita ndo unakuja kunifundisha juu ya course za CBG?? Anaway yakupasa kusoma na kuelewa mambo nimesema kuna mdau wa elimu alisema hukuwa na sababu ya kuni attack by the way aliyeniambia anahusika na mambo ya usimamizi wa elimu so sina shaka na alichosema...
  16. DR. MWAKABANJE

    je, ni kweli wanafunzi wa CBG, hawawezi kusoma medicine wala pharmacy

    Kuna chanzo cha taarifa cha kuaminika kinasema combination ya CBG mbioni kufutwa!
  17. DR. MWAKABANJE

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mwl. Naomba niangalizie hii bei yake Hadi bongo..https://www.flipkart.com/redmi-7a-matte-gold-32-gb/p/itmfhz4cfwesj6qh?pid=MOBFHZ4BYCMVJHVU&cmpid=product.share.pp
  18. DR. MWAKABANJE

    RC Makonda awataka wakazi wa Dar kuwa na bima ya afya

    Mbona hiyo picha ni kama ya member maarufu humu japo siku hizi haonekani anaitwa Binti ...
  19. DR. MWAKABANJE

    Brand New Samsung Galaxy S6

    Nauza hTc one M9 Bei 350k kwa maelezo zaidi nicheki inbox ni mpya kabisa!
  20. DR. MWAKABANJE

    Taasisi ya China kufundisha Kiswahili

    Kuna watu wanafikiri ya kuwa kiswahili kikienea duniani basi ndo Tanzania itakuwa nchi ya viwanda!
Back
Top Bottom