Unaweza kukuta mwanamke alikuwa mshamba ata kutumia lotion ajui kafundishwa jeuri ya kuishi mjini ,nae anakuwa mjanja zaidi mshauri jamaa achape lapa ,wanawake wako wengi kitaa wanatafta wa kuwaoa amwache agange njaa akome na jeuri yake.
Mkuu ,kwanza nimpe pole jamaa yako kwa kupata kimeo ,huyo demu anaweza kumsababishia matatizo mengi si mwanamke wa kuoa kama angekuwa wa kuoa angeonekana mapema kuna wanawake katika jamii ni wazuri lakini sio wife material wapo wapo tu mitaani wanatumiwa na kuacha inawezekana akawa ni miongoni...
kweli duniani watu tuko tofauti sana mambo gani mnayoandika humu mtu ukitulia bila kuandika chochote utapungukiwa, maswala mengine mtu unatakiwa kuwa serius kama wewe unaona sio tatizo si ukae kimya ,usipende kuchafua hali ya hewa humu, mtu anatatizo anaitaji ushauri mtu anamwandikia utumbo...
Pole sana mkuu ,mara nyingi ili tatizo unalisababisha wewe mwenyewe jaribu kuepuka kuangalia picha hizo za xxxxxx,jaribu kufanya shughuli nyingine ili ujikipu busy zaidi hii inaweza kukusaidia,fanya mazoezi mara kwa mara au tafuta vitu vinavyoweza kukupa burudani zaidi ili kuweza kuweka akili...
Hivi inakueje mwanaume anatoa gegedo lake kumpa mwenzie amgegede ,hii aina ya ugegedo ni ya kishetani ,yaani mwanaume anagegedeshwa na mwenzie sijui dunia tunaelekea wapi, mungu atuepushe na huu mtindo huu wa wanaume kugegedana.
mkuu akuna dini inayoruhusu mambo haya iwe ya kikiristo au kiislamu mungu apende mambo haya na akuna kitabu cha dini kinachoruhusu mambo haya ni kinyume na maadili na kukiuka maagano ya neno la mungu mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.