Search results

  1. sobber

    WALIOTIMULIWA SEKONDARI YA BAGAMOYO HAPA....kurejea

    kundi la wafunzi takribani 900 waliofukuzwa bagamoyo kurejeshwa januari. habari zinasema pamoja na kurejea kwao, kamishna wa elimu nchini alivunja mwiko, kupingana na DC na RC na kujiunga na bonas ndimbo kumdanganya waziri wa elimu Dr J. Kawambwa.Wanafnz hao wa kidato cha 5 na 6 watarejea...
  2. sobber

    Ulikuwa mchezo kati ya wizara ya elimu na rc,dc bagamoyo

    Chanzo cha habari hii ni redio mlimani jijini Dar es salaam. Mkuu wa shule bagamoyo alimdangaya mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa pwani. Tatizo ni mgogoro wa kiimani baina ya wanafunzi wakiislam na mkuu wa shule bagamoyo leo mapema jioni, kamishna wa elimu, Wizara ya elimu, na tena waziri...
  3. sobber

    BARUA YA WAZI KWA KAMISHNA WA ELIMU-WIZARA YA ELIMU-Moevt

    Katika kile na kutoamini ulilolitoa kwenye vyombo vya habari, umeshindwa kutumia busara Mgogoro katika sekondari ya Bagamoyo si kama ulivyoambiwa na kuchukua hatua kutangaza nilichosikia kupitia vyombo vya habari- muda mfupi kupitia kituo cha redio mlimani, kwamba uchunguzi uliomalizika...
  4. sobber

    msaada kuhusu nafasi za kazi za vodacom

    nyie ndio wa kuwaua kabisa, unaona maelezo, unayaign!
  5. sobber

    WAZIRI WA ELIMU NA MKUU WA MKOA WA PWANI-BAGAMOYO SEKONDARI UWONEVU HUU ni kansa itawatafuna wote

    Kukabidhi Wizarani lilitokea bagamoyo ni makosa kwa kuwa wizara hawajui shida ya shule ya bagamoyo na mchawi ni nani, zaidi ni uonevu kwa walimu, na kama watawachukulia hatua ni makosa RC pwani
  6. sobber

    Mgogoro Bagamoyo High School ni siasa na kimaslahi za wakuu

    na mwantumu mahiza asubiri kilichompata aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya kinondoni na bagamoyo, alivyotesa watu, mwantumu mahiza anaendea huko, hajifunzi, ameshaonyesha dalili kuwanyanyasa walimu wa bagamoyo, ole wake
  7. sobber

    Mgogoro Bagamoyo High School ni siasa na kimaslahi za wakuu

    maanina zao wanajifanyaga wajanja wahame wote, waacheni waibe, hata mie nikipata mshiko pahala naiba ndio
  8. sobber

    Mkapa anaongoza nchi kimyakimya?

    hakuna wa kupinga uimara wa huyu mzee kiuchumi nk
  9. sobber

    Jamani mama mwenye nyumbaa!!!!

    na wewe unahangaika nini jenga viwanja vipo
  10. sobber

    Bagamoyo isaidiwe na wenye hekima

    Hekima ingehitajika sana kutatua mgogoro baina ya walimu na mkuu wa shule-kutojali maisha binafsi,familia za walimu mgogoro baina ya wanafunzi wote na mkuu wa shule-mkuu washule kuwakumbatia wanafunzi, ambao baadae hugeukana mgogoro kati ya mkuu na bodi ya shule-utendaji...
  11. sobber

    WAZIRI WA ELIMU NA MKUU WA MKOA WA PWANI-BAGAMOYO SEKONDARI UWONEVU HUU ni kansa itawatafuna wote

    wazir wa elimu na watu wake wajue sasa kuwa, viongozi na bodo bodi zao ndio shida, mkuu wa shule aliwanyima uhuru wanafunzi, kuwapa majina ya ki terrorist, na kutokubali kushughulikia udini nani kauleta hapo shule. RC nae kigeugeu, anajua tatizo ni umbea aliokuwa anapewa na uongozi,
  12. sobber

    Mume anapokuliza maswali

    ameoa tayari huyo
  13. sobber

    Mwanamke na kufika kileleni

    usithubutu kunyonya k kama mwanamke huna future nae, ni sumu, atakukumbuka, atakuganda, atakutafuta kufa
  14. sobber

    WAZIRI WA ELIMU NA MKUU WA MKOA WA PWANI-BAGAMOYO SEKONDARI UWONEVU HUU ni kansa itawatafuna wote

    Awali mwalimu wa BAGAMOYO SEKONDARI alibakwa na wanafunzi wake, mkawasingizia walimu. Baadae wanafunzi wanagombana na mkuu wa shule tena mnasingizia waalimu, 1. Ipo laana inawatafuna wakuu na viongozi wa wizara yenu 2. mtawasema na kuwasingizia waalimu na mbivu,mbichi mtazipata 3...
Back
Top Bottom