Search results

  1. A

    Mwenye kujua AGENCY NUMBER ya Ubalozi wa china

    Unaonaje ukiwasiliana na embassy yao kwa email??nadhani wao wanaweza kukupa majibu ya uhakika zaidi
  2. A

    Jinsi ya kutumia modem ya d link

    Mkùu hii post ungeipeleka jukwaa la tech ingekuwa rahisi kupata ufumbuzi
  3. A

    Tovuti ya TIRA (Tanzania Insurance Regulatory Authority) yavamiwa "hacked"!

    Mbona hii ina afadhali sana , ya wizara ya katiba waliwawekea na picha chafu kabisa na link, inavyosemekana ni jamaa kutoka kenya wanataka izo kazi system admin na the lyks kwaiyo wanawachafua wenzao
  4. A

    Msaada juu ya aina ya laptop ya kununua

    Samsung pc za uongo . .chukua nyingine .duka ni freedom electronics wanauza pc nzuri at the best price
  5. A

    Hii kozi ya mini-MBA. .

    Nimekutana na tangazo kuwa kwa mara ya kwanza kozi ya hii itatolewa bongo kwaniza june ,nimegoogle naona iko poa ila naomba mdau aliyepitia anipe idea ikoje?
  6. A

    Dar es Salaam Institute of Technolgy vs St Joseph College of Engineering

    DIT mwisho wa mambo yote (ila kama comptr usije apa nenda st joseph) currently at DIT !
  7. A

    Radio kwenye blackberry

    Ungeweka hii ki2 jukwaa la tech n gadgets ungeshapata solution fasta. . apa watakushangaa na majungu tuu!
  8. A

    Tovuti(website) ya tume ya maoni ya katiba imeingiliwa(hackers)

    Hàh kumbe bado tatizo lipo ,uyo system admin mzembe ,ka miezi miwili iliyopita me nilikuta link za site za porno na mambo mengine machaf kwelkwel
  9. A

    Dakika 45 na Prof. Sospeter Muhongo

    Ichi kipindi bwana dàah kimekua cha watu kujichukulia maujiko . .semunyu haulizi maswali magumu kabisaa. . .uyu kijana vipi me cridhiki kabisaaa. .Aangalie HardTalk ya bbc (af anunue koti jingine bas na icho kiatu dah)
  10. A

    Ndege ndogo ya Kilimoanga yauzwa kwa tshs 500,000/-

    Dah nchi hovyo kabisa. .ndege zote tatu kwa bei ya laptop . .macbook pro 1.5m!!
  11. A

    Kijana asagwa na mashine na kufa papo hapo Kiwanda cha bia Dar.

    Maelezo yametulia. .In that case basi kulikua na makosa na mtu lazima awajibishwe hapo
  12. A

    Kijana asagwa na mashine na kufa papo hapo Kiwanda cha bia Dar.

    "Alikua amezima mashine. . .mwenzake akaja kuiwasha kabla hajatoka" . jamani hili ni kosa la kibinadam na c safety measures za kampuni. .ni ajali kazini c uzembe wa kampuni.
  13. A

    Bingo startimes!

    ivi wapi zuku tv wapi easy tv mbona mpo kama ampo vile. . yani soko lote hilo wameshindwa kujichotea wateja wanawaachia star tym wazidi kuwavuruga wa tz
  14. A

    Nauza acer laptop

    model gani?
  15. A

    Tenda: 500 Tons za makopo zinahitajika kwa mwezi!

    tani 500 za makopo kwa mwezi. . .nafsi yangu inakataa kukubali kuwa inawezekana!
  16. A

    pepper spary

    apa bongo kupata cyo kazi bwana ni elfu 30 tu +kitambulisho chako mali ni yako,
  17. A

    kujufunza muziki

    Kuna vijana wengine wako pale kimandolu karibu na victorious chach wanafundisha , me nlijifunzia drumz apo , wacheki
  18. A

    pepper spary

    nenda tanganyika arms na elf 30 na kitambulisho chako
  19. A

    FASTJET has taken over FLY 540 shares!

    fastjet wamefanya deal inayoitwa reverse takeover yan kampuni inanunuliwa na kila kilicho chake (wafanyakaz,assets management nk) na si kubadilisha jina tu, source:african business magazine
Back
Top Bottom