Search results

  1. Fikra mlazo

    Jinsi ya kutengeneza kalimati

    Shukriya Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  2. Fikra mlazo

    Jinsi ya kutengeneza kalimati

    asante sana..nitajaribu Bi Amina Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  3. Fikra mlazo

    Jinsi ya kutengeneza kalimati

    Habari nduguz. mwenye namna ya kuteblngeneza kalimati anielekeze pls. recipe nlopewa mara ya mwisho zilitoka nyembamba na zilinyonya sana mafuta, in short sikuzifurahia. Msaada tafadhali.
  4. Fikra mlazo

    Hii cake inapikwaje?

    sijui ..jaribu kugoogle red velvet cake recipes na hiyo ya chini cheese cake
  5. Fikra mlazo

    Healthy tip that will blow your mind!

    wanaita Rozella..
  6. Fikra mlazo

    Maumivu ya tumbo na mgongo baada ya period

    bila kusahau kuepuka vitu cold kipindi hiko, chai moto ya tangawiz itakupa joto.mwilini na kurelease maumivu na kutowesha kabisa
  7. Fikra mlazo

    Maumivu ya tumbo na mgongo baada ya period

    jaribu mazoez na pia kunywa maji ya kutosha before period. yaani anza kukeep active itakusaidia na uoge maji moto ukiwa period.pole sana
  8. Fikra mlazo

    Wahariri wa Magazeti ya Tanzania wanakosa umakini wa mambo madogo sana, wajirekebishe

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nlidhani nimeona pekeangu
  9. Fikra mlazo

    Kuchangia pessa za interviewer

    Hata mi nimecheka hapo tu.. Guys mywe makini, mafamba mengi sana sikuiz. A true employer will never ask you a penny kwa kuwa anajua uko jobless na moneyless ndo mana unaapply kazi. Halafu sikuiz wamejaa sana Zoom hawa watu na kwenye other job search engines.
  10. Fikra mlazo

    Msaada jinsi ya kukaanga mbegu za maboga

    mboga? hili jipya kwangu. je natumia mbadala wa karanga? kwenye mboga gani?
  11. Fikra mlazo

    Msaada jinsi ya kukaanga mbegu za maboga

    hii pia najua..
  12. Fikra mlazo

    Msaada jinsi ya kukaanga mbegu za maboga

    Zikaushe juani kwanza kisha ukaange kwenye frying pan au sufuria kavu..add salt basi . sasa inategemea matumizi yako ni kwa ajili ya nini ila kama ni kwa ajili ya kuboost maziwa mlaji anaweza zimenya akala ile nut ya ndani au ukazisaga kwa blender ya vitu vikavu bila kuzimenya na ukamix kwa uji...
  13. Fikra mlazo

    Nasubiri kumfumania mke wangu,naombeni ushauri wenu wanajukwaa!

    Heshima ya mwanaume Huja kwa kutimiza majukumu ya ndoa kikamilifu, sio talaka.
  14. Fikra mlazo

    Nasubiri kumfumania mke wangu,naombeni ushauri wenu wanajukwaa!

    Kumegewa siri ya ndani Mbaba, unataka kamfumania unaweza kustahimili???????? Tafakari n chukua hatua kabla ya kaleta jukwaani. Napita tuuu.
  15. Fikra mlazo

    Kuna Ajenda za Siri Hatari kwa Usalama serikali3

    Jamaa katoa maoni yake baada ya kufanya research yake binafsi..Kama una lako Jambo mkuu weka bayana then thinkers watachambua...ndo Yale Yale tunasema kabla hujAjibu swali kwa swali weka points Zako kwanza. Ni mtazamo tutu
  16. Fikra mlazo

    Tatizo la Kitambi na uzito ACHA KULA WALI!!

    Watu wanaogopa kuitwa kina Matukutuku
  17. Fikra mlazo

    Tatizo la Kitambi na uzito ACHA KULA WALI!!

    We kula jani tuu si lazma tembele..hata bangi kama unaweza kuipika vizuri :D:D:D
  18. Fikra mlazo

    Tatizo la Kitambi na uzito ACHA KULA WALI!!

    Kitambi si mlo mmoja tu kuukata kama walivyoshauri wengine hapo juu wadau..acha au punguza soda, Kwa wanywaji wa vilevi wapunguze au waflash out pombe Kwa Maji mengi..pendelea kula matunda n mboga ama salads nyingi kwenye milo yako kuliko nafaka..prefer visivyokobolewa zaidi,avoid chips...
  19. Fikra mlazo

    Masonic church........Who's seen Jay Z?

    Do ur research,read the holy books and other written articles..it was a secret b4,bt nw Devil reveals hmself openly,it was written,nt sure abt Quran bt my Bible tels ol u wana knw..:):)
Back
Top Bottom