Search results

  1. MJUKUU WA KACHUNDU

    Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Naomba kutoa maeleezo kidogo hapo jinsi ya kujiunga au jinsi ya kuwa Wakala.....Kwa Vodacom unatakiwa uwe na TIN Namba,Leseni hai ya biashara na kitambulisho hai pia.....
  2. MJUKUU WA KACHUNDU

    Daaah..Polisi nyie muwe na huruma kidogo,hali ngumu jamani.

    Sawa ndugu.... Nashukuru kwa kusahihishwa
  3. MJUKUU WA KACHUNDU

    Daaah..Polisi nyie muwe na huruma kidogo,hali ngumu jamani.

    Habarini waungwana, Jana Jmos mie pamoja na Family yangu tulikwenda shambani ni katika kuitumia likizo yangu nikaona ni vema nikasaidie kazi za Shamba kidogo..na pana umbali wa kama km 72 toka nyumbani mpaka Shambani tulikwenda kuvuna mbaazi,kutokana na umbali huo na Shamba lipo polini...
  4. MJUKUU WA KACHUNDU

    Safarini Dar: Msaada wa hoteli nzuri bei ya wastani

    Haina haja ya kwenda mbaaaali......hapo Ubungo kuna kibadamo hotel, au Ubungo maziwa kuna Oppa hotel, au MIC hotel au Golden Palm Uchukui hata Tax....kwa Dodoma Cairo Lodge n.k
  5. MJUKUU WA KACHUNDU

    Nampenda lakini meseji zake za mkato

    Duuh.....Dawa yake huyo we we kuwa bize zaid yake yaani Fanya yako zaidi tafuta maisha yako zaidi maana Wapo wengi hao na kuna wengine wanatamani wapate hata msg iliyo wrong number tu ikaangukia kwao lakini hawapati....3/4 ni wanawake ACHANA NAE
  6. MJUKUU WA KACHUNDU

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Daaah....mie naona nimeachwa mbali sana,ila swali langu ni kwamba je kuna uhusiano wa kichawi mtoto mdogo kulia usiku na kusema anaogopa mdudu na kukakamaza miguu kwamba kuna mdudu hasa vidole,je kuna mazingira ya uchawi hapo?
  7. MJUKUU WA KACHUNDU

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Daaah ninahitaji huo mchanganuo nipate mkopo nihamie Shambani Nina ekari 25 na MTO upon jirani saaana
  8. MJUKUU WA KACHUNDU

    Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Ni vema Mchele umwagwe kwenye Kuku wengi...hii PM PM hii ni dalili ya uchoyo
  9. MJUKUU WA KACHUNDU

    Tunachimba Visima na kufanya underground water survey kwa ghalama nafuu

    Kuweni basi na huduma ya kuchimba Kwa mkopo,maana kuna watu wanamashamba yako ktk maeneo ambayo hayana maji ya mito jiraniIla nadhani kama mtaingia mkataba na mhusika mtawavuna wengi sababu baada ya kuchimbiwa watajituma kuzalisha ili walipe Deni pia
  10. MJUKUU WA KACHUNDU

    You must read: Njia ya kujiongezea kipato. Tushirikiane kufikia malengo yetu,mradi huu unakuhusu.

    Ni sahihi kabisaaa % zote,mie huko Nina shamba Ila Tatizo mtaji tu...kidooogo...
  11. MJUKUU WA KACHUNDU

    Msaada: Amesahau pochi kwenye daladala litokalo Posta kwenda Tandika

    Huo ndiyo uzalendo ulioanza kupotea....ubarikiwe mkuu
  12. MJUKUU WA KACHUNDU

    Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu Kilimo cha Mlonge

    Asante waungwana, nipo kwenye harakati za kujikita kwenye kilimo, Nina shamba lenye ukubwa wa ekari 16 huko boko nimejaribu kupanda mihogo heka 3 ila nyani wamevamia cjapata chochote,nikawaza nipande miti aina ya mitiki msimu huu wa mvua zijazo ila nikiwa kwenye folen za Ubungo nikanunua kitabu...
  13. MJUKUU WA KACHUNDU

    Msaada: Naomba kujuzwa kuhusu Kilimo cha Mlonge

    Waungwana wakubwa KWA wadogo wake KWA waume itifaki imezingatiwa, naja kwenu ndugu zangu ninaomba msaada wenu wa mawazo na ushauri,ninahitaji kujua/kufahamu juu ya kilimo cha mlonge na soko LA Mali ghafi zake likoje na KWA nchi yetu Tanzania mnunuzi mkubwa wa mlonge ni nani, Msaada tafadhari
  14. MJUKUU WA KACHUNDU

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Daah... Umenena MKUU na kitu kingine kuna watu/madereva wa mjini hawajawahi kuendesha gari usiku ibapotokea wamepigwa taa full wanahaha sana
  15. MJUKUU WA KACHUNDU

    Watanzania wengi tunaishi na Mbwa ila hatufugi Mbwa

    Mkuu naweza kuwapata Kwa tsh ngapi
  16. MJUKUU WA KACHUNDU

    Watanzania wengi tunaishi na Mbwa ila hatufugi Mbwa

    Daaah... Nimeipenda hii hapa nipo na wife ananiambia habari za mlinzi maana Cku hizi mtaani kwetu kama Nigeria na boko haram majambaz na wezi nadhani huyo mbwa ni mbadala wa mlinzi
  17. MJUKUU WA KACHUNDU

    Nii nini hasa kilicho nyuma ya pazia ya utitiri huu wa watangaza nia wa CCM kwa nafasi ya Urais?

    Ni uhaba wa ajira unasababisha yote hayo na hata wenye ajira zao Kama hao watangaza nia kipato hakiwatoshi so wanaamini wakiingia magogoni wataweza kutatua yanayowasibu....tutaiona hiyo foleni ya itakuwa Kama ya jangwani magari
Back
Top Bottom